Kungwi aloshindikana

  • Home
  • Kungwi aloshindikana

Kungwi aloshindikana Daktari bingwa wa magonjwa sugu na utafiti wa mimea lishe. ushauri nasaha.

A professional herbalist located in tanzania dealing in herbal based treatment and research on nutritional contents in relation to human treatment.

___________________________________*°°TATIZO LA KULEGEA/KUSINYAA/KUDHOOFIKA KWA UUME°°*(Erectile dysfunction)___________...
17/11/2024

___________________________________
*°°TATIZO LA KULEGEA/KUSINYAA/KUDHOOFIKA KWA UUME°°*
(Erectile dysfunction)
____________________________________
▶️ Ni hali ya kutoweza/kutokuwa na uwezo wa kusimamisha uume(Dhakar) kwa muda mrefu na kwa uimara wakati wa tendo la ndoa.
__________________________________
Dr.Hamza majombo
Tiba Asilia
Tanzania🇹🇿
www.majombo.com
☑️Majombo herbal.
*+255679039663*
____________________________________
*__DALILI ZA MTU MWENYE TATIZO LA UUME KULEGEA/KUDHOOFIKA_*
____________________________________
↘️ Kupata Ugumu wa kusimamisha uume.
↘️ Kutoweza kusimamisha uume kwa muda mrefu.
↘️ Kupungukiwa hamu ya kufanya tendo la ndoa.
↘️Uume kusinyaa ukiwa ukeni.
↘️Uume kusimama ukiangalia chini.
↘️Uume kua na mikunjo mingi.

*_SABABU ZINAZOPELEKEA UUME KULEGEA/KUSINYAA/KUWA MDOGO/KUDHOOFIKA_*

➡️ Magonjwa ya vidonda vya tumbo (Peptic Ulcers Diseases)
➡️ Ngiri ( Hernia)
➡️ Magonjwa ya moyo(Cardiovascular diseases)
➡️ Kuziba kwa mishipa ya damu (atherosclerosis)
➡️ Kisukari (both diabetes)
➡️ Shinikizo la damu la juu (Hypertension)
➡️ Uzito uliopitiliza (Obesity)~ BMI above 25 kg/m²
➡️ Kuzidi kwa mafuta mwilini(Lehemu)~High Cholesterols)
➡️ Matumizi ya tumbaku( Uvutaji wa sigara)
➡️ Kutokwa makovu ndani ya uume kutokana na matatzo mbalimbali~ *_Peyronie`s disease_*
➡️ Kuwa na Tezi dume
➡️ Kutumia vilevi na madawa ya kulevya
➡️ Matatizo ya kutokupata usingizi
➡️ Upasuaji au marejaha katika via vya uzazi.
➡️ Marejaha katika uti wa Mgongo
➡️ Kuwa na kiwango cha chini cha hormone iitwayo *_testosterone_*
➡️ Msongo wa mawazo(stress)
➡️ Matatizo ya kisaikolojia( Phycological problems).
➡️ Magonjwa ya mfumo wa kati wa fahamu ambayo hupelekea mitetemeko ya mwili *(Parkinson's disease)*
➡️ Matatizo ya mfumo wa fahamu yanasosababishwa na kinga ya mwili kuathiri/kula sehemu yenye kuhifadhi Neva(myelin) ambapo hupelekea Matatizo ya kimawasiliano kati ya ubongo na mwili kwa ujumla.Tatizo hili hujulikana kitaalamu k**a *_Multiple sclerosis_*.
➡️ Kupiga punyeto(Masterbating).
➡️ Kutazama picha chafu(picha za uchi).
➡️ Matatzo ya Bawasiri (Hemorrhoids)
__________________________________
*_HATARI/ATHARI YA TATIZO LA ULEGEVU WA UUME_*
__________________________________
➡️ Kutoweza kuweza kuridhika na kumridhisha mwanamke wakati wa tendo la ndoa
➡️ Kupata Msongo wa mawazo.
➡️ Kuvunjika kwa ndoa/migogoro katika ndoa.
➡️ Kushindwa kumtungisha mimba mwanamke.
➡️ Kutokujiamini.
➡️ Kupata Matatizo ya kisaikolojia.

_____________________________________
*_NJIA ZA KUEPUKANA NA TATIZO LA UUME KUWA LEGEVU_*
____________________________________
➡️ Tibu Matatizo ambayo hupelekea tatizo la uume KULEGEA k**a vile ngiri, Vidonda vya tumbo nk.
➡️ Acha kuvuta sigara
➡️ Acha kunywa pombe
➡️ Acha kutumia madawa ya kulevya
➡️ Fanya mazoezi
➡️ Punguza/acha Msongo wa mawazo.
➡️Achana kabisa na madawa ya kizungu ya kuongeza nguvu...viagra,vega,erectal..

IMEANDALIWA NA

Dr.Hamza majombo
Tiba Asilia
Tanzania🇹🇿
www.majombo.com
☑️Majombo herbal.
*+255679039663*

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kungwi aloshindikana posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Kungwi aloshindikana:

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Contact The Practice
  • Claim ownership or report listing
  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share