Afya na Dawa

Afya na Dawa WOMAN HEALTH SOLUTION
📞0786473826

24/09/2024

JE??????? UNAFAHAMU TEKNOLOJIA MPYA YA TIBA IITWAYO STEM CELL

STEM CELL (seli shina/ kiini mama)

TIBA YA STEM CELL inashughulikia matatizo ya kiafya kwenye chanzo chake, katika kiwango cha seli

Kwa nini suluhisho/utatuzi wa Stem Cell ni bora kuliko Tiba nyingine?????????

Stemcell ni seli huru yenye uwezo wa kujigawa na kutengeneza aina mbalimbali ya seli mwilini. Kwa nini tunahitaji StemCell!?

Stem cell inaweza Kuzuia na kushughulikia shida nyingi za kiafya kwa wakati Mmoja.
Kwa sababu tu miili yetu imeundwa na SELI na sio madawa.

Kabla ya matibabu ya stem kugundulika Maisha ya kila binadamu yalianza k**a SELI moja (KIJUSI) iliendelea kuongezeka na kutoa SELI, TISHU, na viungo vingine vyote vinavyounda mwili wa binadamu.

Mwili ni mkusanyiko wa SELI. K**a mtu ni mgonjwa maana yake

1 Hurekebisha seli zilizoharibika.
2. Hurejesha seli zilizokufa.
3. Hutengeneza seli upya
4. Ukinga seli vizuri.
5. Urejesha utendajikazi wa seli vyema

Hivyo basi stem cell inapambana na kujikinga na
magonjwa ya uzazi k**a vile
👉 Utokwaji wa uchafu ukeni (Vaginal discharge)
👉 Harufu mbaya ukeni wakati wakushiriki tendo la ndoa
👉 Fangasi sugu/Miwasho baada ya kushiriki tendo la ndoa.
👉 Kuhisi maumivu na michubuko/uke kuwaka moto wakati wa tendo la ndoa
👉 Uke kuwa mkavu sana.
👉 Kutokubalansi kwa homoni.
👉 Uvimbe kwenye kizazi
👉 Miscarriage (mimba kuharibika)
👉 Saratani ya shingo ya kizazi
👉 U.T.I sugu na fangasi sugu
👉 maambukizi kwenye via vya uzazi (PID)
👉 Hedhi nzito au nyepesi sana
👉 Kupata hedhi yenye maumivu makali sana
Kwa maelekezo zaidi
Nitatute inbox/piga

CONTACT: +255 786473826

HABARI MPENDWAFAHAMU CHA KUFANYA MIMBA INAPOHARIBIKA AU KUTOKA 1. Hakikisha umefanyiwa uchunguzi sahihi kujua k**a kutak...
02/09/2024

HABARI MPENDWA
FAHAMU CHA KUFANYA MIMBA INAPOHARIBIKA AU KUTOKA

1. Hakikisha umefanyiwa uchunguzi sahihi kujua k**a kutakuwa na masalia yoyote ya mimba kwenye mji wa Uzazi (incomplete) ili uweze kusafishwa na kuepusha madhara ya baadae k**a mirija kuziba n.k

2. K**a DAMU inaendelea kuvuja ndani ya wiki tangu mimba kuharibika ni muhimu kurejea hospitali ili kupata tiba kwani inaweza kupelekea upotevu wa DAMU nyingi na kupata maambukizi na hata kifo

3. Ndani ya wiki mbili za mwanzo tangu mimba kuharibika hutakiwi kuingiza chochote hata dawa ukeni kwani huweza kusababisha maambukizi, ukizingatia muda huo shingo ya Kizazi huwa bado iko wazi.

4. Kabla ya kuamua kubeba ujauzito mwingine hakikisha umejua nini chanzo cha MIMBA kuharibika na k**a ni maradhi yatibu na upone ndipo uamue kubeba mimba nyingine.

5. K**a ni mimba yako ya Kwanza hakikisha umepima kundi lako la DAMU mapema ndani ya masaa 24 ili kuepusha madhara ya baadae ya Rhesus negative

6. Kutokupata huduma sahihi baada ya mimba kuharibika mapema baadae huweza kupelekea kupata maambukizi ya PID
KWA USHAURI NA TIBA
+255786473826

Habari mpendwaFahamu Sababu za mwanamke kufanyiwa upasuaji wa ujauzito(kuzaa kwa operesheni) ni maarufu k**a Caesarean (...
02/09/2024

Habari mpendwa
Fahamu Sababu za mwanamke kufanyiwa upasuaji wa ujauzito(kuzaa kwa operesheni) ni maarufu k**a Caesarean (C-section), ni pamoja na hizi hapa:

1. Kukosekana kwa ulinganifu kati ya mtoto na njia ya uzazi:
K**a mtoto ni mkubwa sana kupita kwenye njia ya kawaida ya uzazi au k**a njia ya uzazi ni ndogo au ina matatizo mengine inaweza kupelekea mama kufanyiwa CS

2. Mtoto kutogeuka vizuri:
K**a mtoto hajageuka na kutanguliza kichwa chini kabla ya muda wa kujifungua (kuanzia wiki ya 36), hii pia inaweza kupelekea mama kufanyiwa CS.

3. Matatizo ya Kondo la Nyuma (Placenta):
Mfano Placenta previa (kondo la nyuma kufunika mlango wa kizazi) au abruptio placenta (kondo la nyuma kujinyofoa mapema kwenye kizazi) ni matatizo ambayo yanaweza kusababisha mama kufanyiwa upasuaji ili kuepuka matatizo zaidi kwa mama na mtoto.

4. Magonjwa k**a VVU:
Wakati mwingine upasuaji unafanywa ili kupunguza hatari ya maambukizi ya VVU kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto wakati wa kujifungua.

5. Historia ya Upasuaji wa Awali:
Wanawake ambao wamewahi kufanyiwa upasuaji wa kujifungua huko nyuma, wanaweza kufanyiwa upasuaji tena ili kuepuka hatari ya kuachia kwa kovu la awali.

6. Matatizo ya Shinikizo la Damu:
Magonjwa k**a preeclampsia yanaweza kuhitaji upasuaji ili kuokoa maisha ya mama na mtoto.
Kwa mawasiliano nitafute
0786473826

HABARI MPENDWAFAHAMU DALILI 15 ZA HATARI KWA MWANAMKEKuna baadhi ya dalili ambazo wanawake *huziona ni za kawaida* na ku...
30/08/2024

HABARI MPENDWA
FAHAMU DALILI 15 ZA HATARI KWA MWANAMKE

Kuna baadhi ya dalili ambazo wanawake *huziona ni za kawaida* na kuzipuuza lakini baada ya muda huona *madhara makubwa* yanayogharimu afya zao za uzazi.

Hapa nimekuwekea baadhi ya dalili ambazo *hupaswi kuzipuuza* pale zinapokutokea.👇

1. Kupata Maumivu makali chini ya
kitovu yanayo ambatana na maumivu
ya kiuno,

2. Kuhisi maumivu na hali ya
kuchomachoma wakati wa haja
ndogo,

3. Miwasho sehemu za siri ndani au nje ya uke,

4. Kutokwa na ute ukeni usio wa
kawaida, ute huu unaweza kuwa wa
njano, mweupe, kijani, kahawia, au
uliochanganyika na damu hizi ni dalili
za maambukizi katika via vya uzazi,

5. Kupata maumivu makali wakati wa
tendo la ndoa,

6. Kuhisi k**a kuna kitu kinasukumwa kinachouma wakati wa tendo la ndoa,

7. Kutokwa na hedhi bila mpangilio,

8. Kupata maumivu makali sana wakati wa hedhi,

9. Kutokwa na damu ya hedhi yenye
mabonge au nyeusi sana,

10. Kutokwa na damu ya hedhi mfurulizo bila kukata zaidi ya siku 7 na kuendelea,

11. Hedhi kujirudia ndani ya mwezi
mmoja zaidi ya mara mbili au tatu,

12. Kutopata hedhi kwa muda mrefu
wakati si mjamzito na bado
hajafikia umri wa kukoma hedhi,

13. Kupata vipele vinavyouma na
kuwasha sehemu za siri,

14. Kuvimba na kuwa mwekundu kati
midomo ya nje ya uke,

15. Uke kuwaka Moto.

Kwa maelezo zaidi, ushauri na matibabu pia nitafute sasa
+255 786473826

HABARI MPENDWAFAHAMU DALILI 15 ZA HATARI KWA MWANAMKEKuna baadhi ya dalili ambazo wanawake huziona ni za kawaida na kuzi...
26/08/2024

HABARI MPENDWA
FAHAMU DALILI 15 ZA HATARI KWA MWANAMKE

Kuna baadhi ya dalili ambazo wanawake huziona ni za kawaida na kuzipuuza lakini baada ya muda huona *madhara makubwa* yanayogharimu afya zao za uzazi.

