Mpango wa Taifa wa Damu Salama - NBTS - Tanzania

Mpango wa Taifa wa Damu Salama - NBTS - Tanzania Ukurasa rasmi wa Mpango wa Taifa wa Damu Salama Tanzania, chini ya Wizara ya Afya.

The National Blood Transfusion Service (NBTS) Policy Guidelines aim at providing guidance towards the establishment of well-organized blood transfusion services, in line with the World Health Assembly Resolution WHA 28.72 (adopted in 19th May 1975) that urges all member states to develop comprehensive and well-coordinated blood transfusion service based on voluntary, non-remunerated blood donation.

26/04/2026
Every day, blood donation helps save the lives of mothers, children, accident victims, and patients across Tanzania. Thi...
25/04/2026

Every day, blood donation helps save the lives of mothers, children, accident victims, and patients across Tanzania. This feature highlights the important role of voluntary blood donors in keeping our health system running.

A big thank you to for supporting this life saving message.

Donate blood. Save lives.

Katika kuadhimisha Wiki ya Maabara, tunatambua mchango mkubwa wa wataalamu wa maabara katika kuhakikisha upatikanaji wa ...
21/04/2026

Katika kuadhimisha Wiki ya Maabara, tunatambua mchango mkubwa wa wataalamu wa maabara katika kuhakikisha upatikanaji wa damu salama na salama kwa matumizi ya kitabibu.

Kupitia juhudi za Mpango wa Taifa wa Damu Salama, vipimo vya maabara vinafanyika kwa umakini mkubwa ili kuhakikisha kila tone la damu linakidhi viwango vya ubora na usalama kabla ya kumfikia mhitaji.

Wataalamu wa maabara ndio walinzi wa mwisho wa usalama wa damu kazi yao inahakikisha maisha yanaokolewa kila siku.

Tunawashukuru na kuwapongeza kwa kazi yao muhimu! 👏

Mama salama. Mtoto salama.Kila chupa ya damu uliyochangia lilibeba maisha..Asante sana kwa wachangia damu..           Sa...
13/04/2026

Mama salama. Mtoto salama.
Kila chupa ya damu uliyochangia lilibeba maisha..
Asante sana kwa wachangia damu..
SaveALife

Heri ya Pasaka.
04/04/2026

Heri ya Pasaka.

Siku hii muhimu itukumbushe upendo, kujitoa na kujali maisha ya wengine. Tunawaomba muendelee kuonyesha moyo huo kwa kuc...
02/04/2026

Siku hii muhimu itukumbushe upendo, kujitoa na kujali maisha ya wengine. Tunawaomba muendelee kuonyesha moyo huo kwa kuchangia damu ili kuokoa maisha ya wahitaji.

kuchangia damu ni jukumu la kijamii na la kibinadamu. Ni tendo rahisi lakini lenye uwezo wa kuokoa maisha mengi. Kila mt...
31/03/2026

kuchangia damu ni jukumu la kijamii na la kibinadamu. Ni tendo rahisi lakini lenye uwezo wa kuokoa maisha mengi. Kila mtu mwenye afya njema anapaswa kuchukua hatua ya kuchangia damu mara kwa mara ili kusaidia wale wanaohitaji. Kwa pamoja, tunaweza kujenga jamii yenye afya bora na yenye kujali maisha ya wengine.

Mpango wa Taifa wa Damu Salama, kwa kushirikiana na Shirika la Afya Duniani (WHO),  umefanya mafunzo kwa wahudumu wa afy...
25/03/2026

Mpango wa Taifa wa Damu Salama, kwa kushirikiana na Shirika la Afya Duniani (WHO), umefanya mafunzo kwa wahudumu wa afya ngazi ya jamii (Community Health Care Workers) mkoani Mbeya leo, tarehe 25 machi 2026
Mafunzo hayo yanalenga kuongeza uelewa na kuwajengea uwezo wahudumu hao kuhusu masuala ya damu salama, ikiwemo umuhimu wa uchangiaji wa damu wa hiari,
Kupitia mafunzo haya, wahudumu wa afya ngazi ya jamii wamewezeshwa kutoa elimu sahihi kwa wananchi, kuhamasisha jamii kushiriki katika uchangiaji wa damu salama, pamoja na kusaidia juhudi za kuboresha huduma za afya na kuokoa maisha ya wahitaji wengi zaidi.
Mpango huu ni sehemu ya jitihada endelevu za kuimarisha upatikanaji wa damu salama na huduma bora za afya kwa jamii.

Mpango wa Taifa wa Damu Salama unaendelea kutoa mafunzo kwa wahudumu wa afya ngazi ya jamii (Community Health Care Worke...
25/03/2026

Mpango wa Taifa wa Damu Salama unaendelea kutoa mafunzo kwa wahudumu wa afya ngazi ya jamii (Community Health Care Workers) mkoani Mbeya leo, tarehe 25 machi 2026.

Mafunzo haya yanalenga kuwawezesha wahudumu hao kupata uelewa sahihi kuhusu masuala ya damu salama ili waweze kutoa elimu kwa jamii, kuhamasisha uchangiaji wa damu salama, na kusaidia kuboresha huduma za afya kwa wananchi.

Address

Dar Es Salaam
P.O.BOX65019

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 18:00
Wednesday 08:00 - 18:00
Thursday 08:00 - 18:00
Friday 08:00 - 18:00
Saturday 08:00 - 18:00
Sunday 08:00 - 18:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mpango wa Taifa wa Damu Salama - NBTS - Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share