10/10/2022
*UKAVU UKENI*
Kwa kawaida uke wa mwanamke unapaswa uwe au ute ambao huongezeka wakati wa tendo la ndoa lakini kwa baadhi ya wanawake wamekua wakikosa raha wakati wa tendo la ndoa kutokana na uke kuwa mkavu. Sababu kubwa ya ukavu ukeni ni kushuka kwa kiwango cha homoni ya k**e ya ostrojeni ambayo ndio ina kazi ya kufanya uke uwe na ute na laini wakati wote.
*SABABU ZA UKE KUWA MKAVU:*
• Ukomo wa hedhi.
Hii ndio sababu kuu ya uke kukosa unyevu nyevu kutokana na kushuka kwa kiwango cha homoni ya ostrojeni mwilini. Wengi hudhani tatizo litaisha baada ya mda lakini ukweli ni kwamba tatizo huongezeka siku zinavyozidi kwenda k**a halijatafutiwa ufumbuzi.
• Kujifungua na kunyonyesha kutokana na kushuka kwa kiwango cha ostrojeni
• Ukosefu wa maandalizi ya kutosha kabla ya tendo la ndoa
• Msongo wa mawazo, hofu, historia mbaya ya ngono na shida nyingine za kisaikolojia
• Matibabu ya vimbe kwenye uzazi, saratani, allergy
• Uvutaji wa sigara
• Upasuaji kuondoa mifuko ya mayai
• Sabuni, lotion, manukato yatumikayo ukeni
• Kukosa hamu ya kufanya mapenzi husababisha ukavu na ukavu husababisha kukosa hamu
*UKAVU UKENI HUAMBATANNA NA DALILI NYINGINE K**A:*
• Maumivu na kuungua hasa wakati wa tendo la ndoa
• Michubuko, miwasho, kuungua sehem ya ukeni
• Kutokwa matone ya dam baada ya tendo
• Kupungua kwa hamu ya tendo
*MATOKEO MABAYA AU MADHARA YA UKE KUWA MKAVU*
• Michubuko ukeni
• Hatari ya maambukizi ya bacteria au fungus
• UTI (maambukizi kwenye njia ya mkojo) zinazojirudia
• Kutokufika kileleni na kutokufurahia mapenzi
• Kutokujiamini
*TIBA ASILIA YA UKE MKAVU* *Pata dose asili zenye kurekebisha homoni za k**e yan oestrogen ili ziweze kurejesha Ute Ute wa kutosha Ukeni na kuondoa maambukizi mengine yanayosababisha uke kuwa mkavu. Tunatoa huduma hizi popote ulipo, kila aliyenitafuta na kupata dose hizi tatizo lake limeisha kabsa. K**a una changamoto hii nitafute pia nikuelekeze wapi pa kupata suluhisho lako.*