AFYA na DR. Santos

AFYA na DR. Santos "๐’๐“๐€๐˜ ๐๐Ž๐’๐ˆ๐“๐ˆ๐•๐„, ๐๐‘๐ˆ๐๐† ๐‡๐€๐๐๐ˆ๐๐„๐’๐’"

๐‘จ๐‘ป๐‘ป๐‘ฌ๐‘ต๐‘ป๐‘ฐ๐‘ถ๐‘ต!!!    ๐‘ฒ๐‘ฐ๐‘บ๐‘ผ๐‘ฒ๐‘จ๐‘น๐‘ฐ ๐‘ฒ๐‘ฐ๐‘ต๐‘จ๐‘ป๐‘ฐ๐‘ฉ๐‘ฐ๐‘ฒ๐‘จ ๐‘ฒ๐‘พ๐‘จ  ๐‘ฒ๐‘ผ๐‘ญ๐‘จ๐‘ต๐’€๐‘จ ๐‘ฏ๐‘ฐ๐‘ฝ๐‘ฐ...๐—๐—ฒ, ๐˜‚๐—บ๐—ฒ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐˜‚๐—ธ๐—ถ๐˜€๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐˜‚๐—น๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐˜‚๐—ด๐—ผ๐—ป๐—ท๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐˜€๐˜‚๐—ธ๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐˜‚๐—ฑ๐—ฎ ๐—บ๐—ฟ๐—ฒ๐—ณ๐˜‚??...
01/05/2025

๐‘จ๐‘ป๐‘ป๐‘ฌ๐‘ต๐‘ป๐‘ฐ๐‘ถ๐‘ต!!!
๐‘ฒ๐‘ฐ๐‘บ๐‘ผ๐‘ฒ๐‘จ๐‘น๐‘ฐ ๐‘ฒ๐‘ฐ๐‘ต๐‘จ๐‘ป๐‘ฐ๐‘ฉ๐‘ฐ๐‘ฒ๐‘จ ๐‘ฒ๐‘พ๐‘จ ๐‘ฒ๐‘ผ๐‘ญ๐‘จ๐‘ต๐’€๐‘จ ๐‘ฏ๐‘ฐ๐‘ฝ๐‘ฐ...

๐—๐—ฒ, ๐˜‚๐—บ๐—ฒ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐˜‚๐—ธ๐—ถ๐˜€๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐˜‚๐—น๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐˜‚๐—ด๐—ผ๐—ป๐—ท๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐˜€๐˜‚๐—ธ๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐˜‚๐—ฑ๐—ฎ ๐—บ๐—ฟ๐—ฒ๐—ณ๐˜‚??
๐—จ๐—ป๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ฑ๐—ฎ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—ธ๐˜‚ ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ธ๐—ผ ๐˜†๐—ผ๐˜†๐—ผ๐˜๐—ฒ? ๐—”๐˜‚ ๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐—ฐ๐—ต๐—ผ๐—บ๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—ป๐—ผ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ถ๐—ป๐˜€๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—ป๐—ฎ ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฑ๐—ผ ๐˜€๐˜‚๐—ธ๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐—ถ๐—ฝ๐—ผ ๐—ท๐˜‚๐˜‚.

Usijali tena - tunalo suluhisho sahihi kwako!

Wagonjwa wengi wa kisukari wamekuwa wakipitia changamoto mbali mbali za kiafya licha ya kuwa wanatumia dawa .

Wapo ambao hupata ganzi , miguu kuwaka moto na uchovu wa mara kwa mara , wapo wanaopitia changamoto za uoni hafifu , kupoteza ham ya tendo la ndoa , kukojoa mara kwa mara . Wengine wamepoteza viungo kutokana na vidonda visivyo pona , pamoja na figo kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi .

Yote haya hutokana na kuishi na kisukari kwa muda mrefu.

Tafiti zinaonyesha kuwa ugonjwa wa kisukari hutokana na visababishi vitatu ambavyo mara nyingi hospital havizingatiwi sana na ndivyo vinavyotakiwa kutibiwa.

๐‘ฒ๐‘ฐ๐‘บ๐‘ผ๐‘ฒ๐‘จ๐‘น๐‘ฐ ( ๐‘ซ๐‘ฐ๐‘จ๐‘ฉ๐‘ฌ๐‘ป๐‘ฌ๐‘บ ) ๐‘ต๐‘ฐ ๐‘ต๐‘ฐ๐‘ต๐‘ฐ?? Ni hali ya kiafya inayotokea pale ambapo kiwango cha sukari ( glucose ) katika damu kinakuwa juu kupita kiasi. Hali hii hutokea kwa sababu mwili hauzalishi Insulini ya kutosha au hauitumii Insulini vizuri .

๐‘ฐ๐‘ต๐‘บ๐‘ผ๐‘ณ๐‘ฐ๐‘ต๐‘ฐ ๐‘ต๐‘ฐ ๐‘ต๐‘ฐ๐‘ต๐‘ฐ?? Ni homoni inayosaidia kupeleka sukari kutoka kwenye damu kwenda kwenye SELI za mwili ili itumike k**a Nishati.

Huduma yetu maalum ya ushauri wa kiafya hukusaidia kudhibiti kisukari kwa njia:

Asili na salama.

Isiyo na madhara ya aina yoyote hile.

Iliyothibitishwa na wataalam wa afya.

Tunatoa:

Uchunguzi wa awali na ushauri binafsi.

