05/10/2024
𝗦𝗨𝗟𝗨𝗛𝗜𝗦𝗛𝗢 𝗝𝗜𝗣𝗬𝗔 𝗞𝗪𝗔 𝗪𝗔𝗚𝗢𝗡𝗝𝗪𝗔 𝗪𝗔 𝗧𝗘𝗭𝗜 𝗗𝗨𝗠𝗘 𝗕𝗜𝗟𝗔 𝗞𝗨𝗙𝗔𝗡𝗬𝗜𝗪𝗔 𝗨𝗣𝗔𝗦𝗨𝗔𝗝𝗜 - 𝟮𝟬𝟮𝟰
Tezi dume hii kitaalamu hufahamika k**a (𝗣𝗥𝗢𝗦𝗧𝗔𝗧𝗘 𝗚𝗟𝗔𝗡𝗗) Hii Ni tezi inayopatikana katika mfumo wa uzazi wa Kiume, Tezi hii inapatikana jirani na kibofu Cha mkojo na mirija ya mkojo, Tezi hii Ina kazi ya kuzalisha majimaji ambayo hubeba mbegu za kiume.
Majimaji hayo ndio Yale anayotoa mwanaume anapofikia kilele, Hivyo tezi hii Ni muhimu sana katika mfumo wa kizazi wa Mwanaume, Tezi hii si kubwa saana inapata sentimita zisizozidi 4, lakini tezi hii hukuwa kadiri umri unavyoenda.
𝗗𝗔𝗟𝗜𝗟𝗜 𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗩𝗜𝗠𝗕𝗔 𝗞𝗪𝗔 𝗧𝗘𝗭𝗜 𝗗𝗨𝗠𝗘 👇
🍀 Kukojoa Mara kwa mara.
🍀 Kubakiza mkojo kwenye kibofu.
🍀 Kukojoa sana hasa Nyakati za usiku.
🍀 Maumivu wakati wa kukojoa na mkojo usioenda mbali.
🍀 Kupungukiwa nguvu za kiume.
🍀 UTI ya Mara kwa mara.
🍀 Mawe kwenye kibofu kutokana na Mrundikaniko wa Mkojo.
🍀 Figo kujaa maji.
🍀 Kupoteza fahamu.
🍀 Maumivu ya Mara kwa mara ya kiuno kwa nyuma ya mgongo na mapaja.
🍀 Uume kushindwa kusimama vizuri.
🍀 Kuwa na wakati mgumu wakati wa kukojoa na kuzuia mkojo.
𝗔𝗧𝗛𝗔𝗥𝗜 𝗭𝗔 𝗧𝗘𝗭𝗜 𝗗𝗨𝗠𝗘 𝗞𝗔𝗠𝗔 𝗛𝗔𝗜𝗧𝗔𝗪𝗔𝗛𝗜 𝗞𝗨𝗧𝗜𝗕𝗜𝗪𝗔 👇
✍️ Kushindwa kabisa kukojoa.
✍️ Kupatwa na maambukizi ya UTI.
✍️ Kupatwa na vijiwe kwenye kibofu.
✍️ Uharibifu wa kibofu unaweza kutokea.
✍️ Figo inaweza kuharibika.
✍️ Saratani ya Tezi Dume (Prostate Cancer)
✍️ Kifo 😥
𝗞𝗪𝗔 𝗧𝗜𝗕𝗔 𝗡𝗔 𝗨𝗦𝗛𝗔𝗨𝗥𝗜 𝗭𝗔𝗜𝗗𝗜
Tembelea Ofisi Zetu Zilizopo Nchi Nzima au Tupigie Sasa Kupitia
☎️ 𝟬𝟲𝟴𝟯 𝟲𝟮𝟱 𝟵𝟲𝟵
☎️ 𝟬𝟲𝟴𝟯 𝟲𝟮𝟱 𝟵𝟲𝟵