National Institute For Medical Research

National Institute For Medical Research The National Institute for Medical Research (NIMR) is a government research institution under the Ministry for Health established in 1979.

NIMR has the dual mandate to conduct and regulate health research on Tanzania Mainland. The National Institute for Medical Research (NIMR) is the largest public health research institution in Tanzania. It was established by the Parliament Act No. 23 of 1979 as a parastatal organization under the Ministry of Health. The establishment of NIMR was in recognition by the government of the need to generate scientific information required in the development of better methods and techniques of enhancing disease management, prevention and control in the country.

20/11/2025
π—‘π—œπ— π—₯ π—¬π—”π—­π—œπ——π—œ π—žπ—¨π—‘π—š`𝗔π—₯𝗔 π—žπ—œπ— π—”π—§π—”π—œπ—™π—”Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) imeendelea kung’ara kimataifa i...
17/11/2025

π—‘π—œπ— π—₯ π—¬π—”π—­π—œπ——π—œ π—žπ—¨π—‘π—š`𝗔π—₯𝗔 π—žπ—œπ— π—”π—§π—”π—œπ—™π—”

Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) imeendelea kung’ara kimataifa iliposhiriki katika kongamano la kisayansi la American Society of Tropical Medicine and Hygiene (ASTMH) kwa mwaka 2025.
Katika kongamano hilo, watafiti kadhaa wa NIMR walishiriki na kuwasilisha jumla ya tafiti 16 za kisayansi 13 zikiwa posters na 3 ni mawasilisho kwa njia ya mdomo yanayohusu tafiti bunifu katika eneo la magonjwa ya tropiki. Uwakilishi huu umeonesha ubora na thamani ya tafiti za NIMR, pamoja na mchango wake katika kuzalisha ushahidi wa kisayansi unaosaidia kuendeleza afya ya jamii duniani.
Katika hatua ya kujivunia, Bi. Catherine Bakari Mvaa ambaye ni mwanafunzi wa Shahada ya Uzamivu (PhD) katika Chuo Kikuu cha Basel nchini Uswisi aliyefadhiliwa na mradi wa utafiti wa MSMT awamu ya kwanza wa NIMR alipokea tuzo ya Professor Dominic Kwiatkowski Fellowship ya Gates Foundation kutokana na ubora wa utafiti wake ikionyesha kutambuliwa kwa mchango wake katika maendeleo ya kisayansi.
Kongamano hili ni jukwaa la kimataifa linalowakutanisha wanasayansi na wataalamu mbalimbali kujadiliana maendeleo ya kisayansi na kitabibu katika tiba ya magonjwa ya kitropiki. Kwa mwaka huu, kongamano hilo la siku tano limefanyika jijini Toronto, Canada kuanzia tarehe 9–13 Novemba 2025.
.

Utafiti huu ulilenga kuangalia mtazamo wa jamii kuhusu kuanzisha na kudumisha ushiriki wa  vikundi vya wanawake katika k...
27/10/2025

Utafiti huu ulilenga kuangalia mtazamo wa jamii kuhusu kuanzisha na kudumisha ushiriki wa vikundi vya wanawake katika kudhibiti mbu na wadudu dhurifu.

Utafiti huu ulilenga kuangalia mtazamo wa jamii kuhusu kuanzisha na kudumisha ushiriki wa vikundi vya wanawake katika kudhibiti mbu na wadudu dhurifu, uliofa...

27/10/2025

𝐄𝐍𝐃 𝐅𝐔𝐍𝐃 ππ‘πŽπ‰π„π‚π“

Mradi huu una mpango wa kutoa matibabu ya ugonjwa wa Mabusha kwa njia ya upasuaji ambao unafanyika katika mikoa ya Tanga, Pwani, Morogoro na Mtwara.

Address

3 Barack Obama Drive
Dar Es Salaam
P.O.BOX9653

Opening Hours

Monday 08:00 - 16:00
Tuesday 08:00 - 16:00
Wednesday 08:00 - 16:00
Thursday 08:00 - 16:00
Friday 08:00 - 16:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when National Institute For Medical Research posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to National Institute For Medical Research:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram