AfyaLeo health center

AfyaLeo health center Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from AfyaLeo health center, Medical and health, Swahili Street, Dar es Salaam.

Jipatie tiba ya KiSUKARi (DIABETES) Na SHINIKIZO LA DAMU (BP) kwa njia rahisi tutakupima na tutajua chanzo cha tatizo tutakupatia tiba sahihi kwa changamoto yako

Tuma jina lako na mkoa uliopo ili tuweze kukupatia huduma kwa haraka

Bei9.50764969785
06/11/2024

Bei9.5
0764969785

Bei 10.6 Full AcCc1490Gar ipo dar es salaam
19/10/2024

Bei 10.6
Full Ac
Cc1490
Gar ipo dar es salaam

Nafasi ya kazi ya sales kwa watu  kumi walipo dar es salaam  wenye uwezo wa kufanya mauzo .Kazi utafanyia ofisini tuma m...
10/09/2024

Nafasi ya kazi ya sales kwa watu kumi walipo dar es salaam wenye uwezo wa kufanya mauzo .Kazi utafanyia ofisini tuma maombi kwa watsap 0764969785,hakikisha unatuma majina yako kamili.

09/09/2024
karibu kwa matibabu
28/08/2024

karibu kwa matibabu

26/08/2024
k**a unamatatizo ya viungo nyonga goti joints zote basi karibu Afyleohearth center kwa mawasiliano zaidi piga namba simu...
24/08/2024

k**a unamatatizo ya viungo nyonga goti joints zote basi karibu Afyleohearth center kwa mawasiliano zaidi piga namba simu
0764969785
wote mnakaribishwa

karibu tuna suluhisho la sukari
24/08/2024

karibu tuna suluhisho la sukari

Labda umeshasikia kitu kinaitwa glukosi. Ni aina ya sukari unayopata kutoka kwenye chakula unachokula, na ni chanzo kiku...
15/08/2024

Labda umeshasikia kitu kinaitwa glukosi. Ni aina ya sukari unayopata kutoka kwenye chakula unachokula, na ni chanzo kikuu cha nguvu katika mwili wako. Glukosi inasaidia ubongo wako ufikirie, misuli yako isogee, na viungo vyako vifanye kazi.

Mwili wako umekuza taratibu changamani za kuchakata glukosi kwa zaidi ya miaka milioni. Lakini iwapo taratibu hizo zitaacha kufanya kazi ipasavyo, unaweza kuugua

Aina ya 2 ya kisukari ni ugonjwa wa kawaida wenye uhusiano na glukosi. Unaathiri watu wengi zaidi leo kuliko wakati mwingine wowote. Hivyo basi, ni muhimu ukaelewa jinsi ya kupunguza hatari yako ya kupata ugonjwa huu.

Tujifunze kuhusu ugonjwa wa kisukari, tuangalie kwa karibu aina ya 2 ya kisukari, na tambua ni nini unaweza kufanya leo ili kupunguza hatari yako ya kuupata

Ugonjwa wa kisukari ni nini?

Kabla ya kuzungumza kuhusu ugonjwa wa kisukari, acha kwanza tuangalie jinsi mwili wako unavyopata glukosi.

Unapokula chakula, mfumo wako wa kumeng’enya hukichakata na kutengeneza glukosi. Glukosi hiyo inapoingia kwenye damu yako, husababisha kongosho lako kutoa homoni inayoitwa insulini. Insulini huzunguka mwilini mwako kupitia damu, na hii huwezesha seli kupata glukosi na kuitumia kuleta nguvu mwilini.

Unaweza kuifikiria insulini k**a funguo isiyoonekana kwa macho inayoruhusu glukosi kuingia kwenye seli.

Wakati ufunguo huo haupo au unaacha kufanya kazi, glukosi katika mwili wako haiwezi kwenda mahali popote. Ikiwa viwango vyako vya glukosi katika damu vinabaki kuwa juu sana kwa muda mrefu, unaweza kuanza kujihisi mgonjwa. Huo ndiyo ugonjwa wa kisukari.

Kuna aina kuu 2 za ugonjwa wa kisukari: aina ya 1 na aina ya 2.

Aina ya 1 hutokea wakati mfumo wa kinga mwilini unashambulia kongosho ili lisiweze kutoa insulini ya kutosha. Katika hali fulani, kongosho linaweza kuacha kabisa kutoa insulini.1

Aina ya 2 hutokea wakati kongosho linapopunguza uzalishaji wa insulini au wakati insulini haiathiri seli namna ifaavyo.2

Baada ya kuzitambulisha kwa ufupi aina hizi mbili za ugonjwa wa kisukari, tunaendelea na makala hii kwa kuzingatia aina ya 2 ya ugonjwa wa kisukari

Ni yapi yanayohusiana na aina ya 2 ya ugonjwa wa kisukari?

Aina ya 2 ya kisukari ni ugonjwa ulioenea zaidi duniani.3

Ni nani aliye katika hatari?

Kila mtu ana kiwango tofauti cha hatari ya kupata aina ya 2 ya ugonjwa wa kisukari. Kiwango cha hatari kinahusishwa na mtindo wa maisha, umri, au sababu za kimaumbile (jenetiki). Zifuatazo ni baadhi ya sababu zinazopelekea mtu kuwa kwenye hatari ya kupata aina ya 2 ya ugonjwa wa kisukari:4

kuwa na uzito wa kupita kiasi
kutokujishughulisha kimwili
kuwa na umri wa miaka 45 au zaidi
kuwa na historia ya ugonjwa wa kisukari aina ya 2 katika familia
kuwa na asili ya Waafrika Weusi, Waafrika wa Karibiani, au Asia ya Kusini.
Ni muhimu kukumbuka kwamba unaweza kupata aina ya 2 ya ugonjwa wa kisukari bila kuwa na historia yoyote ya ugonjwa huo katika familia. Na pia kuwa na historia ya ugonjwa huu katika familia haimaanishi kuwa utaupata.5 Jambo la msingi zaidi ni kuelewa sababu zinazoathiri kiwango chako cha hatari ya kuupata.

Nini hutokea unapokuwa na aina ya 2 ya ugonjwa wa kisukari?

Watu wenye aina ya 2 ya ugonjwa wa kisukari wanaweza kupata dalili kadhaa. Zifuatazo ni baadhi ya dalili ambazo ni kawaida kutokea:6

kwenda haja ndogo mara nyingi sana, haswa wakati wa usiku
kuhisi kiu kuliko kawaida
kuhisi uchovu sana
kupungua uzito bila sababu
mikato au vidonda kuchukua muda mrefu kupona
uwezo hafifu wa kuona (kuona ukungu).
Baadhi ya watu hawatambui dalili zao kwa muda mrefu. Kwahiyo ni muhimu uelewe ni nini kinakuweka hatarini. Ikiwa haujatibiwa, aina ya 2 ya ugonjwa wa kisukari inaweza kusababisha matatizo makubwa ya kiafya.

Unaweza kutumia app ya Ada kukagua dalili za aina ya 2 ya ugonjwa wa kisukari.

Madaktari hutibuje aina ya 2 ya ugonjwa wa kisukari?

Kupitia mchanganyiko wa dawa za kupunguza viwango vya glukosi kwenye damu na mabadiliko mazuri katika mtindo wa maisha, watu wengi wenye aina ya 2 ya kisukari wanaishi maisha ya kawaida.

Kwa watu wengi, hali hii inaweza kuwa mbaya zaidi kwa kadiri muda unavyokwenda. Lakini tafiti mpya zinaonyesha kwamba mtu mwenye ugonjwa wa kisukari aina ya 2 kwa muda wa hadi miaka 6 anaweza kurudi kwenye hali yake ya kawaida kiafya kupitia umakini katika upunguzaji uzito na usimamizi wa afya

Address

Swahili Street
Dar Es Salaam
2255

Telephone

+255764969785

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AfyaLeo health center posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to AfyaLeo health center:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram