
28/07/2025
Kitengule hospital tunawaletea siku moja ya uchunguzi wa homa ya Ini katika hospitali yetu. Karibu uonane na daktari BURE, ufanye vipimo vya homa ya Ini na kupata chanjo.
Tarehe: Julai 28, 2025
Mahali: Kitengule Hospital
Muda: Saa 3 Asubuhi - Saa 11 Jioni
Watu wote mnakaribishwa, kwa msaada au maulizo kuhusu uchunguzi huu tafadhali tupigie kwa namba 0676 209 937