
17/07/2024
π
πππππ ππππππ ππ ππππππ ππ πππππππ ππ ππππππππ
Bawasili au hemorrhoids ni ugonjwa ambao unatokea pale ambapo mishipa ya damu( veins) inapotanuka na kujaa damu na kufanya mtu kuota vinyama kwenye sehemu ya haja kubwa.
Bawasili ipo ya aina mbili: kuna bawasili ya ndani na bawasili ya nje. Bawasili ya ndani vinyama huota kwa sehemu ya ndani ya haja kubwa na kwa bawasili ya nje vinyama huwa vinaota kwenye sehemu ya nje ya njia ya haja kubwa.
SABABU ZA BAWASILI :
1. Kukosa choo kwa muda mrefu au kupata choo kigumu
2. Kunyanyua vitu vizito
3. Kukaa kwa muda mrefu
4. Kuharisha sana
5. Uzito mkubwa kupita kiasi
6. Umri mkubwa
7. Ujauzito
DALILI ZA BAWASILI:
1. Kutoka damu sehemu ya haja kubwa
2. Kupata maumivu sehemu ya haja kubwa
3. Kuota vinyama sehemu ya haja kubwa
4. Kupata muwasho sehemu ya haja kubwa.
Usihofu nimekuandalia suluhisho la uhakika na unapona kabisa huu ugonjwa.
Piga/whatsup.
0754096679
0687096671