Hapa nimekuwekea baadhi ya dalili ambazo hupaswi kuzipuuza pale zinapokutokea.👇

1. Kupata Maumivu makali chini ya
kitovu yanayo ambatana na maumivu
ya kiuno,

2. Kuhisi maumivu na hali ya
kuchomachoma wakati wa haja
ndogo,

3. Miwasho sehemu za siri ndani au nje ya uke,

4. Kutokwa na ute ukeni usio wa
kawaida, ute huu unaweza kuwa wa
njano, mweupe, kijani, kahawia, au
uliochanganyika na damu hizi ni dalili
za maambukizi katika via vya uzazi,

5. Kupata maumivu makali wakati wa
tendo la ndoa,

6. Kuhisi k**a kuna kitu kinasukumwa kinachouma wakati wa tendo la ndoa,

7. Kutokwa na hedhi bila mpangilio,

8. Kupata maumivu makali sana wakati wa hedhi,

9. Kutokwa na damu ya hedhi yenye
mabonge au nyeusi sana,

10. Kutokwa na damu ya hedhi mfurulizo bila kukata zaidi ya siku 7 na kuendelea,

11. Hedhi kujirudia ndani ya mwezi
mmoja zaidi ya mara mbili au tatu,

12. Kutopata hedhi kwa muda mrefu
wakati si mjamzito na bado
hajafikia umri wa kukoma hedhi,

13. Kupata vipele vinavyouma na
kuwasha sehemu za siri,

14. Kuvimba na kuwa mwekundu kati
midomo ya nje ya uke,

15. Uke kuwaka Moto.

Kwa maelezo zaidi, ushauri na matibabu
nitafute sasa
+255 786473826

25/08/2024
HABARI MPENDWAHealth Consultant: WEWE AMBAYE UNATAMATIZO YAFUATAYO;👇✍️unapatwa na Miwasho isiyo kwisha.✍️unatokwa na uch...
23/08/2024

HABARI MPENDWA
Health Consultant: WEWE AMBAYE UNATAMATIZO YAFUATAYO;👇
✍️unapatwa na Miwasho isiyo kwisha.
✍️unatokwa na uchafu k**a maziwa mgando ukeni.
✍️unatatizo la U.T.I, Fangasi na P.I.D inapona na kurudi, umemeza sana dawa za hospitali lakini hakuna matokeo.
✍️Uke wako ni mkavu, unapata maumivu wakati wa tendo hauoni ute wako wa Ovulation(kupevuka kwa yai).
✍️Wewe ambaye unapata dalili zote za kuingia hedhi k**a vile matiti kujaa na kuuma,kiuno na nyonga kuuma,kusikia kichefuchefu , tumbo kuuma, na mwisho wa siku hawaoni chochote na matatizo haya mara nyingi huwapata wanawake wanaotumia njia za uzazi wa mpango .

USIPUUZIE HIYO HALI SABABU UPO HATARINI.....

👉🏽 Kupata Saratani ya shingo ya kizazi.
👉🏽 Mirija ya uzazi kuziba.
👉🏽 Kupata hormones imbalance(mvurugiko wa homoni).
👉🏽 Mayai kutopevushwa kabisa hivyo kushindwa kushika ujauzito.
👉🏽Mimba kuharibika au kutoka(miscarriage).
👉🏽 Kupata mtoto mwenye matatizo ya kiafya.
👉🏽kupata uvimbe kwenye kizazi(fibroids).

ITAKUGHARIMU UHAI NA PESA NYINGI KUTIBU TATIZO AMBALO UNGEWEZA KULITIBU SASA...

📍kwa wewe mwenye changamoto hizo nimekuletea tiba ya kumaliza tatizo lako

📍UG-Booster Berry+ (HESHIMA YA MWANAMKE)

➡️Ni bidhaa tiba iliyotengenezwa na teknolojia ya kisasa yaani Stemcell kutoka kwenye mimea ya asili ya matunda k**a Aleppo Oak, Manjakani, Kacip fatima, mahkota dewa, Maca na zabibu poli.
➡️Ug-Booster Berry+ ni mkombozi kwa Afya ya mwanamke kupitia mimea tiba iliotumika kuitengeneza. Bidhaa hii imethibitishwa kwa afya ya mtumiaji.
Inauwezo wa kufanya yafuatayo;
1. Kuondoa maumivu wakati wa tendo la ndoa
2. Kuweka mzunguko wa hedhi sawa
3. Kupambana na kutibu saratani ya kizazi
4. Kuondoa uvimbe kwenye kizazi(fibroids)
5. Kukaza uke uliolegea na kuongeza joto la uke
6. Kuongeza utelezi msafi
7. Kutibu U.T.I Sugu na P.I.D (Pelvic Iflammatory Disease)
8. Kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke
9. Kuondoa sumu mwili zitokanazo na njia za uzazi wa mpango
10. Kirutubisha mayai kwa mwanamke
11. Kutibu madhara ya kujichua kwa mwanamke N.K

Mpendwa kwa msaada na ushauri Usisite kunitafuta
Namba:+255 786473826

HABARI MPENDWAFAHAMU KUHUSU U.T.IU.T.I ni ufupisho wa Urinary Tract InfectionU.T.I ni maambukizi kwenye njia ya mkojo hu...
22/08/2024

HABARI MPENDWA
FAHAMU KUHUSU U.T.I
U.T.I ni ufupisho wa Urinary Tract Infection
U.T.I ni maambukizi kwenye njia ya mkojo huweza kusababisha mtu kuhisi maumivu wakati wa kukojoa, maumivu ya tumbo hasa chini ya kitovu, kuhisi kubanwa mkojo na kukojoa mara kwa mara, mkojo kuwa na rangi k**a ya maziwa hivi au kukojoa damu na kuhisi homa wakati mwingine.

👉 U.T.I- Kwa asilimia kubwa huwapata wanawake kwasababu ya maumbile yao hasa kuwa na mrija mfupi unaotoa mkojo kwenye kibofu hadi sehemu ya nje ya uke (urethra).

📍Mwanamke anaweza kuzuia kupata UTI mara kwa mara kwa kufanya yafuatayo👇

➡️Safisha sehemu zako za uke kwa kutoa mkono mbele kwenda nyuma kila mara unapo enda haja lengo ni kuzuia uchafu wa sehemu ya haja kubwa kuja sehemu ya haja ndogo.

➡️Nenda haja ndogo baada ya kushiriki tendo la ndoa, k**a hauhisi kubanwa na mkojo basi kunywa maji mengi ili mwili utengeneze mkojo kisha nenda kakojoe, lengo ni kuwasukuma na kuwatoa bakteria waliofanikiwa kusukumwa ndani ya njia ya mkojo wakati mkiendelea kufurahia tendo la ndoa.

➡️Usipulizie manukato wala kuweka kitu chochote chenye kemikali sehemu zako za ukeni, kufanya hivi (kutumia kemikali kusafishia uke) hakuta kupatia UTI tu bali utaanza kutoa hadi uchafu wenye kutoa harufu au k**a maziwa maziwa hivi.

➡️Usikae na mkojo kwa mda mrefu, jitahidi kwenda hana ndogo kila unapo hisi umebanwa na mkojo.

👉 K**a huwa unapata UTI mara kwa mara na unatumia kondomu au njia nyingine zinazo hitaji kugusana na sehemu za uke moja kwa moja k**a njia ya kuzuia ujauzito basi jaribu kubadirisha njia yako ya kupanga uzazi kwani njia hizo huongeza chance ya mwanamke kupata UTI.

Mpendwa kwa msaada na ushauri Usisite kunitafuta
Namba:+255 786473826

21/08/2024

JE??????? UNAFAHAMU TEKNOLOJIA MPYA YA TIBA IITWAYO STEM CELL

STEM CELL (seli shina/ kiini mama)

TIBA YA STEM CELL inashughulikia matatizo ya kiafya kwenye chanzo chake, katika kiwango cha seli

Kwa nini suluhisho/utatuzi wa Stem Cell ni bora kuliko Tiba nyingine?????????

Stemcell ni seli huru yenye uwezo wa kujigawa na kutengeneza aina mbalimbali ya seli mwilini. Kwa nini tunahitaji StemCell!?

Stem cell inaweza Kuzuia na kushughulikia shida nyingi za kiafya kwa wakati Mmoja.
Kwa sababu tu miili yetu imeundwa na SELI na sio madawa.

Kabla ya matibabu ya stem kugundulika Maisha ya kila binadamu yalianza k**a SELI moja (KIJUSI) iliendelea kuongezeka na kutoa SELI, TISHU, na viungo vingine vyote vinavyounda mwili wa binadamu.

Mwili ni mkusanyiko wa SELI. K**a mtu ni mgonjwa maana yake

1 Hurekebisha seli zilizoharibika.
2. Hurejesha seli zilizokufa.
3. Hutengeneza seli upya
4. Ukinga seli vizuri.
5. Urejesha utendajikazi wa seli vyema

Hivyo basi stem cell inapambana na kujikinga na
magonjwa ya uzazi k**a vile
👉 Utokwaji wa uchafu ukeni (Vaginal discharge)
👉 Harufu mbaya ukeni wakati wakushiriki tendo la ndoa
👉 Fangasi sugu/Miwasho baada ya kushiriki tendo la ndoa.
👉 Kuhisi maumivu na michubuko/uke kuwaka moto wakati wa tendo la ndoa
👉 Uke kuwa mkavu sana.
👉 Kutokubalansi kwa homoni na mvurugiko wa mzunguko wa hedhi.
👉 Uvimbe kwenye kizazi
👉 Miscarriage (mimba kuharibika)
👉 Saratani ya shingo ya kizazi
👉 U.T.I sugu na fangasi sugu
👉 maambukizi kwenye via vya uzazi (P.I.D)
👉 Hedhi nzito au nyepesi sana
👉 Kupata hedhi yenye maumivu makali sana
Kwa maelekezo zaidi
Nitatute inbox/piga

CONTACT: +255 786473826

*HABARI MPENDWA* Karibu upate maarifa kuhusu afya👉 *BAADHI YA DALILI ZA UTI*1️⃣Kujisikia kukojoa muda wote2️⃣kuchoka san...
21/08/2024

*HABARI MPENDWA*
Karibu upate maarifa kuhusu afya

👉 *BAADHI YA DALILI ZA UTI*
1️⃣Kujisikia kukojoa muda wote
2️⃣kuchoka sanaa
3️⃣Mkojo kutoa harufu
4️⃣Mkojo wa rangi
5️⃣Homa Kali
6️⃣kichefuchefu
7️⃣kutapika

👉 *BAADHI YA DALILI ZA FANGASI UKENI*
▶️kuwashwa sehemu za siri
▶️Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa
▶️Kuhisi kuwaka moto sehemu za siri
▶️Kupata vidonda
▶️Kupata michubuko ukeni
▶️Maumivu wakati wa kukojoa
▶️Kutokwa na uchafu wa rangi mweupe ukeni usio wa kawaida
▶️Mdomo wa uke kuvimba na kuwa na rangi nyekundu

👉 *BAADHI YA DALILI ZA PID*
1️⃣Kutokwa na uchafu mzito ukeni
2️⃣Uchafu ukeni wa rangi nyeupe au njano
3️⃣Uke kutoa harufu mbaya
4️⃣Kuwashwa sehemu za siri
5️⃣maumivu makali ya tumbo chini ya kitovu
6️⃣Uke kuwa mlaini sana
7️⃣Maumivu wakati wa tendo la ndoa
8️⃣Kuvurugikwa kwa hedhi
9️⃣Kutokwa na majimaji ukeni kupita kiasi
🔟Maumivu wakati wa kukojoa
1️⃣1️⃣Homa/uchovu na kuchoka
1️⃣2️⃣kizungu zungu na n.k

👉 *BAADHI YA DALILI ZA FIBROIDS AU UVIMBE KWENYE KIZAZI*
1️⃣Kutokwa na damu kwenye via vya uzazi katikati ya mwezi
2️⃣Kutokwa na uchafu wenye harufu mbaya ukeni
3️⃣Kutokwa na uchafu mwingi na mweupe ukeni
4️⃣Maumivu makali ya kiuno wakati wa hedhi
5️⃣Tumbo kuuma sanaa chini ya kitovu
6️⃣Hedhi isiyokuwa na mpangilio
7️⃣Maumivu wakati wa tendo la ndoa
8️⃣Maumivu makali wakati wa hedhi
9️⃣kukosa hamu ya tendo la ndoa na n.k

👉 *BAADHI YA DALILI ZA HORMONE IMBALANCE* (mvurugiko wa vichocheo)
🔵ukavu ukeni
🔵Maumivu wakati wa tendo la ndoa
🔵Kutoa jasho jingi usiku
🔵Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi
🔵Kukosa hamu kabisa ya tendo la ndoa
🔵Hedhi isiyo na mpangilio na n.k

BAADHI YA DALILI ZA UGUMBA
🔷Kutoshika ujauzito wakati unakutana na mwanaume
🔷Kutoingia kwenye siku za hatari
🔷Kukosa ute wa siku za hatari
🔷Zaidi ya mwaka bila kupata ujauzito huku ukishiriki tendo la ndoa na mwenzio

🔥K**a una dalili kati ya hizo chukuwa hatua sasa

*Je wewe una changamoto GANI?*

Mpendwa Usisite kunitafuta tafuta
Contact:+255 786473826

ENDELEA KUPATA MAARIFA✨Madhara ya kukosa hedhi:✨Kukosa hedhi (amenorrhea) kunaweza kuwa na madhara mbalimbali, kutegemea...
20/08/2024

ENDELEA KUPATA MAARIFA
✨Madhara ya kukosa hedhi:✨
Kukosa hedhi (amenorrhea) kunaweza kuwa na madhara mbalimbali, kutegemeana na chanzo chake. Madhara haya yanaweza kuwa ya muda mfupi au mrefu. Hapa ni baadhi ya madhara ya kukosa hedhi:

1. Matatizo ya Homoni:
Kukosa hedhi kunaweza kuwa dalili ya matatizo ya homoni, k**a vile viwango vya chini vya estrogen, ambavyo vinaweza kuathiri afya ya mifupa na kuongeza hatari ya ugonjwa wa mifupa (osteoporosis).

2. Tatizo la Uzazi:
Wanawake wanaokosa hedhi wanaweza kuwa na matatizo ya uzazi kwani kukosa ovulation mara kwa mara kunaweza kufanya iwe vigumu kupata mimba.

3. Magonjwa ya Mfumo wa Uzazi:
Kukosa hedhi kunaweza kuwa dalili ya magonjwa k**a vile ugonjwa wa ovari ya polycystic (PCOS), fibroids, au maambukizi ya mfumo wa uzazi.

4. Hatari ya Magonjwa ya Moyo:
Viwango vya chini vya estrogen kutokana na kukosa hedhi vinaweza kuongeza hatari ya magonjwa ya moyo.

5. Matatizo ya Kisaikolojia:
Kukosa hedhi kunaweza kusababisha au kuchangia matatizo ya kisaikolojia k**a vile msongo wa mawazo, wasiwasi, na matatizo ya kujitambua na kujiamini.

6. Matatizo ya Kimetaboliki:
Baadhi ya wanawake wanaokosa hedhi kutokana na matatizo ya homoni wanaweza pia kuwa na matatizo ya kimetaboliki k**a vile insulin resistance, ambayo inaweza kupelekea ugonjwa wa kisukari.

7. Kukosa Nguvu na Uchovu:
Kukosa hedhi kutokana na matatizo ya kiafya k**a vile upungufu wa lishe au matatizo ya tezi ya thyroid kunaweza kupelekea kukosa nguvu na kuhisi uchovu mara kwa mara.

K**a mwanamke anakosa hedhi Tupigie kupata matibabu sahihi.
Piga +255 786473826

FAHAMU VYANZO NA MADHARA YA MVURUGIKO WA HEDHI KWA MWANAMKE -:**  Tunaposema mvurugiko wa hedhi tunamaana kwamba mwanamk...
20/08/2024

FAHAMU VYANZO NA MADHARA YA MVURUGIKO WA HEDHI KWA MWANAMKE -:*
* Tunaposema mvurugiko wa hedhi tunamaana kwamba mwanamke anaingia kwenye siku zake bila mzunguko unaofanana*

VYANZO VYA MVURUGIKO WA HEDHI
👉matumizi ya njia za uzazi mpango
👉kutoa ama kuharibika kwa mimba
👉vimbe kwenye mirija ya uzazi
👉magonjwa yanayo shambulia mfumo wa uzazi mfano U.T.I SUGU
👉ngono zembe
👉mabadiliko ya hali ya hewa
👉matumizi ya vipodozi (dawa) zenye kemikali

MADHARA YA MVURUGIKO WA HEDHI
👉kupoteza kujiamini
👉cancer (saratani) ya shingo ya kizazi
👉kushika mimba usiyotarajiwa
👉kupungukiwa kwa damu ya madini ya zinc pamoja na calcium
👉maumivu ya tumbo chini ya kitovu hasa wakati wa hedhi ama tendo la ndoa
👉kutokwa na uchafu ambao unasababishwa na mabaki ya hedhi*
*👉mimba kutunga nje ya kizazi*

*IKIWA NI MHANGA WA SOMO LA HAPO JUU USISITE KUWASILIANA NAMI KWA USHAURI NA TIBA KUPITIA SMS,WHATSAPP, PIA PIGA SIMU KWENDA NAMBA
+255 786473826

Address

0786473826
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya na Dawa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram