18/10/2025
*UKWELI ULIOBAKI KUUFAHAMU NI HUU K**A UNAHITAJI KUPONA FIGO ,SOMA HADI MWISHO.*
*NAD+ (Nicotinamide Adenine Dinucleotide)* ni molekuli muhimu sana mwilini inayohusika katika mchakato wa uzalishaji wa nishati na urekebishaji wa seli.
*1. NAD+ Hushiriki Katika Uzalishaji wa Nishati (ATP)*
*2. NAD+ Huwa Coenzyme kwa Enzymes Muhimu*
*3. NAD+ Husaidia Katika Urekebishaji wa Seli.*
*4. NAD+ Huwezesha Kazi ya SIRTUINS*
*5. Kiwango cha NAD+ Hupungua Tunavyozeeka*
Ndani ya figo, *NAD+* ina mchango mkubwa katika kuhakikisha seli za figo zinafanya kazi kwa ufanisi, zinapata nishati ya kutosha, na zinabaki na afya — hasa kutokana na kazi nzito figo hufanya kila siku ya kuchuja damu.
*ELEWA MCHAKATO HUU NDANI YA FIGO KWANI NDIO NJIA YA KUTIBU FIGO*
*1. Uchujaji wa Damu Unahitaji Nishati Kubwa*
- Figo zinachuja karibu *180L ya damu kwa siku*.
- Seli za figo (hasa zile za *proximal tubule*) zinahitaji nishati nyingi ili kufyonza tena madini, maji, na virutubisho kutoka kwenye mkojo wa awali.
- NAD+ hushiriki moja kwa moja katika kutengeneza *ATP*, ambayo ni chanzo cha nishati hiyo.
*2. Kulinda Seli za Figo Dhidi ya Uharibifu*
- Figo huwa katika hatari ya kushambuliwa na *oxidative stress* (msukumo wa sumu na mabadiliko ya oksijeni).
- NAD+ husaidia kuwezesha kazi ya *sirtuins* (hasa SIRT1), ambazo hulinda seli dhidi ya uchochezi na uharibifu wa DNA.
*3. Uboreshaji wa Metabolism ya Seli za Figo*
- NAD+ huchochea *fatty acid oxidation* katika figo, kusaidia seli kupata nguvu bila kutegemea sukari pekee.
- Hii ni muhimu kwa wagonjwa wa kisukari au wenye matatizo ya kimetaboliki, kwani huongeza ufanisi wa figo.
*4. Kukinga Fibrosis (Kufunga kwa Tishu)*
- Upungufu wa NAD+ huongeza hatari ya *fibrosis*
— hali ambapo figo huanza kufunga tishu na kupoteza uwezo wa kuchuja.
- NAD+ huzuia mchakato huu kwa kuzuia uchochezi na uharibifu wa seli.
*5. Kupona kwa Figo Baada ya Madhara*
- Baada ya figo kuathiriwa (kwa sumu, dawa au shinikizo), NAD+ husaidia kwenye *urekebishaji wa DNA* na kuchochea uzalishaji wa seli mpya.
Hapa ndipo figo huanza kurejesha uhai wake.
*KWA NINI NAD+ NI MUHIMU KWA FIGO?*
- Bila NAD+, figo hushindwa kutengeneza nishati ya kutosha.
- Seli za figo huzeeka mapema na kufa.
- Hali hii inaweza kuchangia *kupungua kwa GFR*, kuongezeka kwa creatinine, na hatimaye *figo kushindwa kufanya kazi.*
Kwa hivyo, viwango vya NAD+ vinapodhibitiwa vizuri, vinasaidia *kupunguza kasi ya uharibifu wa figo*, kuboresha ufanisi wa tiba, na kulinda seli za figo zisife mapema.
*HIVYO RAI YANGU KWAKO WEWE UNAEKATA TAMAA NI KWAMBA HUKUWAHI KUAMBIWA HAYA NDIO MAANA UNAHISI KUWA HAKUNA NAMNA YA KUPONA.*
*UPATIKANAJI WA NAD+ NI NDANI YA KIAMBATA KINACHOITWA NMN HIVYO HAKIKISHA UNAPATA SUPPLIMENT AMBAZO ZINAFANYA KAZI YA KUZALISHA NAD+ KWA WINGI*
*IKIWA UMENIELEWA VIZURI NA UPO TAYARI KUTOKA STAGE HIYO YA 5,4 AU 3 KARIBU NITAKUSAIDIA*
"Sisi tunatibu,Mungu anaponya".
masudi
Afya kamili health clinic tz.
0711 380 580