Miracolo Hospital

Miracolo Hospital Miracolo Hospital was openned june this year and we focus on delivering quality care and value for m

At Miracolo we bring together specialist from all four majour depertment, we have an ultra modern well operating laboratory equipped with variety of tests,
Collectively our hospital opens 24hrs with full functioning Laboratory pharmacyand highly qualified team of stuffs
At Miracolo our Motto is to Save life,we focus on the needs of the patients and their diseases while balancing the goal of provi

ding superb highest standard of care in affordable and easly accessible way. Strong focus on patient safety,continual improvement and best clinical outcome

Afya yako ndio kipaumbele chetu .Karibu Tukuhudumie .Kwa mawasiliano zaidi tupigie 0719856600
28/07/2025

Afya yako ndio kipaumbele chetu .

Karibu Tukuhudumie .

Kwa mawasiliano zaidi tupigie 0719856600

Kabla ya kubeba mimba tunakushauri uonane na daktari bingwa wa kina mama kwa msaada zaidi wa kiafya.Karibu Miracolo hosp...
24/07/2025

Kabla ya kubeba mimba tunakushauri uonane na daktari bingwa wa kina mama kwa msaada zaidi wa kiafya.

Karibu Miracolo hospital ukutane na daktari bingwa wa kina mama kwaajili yakukusaidia na kukushauri katika safari yako ya uzazi .

Kwa mawasiliano zaidi tupigie :0719856600

Mara ujigunduapo ni mjamzito fika katika kituo cha huduma ya afya kwaajili ya uangalizi  ili kuepuka changamoto hii.Kari...
22/07/2025

Mara ujigunduapo ni mjamzito fika katika kituo cha huduma ya afya kwaajili ya uangalizi ili kuepuka changamoto hii.

Karibu Miracolo Hospital kwaajili yakupata huduma bora .Daktari bingwa wa kina mama Yupo kwaajili yako .

Kwa mawasiliano zaidi tupigie:0719856600

Mara ujigunduapo ni mjamzito fika katika kituo cha huduma ya afya kwaajili ya uangalizi  ili kuepuka changamoto hii.Kari...
21/07/2025

Mara ujigunduapo ni mjamzito fika katika kituo cha huduma ya afya kwaajili ya uangalizi ili kuepuka changamoto hii.

Karibu Miracolo Hospital kwaajili yakupata huduma bora .Daktari bingwa wa kina mama Yupo kwaajili yako .

Kwa mawasiliano zaidi tupigie:0719856600

DAKTARI WA MACHO ANAPATIKANA JUMATATU HADI IJUMAA KARIBU UPATE USHAURI NA UCHUNGUZI  WA MACHO YAKO.Kwa mawasiliano zaidi...
18/07/2025

DAKTARI WA MACHO ANAPATIKANA JUMATATU HADI IJUMAA KARIBU UPATE USHAURI NA UCHUNGUZI WA MACHO YAKO.

Kwa mawasiliano zaidi tupigie : 0719856600

Chukua taadhari mapema uonapo dalili hizi  muwaishe mtoto hospitali .Kwa mawasiliano zaidi tupigie :0719856600
13/07/2025

Chukua taadhari mapema uonapo dalili hizi muwaishe mtoto hospitali .

Kwa mawasiliano zaidi tupigie :0719856600

09/07/2025
katika kusheherekea  siku ya sabasaba pia tulipata wakati mzuri wakusherehekea miaka tisa ya huduma bora na kujitoa kati...
08/07/2025

katika kusheherekea siku ya sabasaba pia tulipata wakati mzuri wakusherehekea miaka tisa ya huduma bora na kujitoa katika jamii . pamoja na sherehe hii ya maadhimisho ya miaka tisa uongozi ulitoa vyeti pamoja na zawadi kwa wafanyakaz bora hii ikiwa ni motisha kwetu katika kutoa huduma bora na yenye staha .

Afya yako ndio kipaumbele chetu tunakuthamini.kwa mawasiliano zaidi tupigie 0719856600
06/07/2025

Afya yako ndio kipaumbele chetu tunakuthamini.

kwa mawasiliano zaidi tupigie 0719856600

Address

Kinondoni

Telephone

+255719856600

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Miracolo Hospital posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Miracolo Hospital:

Share

Category