
20/09/2024
WANAWAKE HAWANA SILI JAMANI
Bwana ee juzi hapa kuna ugomvi uulitokea ngumi za maana na matusi juu kati ya marafiki wawaili wakike walizozana kwa muda mrefu sanaa wakajaza watu
Basi ikabidi watu waulize jmani ninyi si marafiki sanaa shida ni nini mpaka mnagombana kiasi hjiki maana hatujawai kusikia mna gombanamaana mnajiita ma BFF mmoja akadakia BFF gani anaweza kukuibia mwanaume yaani anathubutu kutembea na bwana aangu
Basi watu wakaanza kushaangaaa yule mwingine pia akajibu ndio nimetembea nae kwahiyo unasemaje na siwezi kumuacha wakaanza kupigana tena watu wakawatenganisha
Basi watu wakauliza wewe ilikuaje ùkachukua Bwana wa watu akasema shogaangu alikuaja akanitambia akanambia bwanaake huwa anampa shoo za maana wakiwa kitandani basi mm nikatamani kuwa nae
Nikaazima simu yake na lengo langu ilikua kuchukua namba ya banaake mim nikaongeanae nikamuweka kwenye mitego yangu akana sa sasa mm kosalangu nini mwanaume mwenyewe angekataa
Basi yule mwenye Bwana akawa analia tu sasa hajui nini afanye watu ndio kumwambia kunavitu vya kuwaambia watu yaani unawaonesha watu ng'ombe anaekupa maziwa ndio usha chululiwa sasa
Je kwamfano wewe ndio mwanaume mdada akakutongoza utakataa?
By the way k**a unachangamoto hizi hapa chini usisite kunitafuta
Unawahi kufika kileleni
Huna ham ya tendo
Uume unasimama legelege
Huwezi kuludia tendo
Nicheki kwa whatsapp namba 0753737167