17/07/2023
UFAHAMU UGONJWA WA PID, DALILI NA SULUHISHO?
PID ni Maambukizi ya via vya uzazi vya mwanamke
Maambukizi ya via vya uzazi vya mwanamke au ugonjwa wa PID (pelvic inflammatory disease) ni maambukizi ya bakteria kwenye shingo ya uzazi, mirija ya fallopio, ovari na tumbo la uzazi (uterasi).
JE NI KWA JINSI GANI MWANAMKE ANAWEZA KUPATA PID?
1. Ngono isiyo salama
2. Utoaji mimba
3. Dawa za uzazi wa mpango au vizuizi mimba
4. Maambukizi mara baada ya mama kujifungua
5. Kinga ya mwili kushuka hivyo kuruhusu wadudu wa PID kukushmbulia kiurahisi
DALILI ZA PID
* Maumivu ya tumbo chini ya kitovu. Wakati mwingine upande wa kulia
* Kutokwa na uchafu ukeni, hasa wenye rangi ya njano unaoelekea kuwa kijani kwa mbali ukiwa na harufu mbaya.
* Kuhisi Maumivu ama hali ya kuungua wakati wa kukojoa
* Homa
* Kuhisi kichefuchefu ama kutapika
* Kuhisi Maumivu wakati wa tendo la ndoa ama kutokwa na damu wakati wa tendo la ndoa.
* Kuvurugika kwa hedhi
* Kupata hedhi katikati ya hedhi, yaani waweza kupata hedhi mara 2 ndani ya mwezi 1.
* Kuziba mirija ya uzazi au kujaa maji
* Mwili kuishiwa na nguvu
* Maumivu ya kiuno
* Miwasho sehemu za siri
* Uke kuwa mlaini sana na kulegea
MADHARA YA PID
1. Ugumba
2. Kansa ya shingo ya kizazi kupelekea kutolewa kizazi
3. Mirija ya uzazi kuziba kufanya mayai Kushindwa kufunga Mimba
4. Michubuko eneo la kizazi
DOZI YA PID IPO AMBAPO UTATUMIA KUANZIA MWEZI MMOJA HADI MITATU ILI KUHAKIKISHA TATIZO LINAISHA KABISA NA HALIJIRUDII
WASILIANA NASI KWA NAMBA
0692 524 186 call/whatsapp/txt