CERAGEM TANZANIA

  • Home
  • CERAGEM TANZANIA

CERAGEM TANZANIA Healing Your Llife KUPITIA KWENYE UTI WA MGONGO,KIFAA HIKI HUSAIDIA KUONDOA MAGONJWA YOTE AMBAYO SI AMBUKIZI...KARIBUNI SANA
CERAGEM INAPONYA MAISHA YAKO!

CERAGEM IMEFANYIWA UCHUNGUZI KWA ZAIDI YA MIAKA SITA NA KUIDHINISHWA MASHIRIKA YA AFYA DUNIANI IKIWEMO US-DRUG AND FOOD ADMINISTRATION KAMA KAMPUNI YENYE KUTOA HUDUMA YA AFYA KIWANGO CHA ASILIMIA KUBWA KATIKA AFYA YA BINADAMU KWA KUTUMIA MWANGA WA JUA LA FAR INFARED RAISE, MASHINE YA CERAGEM YEENYE UWEZO WA KUKURUDISHIA FURAHA YAKO KWA KUSISIMUA MISHIPA YA FAHAMU, MISHIPA YA DAMU, NA MISULI ILIYOSINYAA NA KUONDOA MAUMIVU YOTE.

06/03/2025

Our Best massage Bed

28/10/2024

Maelezo Muhimu, Kuhusu Huduma ya Ceragem Tanzania.. Manager wetu wa Ceragem Tanzania Anatueleza

MAUMIVU YA MGONGO YAMEGAWANYIKA SEHEM KUU TATU... SEHEM ZA JUU',,,, SEHEMU ZA KATI',, NA SEHEMU ZA CHINI ILA KWA ASILIMI...
25/10/2024

MAUMIVU YA MGONGO YAMEGAWANYIKA SEHEM KUU TATU... SEHEM ZA JUU',,,, SEHEMU ZA KATI',, NA SEHEMU ZA CHINI ILA KWA ASILIMIA KUBWA WANAUMWA SANA SEHEM ZA CHINI (ENEO LA KIUNO ) YAAN LUMBER REGION. Na wengine hupata maumivu sehem za juu yaan Cervical REGION..Yote hizi hutokana na kazi au mfumo wa maisha wetu wa kila siku kwa matumizi ya Ceragem husaidia kurekebisha Dosari za Uti wa Mgongo na kukuondoa kwenye maumivu Haya ya Mgongo na kukufanya uwe mwepes kwenye shughuli zako na Ujiskie mwenye furaha karibu sana CERAGEM TANZANIA

16/10/2024

UMUHIMU WA KUULINDA UTI WA MGONGO (SPINE)
Leo siku muhimu Dunian ., Kwa kuathimisha Siku ya uti wa mgongo Dunian... Tujitahidi kuzingatia umuhimu WA kuulinda uti wa mgongo kwa Kuangalia Namna ya Ukaaji, Ubebaji wa Vitu vizito N.k

30/05/2024

SULUHISHO LA MAUMIVU YA MGONGO
Mashine bora Ya massage yenye kunyoosha vizuri na kupangilia vyema Pingili za uti wa mgongo , Na pia husaidia kusisimua Mishipa ya fahamu na kuboresha Mfumo wa mzima wa Damu..
Hakuna jambo jema mwilini k**a Kuna mzunguko mzuri wa damu na pia Mishipa yako ya fahamu inafanya kazi vizuri
Karibu sana CERAGEM TANZANIA upate Utimamu wa Afya yakoTupigie 0658 000 099

Address


Opening Hours

Monday 06:00 - 17:00
Tuesday 06:00 - 17:00
Wednesday 06:00 - 17:00
Thursday 06:00 - 17:00
Friday 06:00 - 17:00
Saturday 06:00 - 12:30

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when CERAGEM TANZANIA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to CERAGEM TANZANIA:

Shortcuts

  • Address
  • Opening Hours
  • Alerts
  • Contact The Practice
  • Claim ownership or report listing
  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share