
08/07/2024
KILIMANJARO INSTITUTE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES – DAR CAMPUS YENYE USAJILI WA KUDUMU WA NACTE(REG/HAS/236), WANAKUTANGAZIA NAFASI ZA MASOMO KWA MUHULA WA SEPTEMBA KATIKA KOZI ZIFUATAZO,
1)DIPLOMA IN CLINICAL MEDICINE(MIAKA 3)
-SIFA ZA MWOMBAJI AWE NA ANGALAU D NNE KIDATO CHA NNE IKIWEMO YA FIZIKIA,KEMIA NA BIOLOJIA
2)DIPLOMA IN PHARMACEUTICAL SCIENCES (MIAKA 3)
SIFA:MWOMBAJI AWE NA 'D' 4 KIDATO CHA NNE IKIWEMO YA CHEMISTRY NA BIOLOGY.
3) DIPLOMA IN MEDICAL LAB. (MIAKA 3)
-SIFA ZA MWOMBAJI AWE NA ANGALAU D NNE KIDATO CHA NNE IKIWEMO YA FIZIKIA,KEMIA NA BIOLOJIA
4) DIPLOMA IN SOCIAL WORK( MIAKA 3)
SIFA:MWOMBJI AWE NA ANGALAU "D" 4 KIDATO CHA NNE YA MASOMO YOYOTE ISIPOKUWA MASOMO YA DINI
ADA NI 1,400,000 NA INALIPWA KWA AWAMU NNE,
HOSTELI ZA KISASA ZINAPATIKANA BURE KWA WANAFUNZI WOTE, PIA TUNATOA CHAKULA CHA MCHANA BURE.
FANYA MAOMBI KUPITIA: http://application.kilimanjarohealthinstitute.ac.tz
CHUO KIPO DAR ES SALAAM NJIA GOBA - MASANA MBEZI BEACH, STENDI YA UYOGA
KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA: 0746 333 800 AU 0676 933 800
Jiunge na group letu la WhatsApp kwa maswali na maelezo zaidi: https://chat.whatsapp.com/B55nyblJz7GHgKiFDI5Mav