Mpango maalum wa mlo na mazoezi.

Ufuatiliaji wa karibu wa maendeleo yako.

Elimu ya kina juu ya maisha bila utegemezi wa dawa.

Huduma inapatikana kwa njia ya simu, Whats app au ana kwa ana - kulingana na mahitaji yako.
Wasilina nami leo:
Simu : 0788 087 926

Afya yako ni kipaumbele chetu - Anza safari ya kupona sasa!.

 na DR. Santos   nipo kukuongezea maarifa zaidi juu ya H.pylori ( Helicobacter pylori ) Kuwa ni aina ya bacteria ambayo ...
15/10/2024

na DR. Santos nipo kukuongezea maarifa zaidi juu ya H.pylori ( Helicobacter pylori ) Kuwa ni aina ya bacteria ambayo inapatikana kwenye tumbo la binadamu.

Aina ya bacteria hii hushambulia tumbo na utumbo mwembamba dhidi ya asidi ya tumbo, ambayo huchochea vidonda vya tumbo ( Peptic ulcers ), gastritis ( maumivu ya tumbo ) pia inaweza kuwa na uhusiano na kansa ya tumbo.

Bacteria hii inatambuliwa kwa njia ya vipimo vya damu,kinyesi au kupima gesi kwenye pumzi na matibabu yake mara nyingi ni mchanganyiko wa dawa za Antibiotic pamoja na dawa za kupunguza asidi kwenye tumbo.

Kwa mawasiliano zaidi tupigie.+225788087926

๐—๐—ฒ, ๐— ๐—ง๐—ข๐—ง๐—ข ๐—ช๐—”๐—ž๐—ข/ ๐—ช๐—˜๐—ช๐—˜ ๐— ๐—ช๐—˜๐—ก๐—ฌ๐—˜๐—ช๐—˜ ๐—จ๐—ก๐—” ๐—–๐—›๐—”๐—ก๐—š๐—”๐— ๐—ข๐—ง๐—ข ๐—ฌ๐—” ๐—จ๐—ฃ๐—จ๐—ก๐—š๐—จ๐—™๐—จ ๐—ช๐—” ๐— ๐—”๐——๐—œ๐—ก๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—–๐—”๐—Ÿ๐—–๐—œ๐—จ๐— ,๐—ฉ๐—œ๐—ง๐—”๐— ๐—œ๐—ก ๐——ยณ ๐—ก๐—” ๐—ฉ๐—œ๐—ง๐—”๐— ๐—œ๐—ก ๐—–. ๐—™๐—”๐—›๐—”๐— ๐—จ ๐—จ๐— ๐—จ๐—›๐—œ๐— ๐—จ ๐—ช๐—”...
27/06/2024

๐—๐—ฒ, ๐— ๐—ง๐—ข๐—ง๐—ข ๐—ช๐—”๐—ž๐—ข/ ๐—ช๐—˜๐—ช๐—˜ ๐— ๐—ช๐—˜๐—ก๐—ฌ๐—˜๐—ช๐—˜ ๐—จ๐—ก๐—” ๐—–๐—›๐—”๐—ก๐—š๐—”๐— ๐—ข๐—ง๐—ข ๐—ฌ๐—” ๐—จ๐—ฃ๐—จ๐—ก๐—š๐—จ๐—™๐—จ ๐—ช๐—” ๐— ๐—”๐——๐—œ๐—ก๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—–๐—”๐—Ÿ๐—–๐—œ๐—จ๐— ,๐—ฉ๐—œ๐—ง๐—”๐— ๐—œ๐—ก ๐——ยณ ๐—ก๐—” ๐—ฉ๐—œ๐—ง๐—”๐— ๐—œ๐—ก ๐—–.
๐—™๐—”๐—›๐—”๐— ๐—จ ๐—จ๐— ๐—จ๐—›๐—œ๐— ๐—จ ๐—ช๐—” ๐—–๐—”๐—Ÿ๐—–๐—œ๐—จ๐—  ๐—ก๐—” ๐—ฉ๐—œ๐—ง๐—”๐— ๐—œ๐—ก ๐——ยณ ๐— ๐—ช๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ก๐—œ.

โ— Inaboresha ukuaji na maendeleo ya mifupa.
โ— Inazuia matege na mifupa dhaifu.
โ— Inaweka usawa wa calcium na phosphorus.
โ— Uboresha afya ya meno yako.

๐—ญ๐—ถ๐—ท๐˜‚๐—ฒ ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ๐—บ๐—ผ๐˜๐—ผ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ธ๐—ผ๐˜€๐—ฒ๐—ธ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ฐ๐—ฎ๐—น๐—ฐ๐—ถ๐˜‚๐—บ ๐—บ๐˜„๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ป๐—ถ.
ยค Ufupi
ยค Maumivu na misuli dhaifu
ยค Kukosa usingizi usiku
ยค Deformed legs
ยค Easily being cold sweat

๐— ๐—”๐——๐—›๐—”๐—ฅ๐—” ๐— ๐—”๐—•๐—”๐—ฌ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—จ๐—ž๐—ข๐—ฆ๐—” ๐—–๐—”๐—Ÿ๐—–๐—œ๐—จ๐—  ๐—ก๐—” ๐—ฉ๐—œ๐—ง๐—”๐— ๐—œ๐—ก ๐——ยณ ๐— ๐—ช๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ก๐—œ.

โ–  Low intelligence ( uwezo mdogo wa kufikiri )
โ–  Matege
โ–  Maumivu ya Mifupa
โ–  Upungufu wa mifupa

๐—™๐—”๐—›๐—”๐— ๐—จ ๐—จ๐— ๐—จ๐—›๐—œ๐— ๐—จ ๐—ช๐—” ๐—ฉ๐—œ๐—ง๐—”๐— ๐—œ๐—ก ๐—– ๐— ๐—ช๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ก๐—œ.

โ–ช๏ธŽInazuia Anemia
โ–ช๏ธŽInaondoa sumu mwilini
โ–ช๏ธŽInaboresha kinga ya mwili
โ–ช๏ธŽKukusaidia kuwa na ngozi nyororo na yenye mvuto
โ–ช๏ธŽKukusaidia kuwa na nywele laini
๐—ญ๐—ถ๐—ท๐˜‚๐—ฒ ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ๐—บ๐—ผ๐˜๐—ผ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ธ๐—ผ๐˜€๐—ฒ๐—ธ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ฉ๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ป ๐—– ๐—บ๐˜„๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ป๐—ถ.
โ–ก Maumivu ya meno
โ–ก Uchovu uliyopitiliza
โ–ก Nywele kuwa kavu
โ–ก Kutokwa na damu puani
โ–ก Ngozi kuwa kavu
โ–ก Makunyanzi

๐— ๐—”๐——๐—›๐—”๐—ฅ๐—” ๐— ๐—”๐—•๐—”๐—ฌ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—จ๐—ž๐—ข๐—ฆ๐—” ๐—ฉ๐—œ๐—ง๐—”๐— ๐—œ๐—ก ๐—– ๐— ๐—ช๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ก๐—œ.

โ—‡ Kupata Anemia
K**a mtoto wako / wewe mwenyewe una changamoto ya Upungufu wa madini ya calcium ,Vitamin Dยณ na Vitamin C mwilini.
Kupata ushauri na matibabu wasiliana nasi kwa kupiga / what`s app No :- 0788087926

๐๐€๐“๐€ ๐’๐”๐‹๐”๐‡๐ˆ๐’๐‡๐Ž ๐‹๐€ ๐Š๐”๐ƒ๐”๐Œ๐” ๐‹๐€ ๐‡๐Ž๐Œ๐€ ๐˜๐€ ๐ˆ๐๐ˆ " ๐‡๐„๐๐€๐“๐ˆ๐“๐ˆ๐’ ๐".                      ๐ฆ๐š๐ญ๐ข๐›๐š๐›๐ฎ ๐ง๐ข ๐ฌ๐ข๐ค๐ฎ ๐ญ๐ข๐ฌ๐ข๐ง๐ข ( ๐Ÿ—๐ŸŽ ).     Imekuwa...
07/06/2024

๐๐€๐“๐€ ๐’๐”๐‹๐”๐‡๐ˆ๐’๐‡๐Ž ๐‹๐€ ๐Š๐”๐ƒ๐”๐Œ๐” ๐‹๐€ ๐‡๐Ž๐Œ๐€ ๐˜๐€ ๐ˆ๐๐ˆ " ๐‡๐„๐๐€๐“๐ˆ๐“๐ˆ๐’ ๐".
๐ฆ๐š๐ญ๐ข๐›๐š๐›๐ฎ ๐ง๐ข ๐ฌ๐ข๐ค๐ฎ ๐ญ๐ข๐ฌ๐ข๐ง๐ข ( ๐Ÿ—๐ŸŽ ).

Imekuwa ni kawaida kwa wagonjwa wengi wa Homa ya ini kutokuonesha dalili zozote hasa kipindi cha miezi sita ya awali ( Acute stage ).
Hii ni kwa sababu virusi wanapoingia mwilini huchukua muda kidogo kabla ya kuanza kulishambulia Ini . sababu hii ndiyo huwa fanya watu kuamini kwamba ugonjwa huu ni wa kawaida na unaweza kuondoka wenyewe pasipo kutumia dawa.

Mara nyingi miezi sita ya awali KINGA ya mwili hua inajaribu kupambana na virusi hawa ili kuona k**a inaweza kuviondoa mwilini . Kwa bahati mbaya virusi sio k**a bacteria hivyo ni vigumu sana kuondoka pasipo msaada wa dawa sahihi .
Mtu anapokuwa na virusi vya Homa ya Ini ( HBV ) kwa miezi sita au zaidi tayari ugonjwa unakuwa SUGU ( Chronic ) na dalili k**a maumivu ya tumbo upande wa juu kulia , maumivu ya viungo , uchovu , homa za mara kwa mara , miwasho , kukosa hamu ya kula , kichefuchefu na kutapika hujitokeza.

Dalili hatarishi zaidi ni k**a tumbo kujaa maji, rangi ya njano machoni na hata mwili mzima pamoja na mkojo wenye rangi nyeusi. Viashiria hivi hujitokeza zaidi katika hatua ya tatu ya huaribifu wa Ini ( Liver cirrhosis ).

Ukweli ni kwamba Homa ya Ini ni Ugonjwa hatari sana . Mtu mwenye Homa ya Ini ana wastani mdogo wa kuishi kuliko mwenye HIV/AIDS ( UKIMWI ), hii ni kwa sababu HEPATITIS B huathiri zaidi INI ambalo ni kiungo muhimu sana mwilini .

Baadhi ya majukumu ya INI ni pamoja na kuzalisha nyongo ambayo hutumika kwenye mmeng`enyo wa chakula, Ini ndilo huzalisha seli nyekundu za damu pamoja na Vitamini K ambayo husaidia kugandisha damu pale mtu anapopata jeraha . Ini ndilo huifadhi madini , nishati na vitamini mbalimbali amabvyo humsaidia mtu pale ambapo hajapata chakula kwa siku kadhaa. Lakini pia Ini ndilo huchuja sumu zote kutoka kwenye vyakula / madawa na vinywaji mbalimbali kabla hazijaingia kwenye mzunguko wa damu .

KNOWLEDGE IS POWER , Watu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
K**a wewe ni miongoni ama una ndugu mwenye changamoto hii , ujumbe huu ni muhimu sana kwako . Karibu kupata suluhisho la kudumu la Homa ya Ini ili kuepuka kupata saratani ya Ini ( Liver cancer ) .

Homa ya ini HEPATITIS B INATIBIKA .
Kupata ushauri na matibabu wasiliana nasi kwa kupiga / what`s app No :- 0788 087 926

๐—ฆ๐—ข๐— ๐—ข ๐—Ÿ๐—” ๐‹๐„๐Ž ๐—ฆ๐—”๐—ฅ๐—”๐—ง๐—”๐—ก๐—œ (๐—–๐—”๐—ก๐—–๐—˜๐—ฅ)๐—ฆ๐—”๐—ฅ๐—”๐—ง๐—”๐—ก๐—œ ( ๐—–๐—”๐—ก๐—–๐—˜๐—ฅ) ๐—ป๐—ถ ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ถ? Ni ugonjwa ambao seli zisizo za kawaida hugawanyika bila kudhib...
29/05/2024

๐—ฆ๐—ข๐— ๐—ข ๐—Ÿ๐—” ๐‹๐„๐Ž ๐—ฆ๐—”๐—ฅ๐—”๐—ง๐—”๐—ก๐—œ (๐—–๐—”๐—ก๐—–๐—˜๐—ฅ)

๐—ฆ๐—”๐—ฅ๐—”๐—ง๐—”๐—ก๐—œ ( ๐—–๐—”๐—ก๐—–๐—˜๐—ฅ) ๐—ป๐—ถ ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ถ?

Ni ugonjwa ambao seli zisizo za kawaida hugawanyika bila kudhibitiwa na kuharibu tishu za mwili.


๐Œ๐Ÿ๐š๐ง๐จ ๐ฐ๐š ๐’๐š๐ซ๐š๐ญ๐š๐ง๐ข (๐œ๐š๐ง๐œ๐ž๐ซ)


๐๐‘๐„๐€๐’๐“ ๐‚๐€๐๐‚๐„๐‘( ๐ฌ๐š๐ซ๐š๐ญ๐š๐ง๐ข ๐ฒ๐š ๐ฆ๐š๐ญ๐ข๐ญ๐ข)

Dalili za saratani ya matiti zinaweza kujumuisha:

1:-uvimbe wa matiti au unene, mara nyingi bila maumivu.

2:- mabadiliko ya ukubwa, sura au mwonekano wa matiti.

3:-dimpling, uwekundu, shimo au mabadiliko mengine kwenye ngozi.

4:-mabadiliko ya mwonekano wa chuchu au ngozi inayozunguka chuchu (ar**la).

5:-majimaji yasiyo ya kawaida au ya damu kutoka kwenye chuchu.

6:-Watu wenye uvimbe usio wa kawaida wa matiti wanapaswa kutafuta matibabu, hata k**a uvimbe hauumi.


7:-Uvimbe mwingi wa matiti sio saratani. Uvimbe wa matiti ambao ni wa saratani una uwezekano mkubwa wa kutibiwa kwa mafanikio ukiwa mdogo na haujaenea kwa nodi za limfu zilizo karibu.


๐๐‘๐Ž๐’๐“๐€๐“๐„ ๐‚๐€๐๐‚๐„๐‘(๐ฌ๐š๐ซ๐š๐ญ๐š๐ง๐ข ๐ฒ๐š ๐ญ๐ž๐ณ๐ข ๐๐ฎ๐ฆ๐ž)

1:-Haiwezi kuwa na dalili, lakini watu wanaweza kupata:

2:-Maeneo ya maumivu: kwenye mifupa

3:-Mkojo: ugumu wa kuanza na kudumisha mkondo wa mkojo, kutokwa na damu, kukojoa kupita kiasi usiku, kukojoa mara kwa mara, hamu ya kukojoa na kuvuja, kubaki kwa mkojo, au mkondo dhaifu wa mkojo.



๐‹๐”๐๐† ๐‚๐€๐๐‚๐„๐‘ ( ๐ฌ๐š๐ซ๐š๐ญ๐š๐ง๐ข ๐ฒ๐š ๐ฆ๐š๐ฉ๐š๐Ÿ๐ฎ)

Dalili za kawaida ni pamoja na:

1:-kikohozi kisichoondoka

2;-maumivu ya kifua

3:-upungufu wa pumzi

4:-kukohoa damu (hemoptysis)

5:-uchovu

6:-kupoteza uzito bila sababu inayojulikana
maambukizi ya mapafu ambayo yanaendelea kurudi.

7:-Dalili za mapema zinaweza kuwa nyepesi au kutupiliwa mbali k**a shida za kawaida za kupumua, na hivyo kusababisha kucheleweshwa kwa utambuzi.



๐Œ๐„๐‹๐€๐๐Ž๐Œ๐€ ๐‚๐€๐๐‚๐„๐‘ ( ๐ฌ๐š๐ซ๐š๐ญ๐š๐ง๐ข ๐ฒ๐š ๐ง๐ ๐จ๐ณ๐ข ) ๐š๐ข๐ง๐š ๐ค๐š๐ฅ๐ข ๐ฒ๐š ๐ฌ๐š๐ซ๐š๐ญ๐š๐ง๐ข.

Dalili zinaweza kujumuisha ukuaji mpya, usio wa kawaida au mabadiliko katika mole iliyopo. Melanomas inaweza kutokea mahali popote kwenye mwili.

Dalili za kawaida: kipenyo kikubwa cha mole, kuongezeka kwa rangi, kutofautiana kwa mpaka wa mole, au mabadiliko ya rangi ya mole



๐‚๐Ž๐‹๐Ž๐ ๐‚๐€๐๐‚๐„๐‘( ๐ฌ๐š๐ซ๐š๐ญ๐š๐ง๐ข ๐ฒ๐š ๐ฎ๐ญ๐ฎ๐ฆ๐›๐จ)

Saratani ya colore**al mara nyingi haina dalili katika hatua za mwanzo. Uchunguzi wa mara kwa mara ni muhimu ili kupata ugonjwa mapema na kuanza matibabu.

๐——๐—ฎ๐—น๐—ถ๐—น๐—ถ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐—ฎ๐˜„๐—ฎ๐—ถ๐—ฑ๐—ฎ ๐—ป๐—ถ ๐—ฝ๐—ฎ๐—บ๐—ผ๐—ท๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ

1:-mabadiliko katika tabia ya matumbo k**a vile kuhara, kuvimbiwa, au kupungua kwa kinyesi.

2:-damu kwenye kinyesi (kutokwa na damu kwa re**al), iwe nyekundu au giza .
tumbo la tumbo, maumivu au uvimbe ambao hautaondoka.

3:-kupoteza uzito bila sababu ambayo ni ghafla na kupoteza uzito bila kujaribu.

4:-kuhisi uchovu kila wakati na kukosa nguvu, hata kwa kupumzika vya kutosha.

5:-upungufu wa anemia ya chuma kutokana na kutokwa na damu kwa muda mrefu, na kusababisha uchovu, udhaifu na rangi.


K**a wewe ni miongoni mwa wagonjwa wa SARATANI ( CANCER ) na umekua ukihangaika KUTAFUTA matibabu sahihi bila mafanikio,ujumbe huu ni muhimu sana kwako.
natoa ELIMU na Ushauri BURE juu ya changamoto hii..

Utakacholipia ni matibabu TU..karibu what's ap au piga ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

contact Me :- 0788 087 926

๐’๐Ž๐Œ๐Ž ๐‹๐€ ๐‹๐„๐Ž ๐๐‘๐„๐’๐‡๐€๐—ฃ๐—ฟ๐—ฒ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—ป๐—ถ ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ถ? Presha au shinikizo la damu (high blood pressure) ni hali ya mwili kuwa na mgandamizo ...
24/05/2024

๐’๐Ž๐Œ๐Ž ๐‹๐€ ๐‹๐„๐Ž ๐๐‘๐„๐’๐‡๐€

๐—ฃ๐—ฟ๐—ฒ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—ป๐—ถ ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ถ? Presha au shinikizo la damu (high blood pressure) ni hali ya mwili kuwa na mgandamizo mkubwa katika mzunguko wa damu, hivyo kufanya moyo kusukuma damu kwa shida kutokana na kuwa na ukinzani (force) mkubwa kwenye damu.

Hali hii hufanya mishipa ya damu kubeba damu katika mgandamizo mkubwa hivyo kupelekea uwezekano wa kupasuka na kuvujia ndani, au moyo kutanuka.

Presha inaweza kuwa pia ya kushuka kutokana na kuwa na mgandamizo mdogo kwenye damu.

Presha ya kushuka hutokea mara kwa nadra. Mara nyingi husababishwa hali zinazosababisha mishipa ya damu kutanuka au mwili kupoteza maji na chumvi nyingi (septic, hypovolemic shock nk).


๐—ฃ๐—ฟ๐—ฒ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐—ถ๐—ฝ๐—ผ ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐—ฎ๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜‚ ๐—บ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ถ:


๐Ÿญ:- ๐—˜๐˜€๐˜€๐—ฒ๐—ป๐˜๐—ถ๐—ฎ๐—น (๐—ฝ๐—ฟ๐—ถ๐—บ๐—ฎ๐—ฟ๐˜†) ๐—ต๐˜†๐—ฝ๐—ฒ๐—ฟ๐˜๐—ฒ๐—ป๐˜€๐—ถ๐—ผ๐—ป``๐—ฆ๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ถ๐—ธ๐—ถ๐˜‡๐—ผ ๐—น๐—ฎ ๐—ท๐˜‚๐˜‚ ๐—น๐—ฎ ๐—ฑ๐—ฎ๐—บ๐˜‚.

Mara nyingi hii huweza kutokana na mkusanyiko mwingi wa chumvi na maji mwilini hivyo kupelekea mgandamizo mkubwa kwenye mzunguko wa damu. Mgandamizo huu hupelekea kutumika fosi kubwa ili damu iweze kuendelea kuzunguka vizuri na hapa ndio presha ya mwili hupanda.

Presha ya namna hii ndiyo maarufu na inayotokea kwa watu wengi. Huambatana pia na vinasaba vya urithi.

Mfano Baba au Shangazi akiwa na aina hii ya presha, basi na wewe uko kwenye hatari ya kuipata baadae. Ukishalitambua hili ni vizuri kujua nini cha kufanya.

๐Ÿฎ. ๐—ฆ๐—ฒ๐—ฐ๐—ผ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—ฟ๐˜† ๐—ต๐˜†๐—ฝ๐—ฒ๐—ฟ๐˜๐—ฒ๐—ป๐˜€๐—ถ๐—ผ๐—ป

Mara nyingi ni presha inayoletwa na mwili au baadhi ya viungo vya mwili kuwa na hitilafu, hivyo kuufanya mwili ufanye kazi katika hali ya mgandamizo wa juu na hupelekea shinikizo la damu kuongezeka.

๐— ๐—ณ๐—ฎ๐—ป๐—ผ ๐˜‚๐—ด๐—ผ๐—ป๐—ท๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ ๐—™๐—ถ๐—ด๐—ผ ๐—ป๐—ฎ ๐—ฅ๐—ผ๐˜ƒ๐˜‚ (๐—ด๐—ผ๐—ถ๐˜๐—ฒ๐—ฟ) husababisha presha kupanda.

Presha ya aina hii pia husababishwa na mifumo ya kimaisha kwa ujumla hasahasa ulaji na namna tunavyojali afya zetu.

K**a wewe ni miongoni mwa wagonjwa wa PRESHA na umekua ukihangaika KUTAFUTA matibabu sahihi bila mafanikio,ujumbe huu ni muhimu sana kwako.
natoa ELIMU na Ushauri BURE juu ya changamoto hii..

Utakacholipia ni matibabu TU..karibu what's ap au piga ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

contact Me :- 0788 087 926

๐’๐Ž๐Œ๐Ž ๐‹๐€ ๐‹๐„๐Ž ๐“๐„๐™๐ˆ ๐ƒ๐”๐Œ๐„ โ€œ๐๐‘๐Ž๐’๐“๐€๐“๐„ ๐†๐‹๐€๐๐ƒโ€Kutanuka kwa tezi dume (Enlarged Prostate Gland) au benign prostatic hyperplasia (...
22/05/2024

๐’๐Ž๐Œ๐Ž ๐‹๐€ ๐‹๐„๐Ž ๐“๐„๐™๐ˆ ๐ƒ๐”๐Œ๐„ โ€œ๐๐‘๐Ž๐’๐“๐€๐“๐„ ๐†๐‹๐€๐๐ƒโ€
Kutanuka kwa tezi dume (Enlarged Prostate Gland) au benign prostatic hyperplasia (BPH) ni tatizo la kawaida kwa wanaume wenye umri unaozidi miaka 50. Hii inaweza kusababisha madhara mbalimbali, ikiwemo:

๐Ÿญ. ๐— ๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐˜๐—ถ๐˜‡๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ธ๐—ผ๐—ท๐—ผ๐—ฎ:
- Kuwa na haja ya kukojoa mara kwa mara, hata wakati usiku
- Kukojoa kwa mfululizo lakini kumaliza kidogo tu
- Kukojoa kwa nguvu na usumbufu
- Kukojoa kwa tone zisizotarajiwa

๐Ÿฎ. ๐— ๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐˜๐—ถ๐˜‡๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—ณ๐—ถ๐—ด๐—ผ ๐—ป๐—ฎ ๐˜‚๐˜๐—ถ๐—ฒ๐—ณ๐˜‚:
- Kusababisha upungufu wa uwezo wa figo kutok**ana na utiefu wa mkojo
- Kusababisha maradhi ya figo

๐Ÿฏ. ๐— ๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐˜๐—ถ๐˜‡๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐—ณ๐˜‚๐—ฎ:
- Kusababisha maumivu au usumbufu katika kifua

๐Ÿฐ. ๐— ๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐˜๐—ถ๐˜‡๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—ป๐—ด๐—ผ๐—ป๐—ผ:
- Kusababisha ugumu au kushindwa kupata/kudumisha er****on
- Kuweka vikwazo katika shughuli za ngono

๐Ÿฑ. ๐— ๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐˜๐—ถ๐˜‡๐—ผ ๐—บ๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ถ๐—ป๐—ฒ:
- Kusababisha maumivu katika sehemu ya chini ya mwili
- Kusababisha wewe na wasiwasi na hivyo presha
- Kuongeza hatari ya maambukizi ya mkojo

Iwapo tatizo hili halifanyiwi uchunguzi na matibabu yanayostahili, huenda likasababisha madhara makubwa k**a vile uharibifu wa figo au hata hatari ya ugonjwa wa saratani wa tezi dume. Kwa hivyo, ni muhimu kutibiwa mapema.

K**a wewe ni miongoni mwa wagonjwa wa TEZI DUME ( PROSTATE GLAND ) na umekua ukihangaika KUTAFUTA matibabu sahihi bila mafanikio ujumbe huu ni muhimu sana kwako.
natoa ELIMU na Ushauri BURE juu ya changamoto hii..

Utakacholipia ni matibabu TU..karibu what's ap au piga ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

contact Me :- 0788 087 926

๐—”๐—™๐—ฌ๐—”: Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo, Prof. Mohamed Janabi amesem...
21/05/2024

๐—”๐—™๐—ฌ๐—”: Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo, Prof. Mohamed Janabi amesema kila siku takriban Wagonjwa 150 wa Figo wanasafishwa Damu hospitalini hapo na Asilimia 90 wamepata tatizo hilo kutokana na Kisukari na Shinikizo la Juu la Damu

Amesema k**a Watu wasipobadili mtindo wa maisha, Magonjwa Yasiyoambukiza yataharibu Bajeti zote za Afya kwasababu ya gharama kubwa za matibabu huku akitolea mfano gharama za uchunguzi wa Moyo (Angiography) ni Tsh. Milioni 2 bila gharama za matibabu

Prof. Janabi amesisitiza Watu kuwa na utaratibu mzuri wa kula ikiwemo Kufunga kwa Vipindi, Kupunguza kiasi cha Chakula, Kutembea angalau hatua 10,000 kila siku, kutozidisha chupa 2 za Bia na kupima Afya kila Mwaka.

K**a wewe ni miongoni mwa wagonjwa wa FIGO na umekua ukihangaika KUTAFUTA matibabu sahihi bila mafanikio,ujumbe huu ni muhimu sana kwako.
natoa ELIMU na Ushauri BURE juu ya changamoto hii..

Utakacholipia ni matibabu TU..karibu what's ap au piga ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

contact Me :- 0788 087 926

๐—™๐—œ๐—š๐—ข, ๐—ž๐—œ๐—ฆ๐—จ๐—ž๐—”๐—ฅ๐—œ ๐—ก๐—” ๐—ฃ๐—ฅ๐—˜๐—ฆ๐—›๐—”:

๐’๐Ž๐Œ๐Ž ๐‹๐€ ๐‹๐„๐Ž ๐๐ˆ ๐Š๐”๐‡๐”๐’๐” ๐๐€๐Œ๐ˆ๐€.     Bamia ni nini? Bamia ni tunda lenye virutubisho mbali mbali linalotumiwa k**a mboga kwa...
19/05/2024

๐’๐Ž๐Œ๐Ž ๐‹๐€ ๐‹๐„๐Ž ๐๐ˆ ๐Š๐”๐‡๐”๐’๐” ๐๐€๐Œ๐ˆ๐€.

Bamia ni nini? Bamia ni tunda lenye virutubisho mbali mbali linalotumiwa k**a mboga kwa jamii.
Virutubisho vinavyopatikakana kwenye bamia ni Vitamin A,B,C,E n K,madini ya Kalshiamu , Chuma,Magneshiamu ,Zinki na Potashiamu.

๐—ญ๐—ถ๐—ณ๐˜‚๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐˜‡๐—ผ ๐—ป๐—ถ ๐—ณ๐—ฎ๐—ถ๐—ฑ๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ฎ ๐—ฏ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ฎ

๐Ÿ.๐Š๐”๐ˆ๐Œ๐€๐‘๐ˆ๐’๐‡๐€ ๐Œ๐…๐”๐Œ๐Ž ๐–๐€ ๐Œ๐Œ๐„๐๐†โ€™๐„๐๐˜๐Ž .

Bamia zinasaidia kuimarisha mfumo wa umengโ€™enyaji chakula , kutokana na bamia kuwa na wingi wa nyuzi lishe ambazo husaidia kuimarisha utendaji kazi wa mfumo wa chakula kwa kukifanya chakula kipite vizuri na kumengโ€™enywa kwa huraisi . Pia bamia upunguza matatizo mbalimbali ya tumbo k**a vile :- tumbo kujaa gesi na mgandamano wa chakula kwenye utumbo.


๐Ÿ.๐Š๐”๐ˆ๐Œ๐€๐‘๐ˆ๐’๐‡๐€ ๐”๐–๐„๐™๐Ž ๐–๐€ ๐Š๐”๐Ž๐๐€.

๐‘ฉ๐’‚๐’Ž๐’Š๐’‚ ๐’Š๐’๐’‚ ๐’˜๐’Š๐’๐’ˆ๐’Š ๐’˜๐’‚ ๐‘ฝ๐’Š๐’•๐’‚๐’Ž๐’Š๐’๐’Š ๐‘จ.

Vitaminin A inakuwa msaada mkubwa sana kwa matatizo mbalimbali ya macho. Sio tu Vitamini A inayopatikana kwenye bamia pia kuna virutubisho vingine ambavyo huondoa sumu mbalimbali mwilini hasa zile zinazoweza kusababisha kufa kwa seli za macho.

3.๐‘ฉ๐‘จ๐‘ด๐‘ฐ๐‘จ ๐‘ต๐‘ฐ ๐‘ด๐‘บ๐‘จ๐‘จ๐‘ซ๐‘จ ๐‘ฒ๐‘พ๐‘จ ๐‘จ๐‘ญ๐’€๐‘จ ๐’€๐‘จ ๐‘ต๐‘ฎ๐‘ถ๐’๐‘ฐ.

Mbali na kuwa msaada kwa macho pia Vitamini A kwenye bamia ina msaada kwa afya ya ngozi. Hivyo matumizi ya bamia kunaifanya ngozi k**a ina jeraha kupona haraka na kupunguza chunusi na makovu mwilini. Vile vile inaweza kuondoa makunyanzi kwenye ngozi.

4. ๐‘ฒ๐‘ผ๐‘บ๐‘ฏ๐‘ผ๐‘บ๐‘ฏ๐‘จ ๐‘ท๐‘น๐‘ฌ๐‘บ๐‘ฏ๐‘จ.

Vitamini na madini chumvi yanayopatikana kwenye bamia hasa potashiamu husaidia kwa kiwango kikubwa kushusha presha mwilini kwa kuweka uwiano sawa wa kiwango cha madini chumvi mwilini .

Potashiamu inasaidia kuimarisha mishipa ya damu kwa kupunguza presha ya damu na kuimarisha mfumo mzima wa usukumaji damu mwilini.

5.๐‘ฒ๐‘ผ๐‘ฐ๐‘ด๐‘จ๐‘น๐‘ฐ๐‘บ๐‘ฏ๐‘จ ๐‘ฒ๐‘ฐ๐‘ต๐‘ฎ๐‘จ ๐’€๐‘จ ๐‘ด๐‘พ๐‘ฐ๐‘ณ๐‘ฐ ๐‘ซ๐‘ฏ๐‘ฐ๐‘ซ๐‘ฐ ๐’€๐‘จ ๐‘ด๐‘จ๐‘ต๐‘ฎ๐‘ถ๐‘ต๐‘ฑ๐‘พ๐‘จ ๐‘ด๐‘ฉ๐‘จ๐‘ณ๐‘ฐ๐‘ด๐‘ฉ๐‘จ๐‘ณ๐‘ฐ.

Kutokana na uwepo wa virutubisho mbalimbali ambavyo huondoa sumu mbalimbali mwilini pamoja na vitamin C , kazi yake kubwa ni kuchochea mwili kuzalisha seli nyeupe za damu kwa wingi ili ziweze kupambana zidi ya magonjwa mbalimbali.

๐‘ป๐‘จ๐‘ฏ๐‘จ๐‘ซ๐‘ฏ๐‘จ๐‘ณ๐‘ฐโ€ฆ Kwa wale wenye matatizo ya figo na kibofu haruhusiwi kutumia bamia mara kwa mara kwa sababu zinaweza kuongeza ukubwa wa tatizo hilo.

๐—”๐—™๐—ฌ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—”๐—ž๐—œ๐—Ÿ๐—œ   Afya ya akili huathiri mawazo, hisia, na matendo yetu, ikiwa ni pamoja na kihisia, kisaikolojia, na usta...
17/05/2024

๐—”๐—™๐—ฌ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—”๐—ž๐—œ๐—Ÿ๐—œ

Afya ya akili huathiri mawazo, hisia, na matendo yetu, ikiwa ni pamoja na kihisia, kisaikolojia, na ustawi wa jamii. Afya ya akili inajumuisha ustawi wa kihisia, kisaikolojia, na kijamii. Tunadhibiti mawazo, hisia na shughuli zetu. Kuathiri uwezo wetu wa kukabiliana na mafadhaiko, kuunda uhusiano, na kufanya maamuzi. K**a vile afya ya kimwili ni muhimu, afya njema ya akili ni muhimu vile vile kwa maisha yenye kuridhisha na yenye usawaziko.

๐™…๐™„๐™‰๐™Ž๐™„ ๐™”๐˜ผ ๐™†๐™๐™๐™๐™‰๐™•๐˜ผ ๐™‰๐˜ผ ๐™†๐™๐˜ฝ๐™Š๐™๐™€๐™Ž๐™ƒ๐˜ผ ๐˜ผ๐™๐™”๐˜ผ ๐™”๐˜ผ ๐˜ผ๐™†๐™„๐™‡๐™„.

1:-Fanya Mazoezi ya Kuzingatia na kutafakari:

2:-Endelea Kutenda Shughuli ya kimwili na sio tu kwa manufaa kwa mwili wako:

3:-Kukuza Miunganisho ya Kijamii:

4:-Tanguliza Usingizi lala walau masaa 6-8 kila siku:

5:-Lishe yenye afya,akili yenye afya:

6:-Tafuta Usaidizi wa Kitaalamu:

7:-Weka Mipaka:

8:-Jihusishe na Hobbies:

9:-Fanya mazoezi ya Kushukuru:

10:-Tenganisha kutoka kwa Teknolojia:

๐‘ฏ๐’Š๐’•๐’Š๐’Ž๐’Š๐’”๐’‰๐’:- Safari yako ya Afya ya Akili Inaanza Leo

Katika ulimwengu ambao mara nyingi husisitiza mafanikio ya kimwili, ni muhimu kukumbuka kwamba afya ya akili ni muhimu sana. Tunapotanguliza mazoezi na lishe, kutunza ustawi wetu wa kiakili kunapaswa kuwa dhamira ya kila siku. Kujumuisha uangalifu, kukaa hai, kukuza uhusiano, na kutafuta usaidizi inapohitajika kunaweza kutengeneza njia ya maisha bora na yenye furaha. Iwe wewe ni mtoto, kijana, au mtu mzima, safari ya kuboresha afya ya akili huanza na chaguo Lako leo.

K**a wewe ni miongoni mwa wagonjwa wa AFYA YA AKILI na umekua ukihangaika KUTAFUTA matibabu sahihi bila mafanikio,ujumbe huu ni muhimu sana kwako.
natoa ELIMU na Ushauri BURE juu ya changamoto hii..

karibu what's ap au piga ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

contact Me :- 0788 087 926

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Telephone

+255788087926

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA na DR. Santos posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to AFYA na DR. Santos:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram