01/08/2024
Huduma zetu.
1. Tunatoa ushauri na usaidizi wa kufungua na kusimamia biashara ya famasi ( Dawa, vifaa tiba, vitendanishi na vipodozi), Maabara, Zahanati , Vituo vya Afya na hospitali
2. Tunatoa huduma za kusaidia na kusimamia usajili wa bidhaa ( Dawa, Vifaa tiba, Vitendanishi na Vipodozi)
3. Tunamshauri na kutoa Usaidizi wa manunuzi ya bidhaa za Afya.
4. K**a unauza au unahitaji kununua famasi pia tunakukaribisha
5. K**a unahitaji maeneo ya kufungua famasi, Maabara, Zahanati, Kituo cha Afya au hospitali.
Kila kimoja kuna mkataba wa namna ya ufanyaji Kazi wake.
Karibuni sana TUNA consulting and Pharmaceutical supply kwa huduma Bora.