Afya ni mtaji

Afya ni mtaji Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya ni mtaji, Medical and health, Dar es Salaam.

03/01/2026

KWA TZS 30,000/=
✓Utamuona daktari
✓Utafanya kipimo cha mwili mzima

Hasa kwa magonjwa yasiyaombukiza yanayosababishwa na mitindo ya maisha.

🌱🌱🌱🌱🌱🌱🌱🌱🌱🌱🌱🌱🌱
TUNATOA SULUHISHO KUPITIA DAWA LISHE SALAMA ZA AFYA AMBAZO
1️⃣Husafisha mwili
2️⃣Hutibu mwili
3️⃣Hujenga mwili
4️⃣Hukinga mwili

Lishe hizi zimetengenezwa na vyanzo asilia vya mazao ya bahari na nchi kavu.
______________________________________________________________
KUPATA HUDUMA ZETU

WASILIANA NASI
📞/WHATSAPP NO 0684 425 619

📍TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM NA MIKOA YOTE

Karibu Sana Tutakusaidia Kuimarisha Afya Yako

15/02/2025

Tunafanya upimaji wa mwili mzima kwa gharama nafuu kabisa ya 30,000Tsh. Kipimo chetu kinahusisha magonjwa sugu yote k**a:
💊 Kisukari
💊 Vidonda vya tumbo
💊 Matatizo ya uzazi kwa wanawake na wanaume
💊 Tezi dume
💊Bawasili
💊 pressure
💊 Pumu
💊 Mwili kupooza(stroke)
💊Matatizo ya mifupa
💊 Kifua kikuu
💊Matatizo ya Figo
💊Matatizo ya ini
💊Maradhi ya moyo
💊Matatizo ya mapafu
💊Matatizo ya viungo pamoja na ganzi
💊 Matatizo ya ngozi
n.k.
Huduma zetu zinapatikana Tanzania nzima. Karibu!

We are offering a comprehensive body check-up at an affordable price of 30,000 Tsh. Our check-up covers all chronic diseases such as:
💊 Diabetes
💊 Stomach ulcers
💊 Reproductive issues for both men and women
💊 Prostate problems
💊 Hemorrhoids
💊 High blood pressure
💊 Asthma
💊 Stroke
💊 Bone issues
💊 Tuberculosis
💊 Kidney problems
💊 Liver issues
💊 Heart diseases
💊 Lung problems
💊 Joint issues, including numbness
💊 Skin conditions

17/08/2024

Nipigie nikusaidie 0684425619 .Kipimo chetu ni uhakika Tunapatikana DAR ES SALAAM na MIKOANI Karibu sanaa

HABARI NJEMA KWA WANAWAKE WOTE MNAOSUMBULIWA NA MATATIZO MBALIMBALI YA UZAZI, P.I.D, BAWASILI, U.T.I SUGU, FANGASI NA MI...
28/06/2024

HABARI NJEMA KWA WANAWAKE WOTE MNAOSUMBULIWA NA MATATIZO MBALIMBALI YA UZAZI, P.I.D, BAWASILI, U.T.I SUGU, FANGASI NA MIWASHO.

Karibu sasa ujiunge kwenye darasa la
Mwanamke na uzazi🤰🤱👨‍👦‍👦

Darasa linalofundisha njia bora za asili za kutibu magonjwa mbalimbali yanayoathiri njia za uzazi wa mwanamke, magonjwa hayo ikiwemo u.t.i, P.l.D, fangasi na miwasho ukeni.
Hautapata elimu tu bali itakusaidia kuokoa kiasi kikubwa cha pesa kuhangaika kupata matibabu sehemu mbalimbali bila mafanikio,
Kwa hakika ukifuatilia kitakachofundishwa na kufanya kwa usahihi utaweka historia ya kuwa uliwah kuumwa u.t.i, fangasi na P.I.D.

Jitibu kwa njia asili tatizo la👇

~Kuziba kwa mirija ya uzazi
~Maumivu wakati wa tendo la ndoa
~Kuchelewa kupata ujauzito
~Chango na Maumivu ya tumbo la hedhi
~Njia asili ya kujifungua haraka (wajawazito)
~ Hormone imbalance
~Kipanda uso
~Njia asili ya kusafisha kizazi kwa wenye kizazi cha mbali na kuzuia saratani ya shingo ya kizazi.
~Miwasho ukeni
~Fangasi
~U.T.I sugu
~P.Id

Mawasiliano 0759466020

AFYA YA UZAZI KWA WAKINA MAMA.Ukweli ni kwamba PID iliyokomaa haiwezi kutatuliwa na antibiotics kwani kazi ya antibiotic...
28/06/2024

AFYA YA UZAZI KWA WAKINA MAMA.
Ukweli ni kwamba PID iliyokomaa haiwezi kutatuliwa na antibiotics kwani kazi ya antibiotics ni kuua wadudu washambuliao Mwili wako..na haiendi Kuponesha jeraha ama kidonda eneo husika
Hivyo utumiapo antibiotics utajiona una nafuu kwani wadudu wanakuwa wamekufa Kwa wakati huo....umalizapo utajiona uko vile vile k**a mwanzo kwani mazingira ya vidonda yanaruhusu bacteria 🦠 kurudi na Kuishi tena ...
Hiki ndicho kinacho wafanya wanawake wengi kuhangaika na tatizo la PID hata zaidi ya miaka bila kupona
Good news🥰🥰❗ ni kwamba tuna dawa maalumu kwaajili ya kupambana na PID Kwa siku 14 tuu.
Je, Inasifa gani mpaka iwe zaidi ?
.hii dawa Ina sifa kuu hizi...........👇

●Inashambulia wadudu washambuliao mwili wako

●Inaponesha majeraha na vidonda katika via vya uzazi vilivyosababishwa na bacteria

●Huimarisha na kuongeza Kasi ya uzalishaji wa seli katika Mwili ili kupandisha kinga ya mwili.

●Hurekebisha pH ya mfumo wa uzazi na Kufanya wadudu walinzi kuishi na kulinda eneo lilikuwa limeathiliwa 🙏

(Karibu Afya yetu na petro)
+255745449093
Tunakuelekeza jinsi ya;

~ Kutibu kabisa tatizo la Fangasi, U.T.I na P.I.D sugu,

~Kuondoa Uvimbe na kusafisha Mirija ya uzazi

~ Kutuliza Chango la Uzazi

~ Kuondoa Sumu za Uzazi wa Mpango, Mvurugiko wa Homoni / Hormones Imbalance na Matatizo Mbalimbali Ya Hedhi n.k

Namba zetu za simu ni
+25570759466020

HABARI NJEMA KWA WANAWAKE WOTEKaribu ujiunge kwenye darasa la Mwanamke na uzazi🤰🤱👨‍👦‍👦Darasa linalofundisha njia bora za...
28/06/2024

HABARI NJEMA KWA WANAWAKE WOTE

Karibu ujiunge kwenye darasa la
Mwanamke na uzazi🤰🤱👨‍👦‍👦

Darasa linalofundisha njia bora za asili za kutibu magonjwa mbalimbali yanayoathiri njia za uzazi wa mwanamke, magonjwa hayo ikiwemo u.t.i, P.l.D, fangasi na miwasho ukeni.
Hautapata elimu tu bali itakusaidia kuokoa kiasi kikubwa cha pesa kuhangaika kupata matibabu sehemu mbalimbali bila mafanikio,
Kwa hakika ukifuatilia kitakachofundishwa na kufanya kwa usahihi utaweka historia ya kuwa uliwah kuumwa u.t.i, fangasi na P.I.D.

Jitibu kwa njia asili tatizo la👇

~Kuziba kwa mirija ya uzazi
~Kuchelewa kupata ujauzito
~Chango na Maumivu ya tumbo la hedhi
~Njia asili ya kujifungua haraka (wajawazito)
~ Hormone imbalance
~Kipanda uso
~Njia asili ya kusafisha kizazi kwa wenye kizazi cha mbali na kuzuia saratani ya shingo ya kizazi.
~Miwasho ukeni
~Fangasi
~U.T.I sugu
~P.I.D

Mawasiliano 0759 466020

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya ni mtaji posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram