Dr Mussa Afya Imara

Dr Mussa Afya Imara Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dr Mussa Afya Imara, Medical and health, Dar es Salaam.

KUTANUKA KWA TEZI DUME  SIO UGONJWA..... TEZI DUME nitezi ambayo kila mwanaume anayo na huweza kutanuka kulingana na mfu...
03/07/2024

KUTANUKA KWA TEZI DUME SIO UGONJWA.....

TEZI DUME nitezi ambayo kila mwanaume anayo na huweza kutanuka kulingana na mfumo mzima wa maisha na hukua kadri umli wa mtu unavyo zidi kusogea

KUTANUKA KWA TEZI DUME ni hali ya kawaida kwa wanaume wote hasa wenye umli kuanzia miaka 45 na kuendelea. kawaida tezi dume huweza kutanuka zaidi ya mara tatu kutoka katika saizi yake ya kawaida.

Kutanuka kwa kiwango kikubwa kwa TEZI DUME kunasababishwa hasa na
1,Mfumo wa maisha yetu ya kila siku hasa vyakula tunavyo kula (life style).
2,Pia yaweza kusababishwa na kurithi (nasaba za ukoo)

NB: TEZI DUME ni tezi ambayo ndani yake kuna homon ya dehydrotestesterone (DHT) homoni hii huzalishwa kwa 10% kila siku na hufanya kazi pamoja na tezi dume katika ukuzaji wa maumbile kwa mwanaume. hivyo inapo fikia ukomo wa ukuaji wa maumbile hapo ndipo tezi huanza kutanuka

MATIBABU
1-UPASUAJI (OPERATION)
Madhara
*Inaweza kusababisha saratani K**a kidonda kitachelewa kupona
*Nirahisi tatizo kujiludia

2-NJIA ZA KISASA K**A
kutumia kemikali kuingiza njia ya mkojo na kuitanua
pia kubana kwa kutumia plastic nyuzi

Madhara
*Nirahisi tatizo kujiludia
*Huuakabisa misuri ya uume
*Husababisha njia ya mkojo kuferi kabisa

3- FOOD SUPPLEMENTS (bidhaa za afya)
Madhara
*Haina madhara hasi badara yake husaidia kuimarisha Kinga za MWILI na kuimarisha mfumo wa TATIZO husika

NJIA PEKEE ISIYO NA MADHARA HASI NI BIDHAA ZA AFYA KWANI KULINGANA NA VIAMBATA VILIVYO TUMIKA HUWEZA KUIMALISHA KUTOKA KWENYE MZIZI WA TATIZO

Wasiliana nasi sasaivi Uweze kupata USHAURI NA MATIBABU BILA UPASUAJI NDANI YA SIKU 30 HADI 90

0789137943

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr Mussa Afya Imara posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram