
31/07/2024
0692645308
JE UNAFAHAMU MADHARA YA PID...?
Nataka nikufahamishe wewe ambaye umekuwa ukiacha kutibu PID ukidhani itakwisha. Haya ndio madhara yake....... 👇👇👇
1. Hataari ya kupata Cancer ya KIZAZI.
2. Kuziba kwa mirija ya uzazi.
3. Mimba kuharibika.
4. Kutoshika ujauzito KABISA.
5. Siku zako kuvurugika.
6. Kutokwa na hedhi yenye mabonge mabonge mfano wa maini.
Hivyo ukikutana na DALILI ZIFUATAZO UZIPUUZE.
1. Miwasho ukeni.
2. Kutokwa uchafu ukeni.
3. Kichefuchefu
4. Maumivu ya kiuno.
5. Maumivu ya mgongo.
6. uchovu wa mwili.
7. kutokwa mapele usoni.
8. Kutoona siku zako kwa zaidi ya miezi miwili.
9. Maumivu ya tumbo chini ya kitovu.
10. Maumivu unapokwenda haja ndogo.
UNAPOONA DALILI HIZI USIPUUZE MAANA TATIZO LIKISHAKUWA SUGU UTATIBU KWA GHARAMA KUBWA AU KUFANYIWA OPERATION KABISA.