03/07/2020
FEMININE HERBALCOMPLEX
Female HerbalComplex ni Tibalishe kutoka Neolife 👗Inayosaidia wanawake kurudisha hadhi ili kusaidia matatizo mbalimbali ya uzazi. 👗Dawa hii ya mitishamba inasaidia haswa kwa wanawake wenye matatizo ya homoni na mzunguko wa kila mwezi. 👗Tiba lishe ya aina hii ni nzuri sana kwasababu inatibu utendaji asili katika mwili wa mwanamke, ikiungwa mkono na utafiti wakisayansi. 👗Female herbalinamchanganyiko wa mitishamba 10 ikiwa na mizizi,matunda,maua na majani tofauti yaliofanyiwa ufiti wa kimataifa. 👗Mchanganyiko huu laini wenye uwiano kuwasaidia wanawake kupata hali ya afya,nguvu na utulivu. 👗Mmoja wa mtishamba uliokua kwenye mchanganyiko huo ni St. John’s wort (Ua) ambalo unaonyesha kusaidia utulivu, kuongeza ari na kuendeleza mtazamo mzuri wa akili, pia mimea mingine maarufu katika mtishamba ni Vitex (Tunda) na Sage nyekundu(Jani) vimeonyesha kusaidia fiziolojia na kazi za kawaida katika utendaji mwili wa mwanamke.
Faida ya Female Herbal Complex 🥻Inasaidia wanawake wanaovurugika mzunguko wa hedhi au dalili za hedhi kusimama kabisa. 🥻Inasaidia wanawake katika maumivu chini ya kitovu,kiuno na mengine yanayofanya ujisikie sawa. 🥻Inasaidia wanawake wote wenye matatizo ya homoni zisizosawa ambapo mapungufu haya yanaleta ugumu wa kupata ujauzito. 🥻Inasaidia kupunguza kutokwa kwa damu nyingi kipindi cha hedhi. 🥻Inasaidia mwanamke kupunguza madhara ya chunusi mwilini na uzito wa kifua cha mwanamke (matit). 🥻Pia inasaidia fiziolojia(muonekano wa mwanamke wa nje ) na mwili wa k**e kufanya kazi za kawaida. 🥻Inapunguza uchovu na kutuliza mawazo.
0769649385