Afya na Uchumi

Afya na Uchumi Connect with doctors

Nguvu za kiume ni tatizo linalotokea kwa wastani mwanaume mmoja kati ya wanaume kumi. Husababishwa na kujichua au punyet...
09/01/2025

Nguvu za kiume ni tatizo linalotokea kwa wastani mwanaume mmoja kati ya wanaume kumi.
Husababishwa na kujichua au punyeto, ulaji mbaya wa vyakula, magonjwa ya zinaa / moyo / sukari / presha n.k utumiaji tumbaku na vilevi pamoja na utumiaji mbaya wa madawa.
Tiba za kisaikolojia ni moja ya tiba kwa wagonjwa hawa ila pia kuna Tiba lishe ambazo zinaweza kutokomeza tatizo hili.

Kupata tiba hizi wasiliana nami kwa kupiga simu au kutuma ujumbe "TIBA" kwa WhatsApp namba +255693351098 au E-mail afyauchumi@gmail.com

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Aisha Juma, M***a Njama, Dom Bon, M***a Kikongo, Kaka Joh...
26/10/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Aisha Juma, M***a Njama, Dom Bon, M***a Kikongo, Kaka John, Levason Kidakule

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Jumanne Hassan, Gerald Isaya, Miguel Olivares, Ibrahimu O...
25/09/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Jumanne Hassan, Gerald Isaya, Miguel Olivares, Ibrahimu Omary, Alfred Ruchard Alfred Richard

16/09/2024
Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Raja Said Rajab, Mzungu Mweusi, Sulayman Almuaqily, Jacob...
07/09/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Raja Said Rajab, Mzungu Mweusi, Sulayman Almuaqily, Jacobo Richaerd

Kwa mawasiliano na kuweka appointment na madaktari ili uweze kupata tiba au ushauri nasaha piga simu au andika message "...
21/08/2024

Kwa mawasiliano na kuweka appointment na madaktari ili uweze kupata tiba au ushauri nasaha piga simu au andika message "TIBA" kwa WhatsApp kwa kutumia namba +255693351098 au e-mail afyauchumi@gmail.com

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Sophia Mahoo, Macgee Mar Mulak, David Michael, PD Man, As...
21/08/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Sophia Mahoo, Macgee Mar Mulak, David Michael, PD Man, Asia Mazije, Zubeir Zubeir, Masoud M***a, Godlisten Michael, Issa Rushenga, Shabani Njora, Ally Nasibu, Maryam Mohamed, Aggrey Sawaya, Salim Salim

HOMA YA NYANITahadhari za kiafya zizingatiwe1. Tuepuke kusalimiana kwa mikono2. Tuepuke kukumbatiana3. Tucheze muziki kw...
20/08/2024

HOMA YA NYANI

Tahadhari za kiafya zizingatiwe

1. Tuepuke kusalimiana kwa mikono

2. Tuepuke kukumbatiana

3. Tucheze muziki kwa kutogusana

4. Vitakasa mikono, sabuni na maji tiririka viwepo kila mahali

5. Tunawe kila mara

6. Tutakase mikono kila mara

7. Virusi vya Homa ya Nyani/tumbili (Monkeypox (Mpox)) imetangazwa na WHO kuwa janga la dunia

8. Kujikinga ni nafuu, kujitibia ni ghali

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255693351098

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya na Uchumi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya na Uchumi:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram