10/04/2015
NYOTA/ASILI YAKE
Kuna asili tatu za Nyota
1:Jinsia-Kike na kiume
2:Hali ya nyota-MOTO,UDONGO,HEWA,NA MAJI
3:Upande-MASHARIKI,MAGHARIBI,KASKAZINI,KUSINI
NYOTA ZA KIUME
Ni namba zisizogawanyika kwa 2 kuanzia namba 1-12 na k**e zinagawanyika kwa 2.
Hivyo basi nyota za kiume ni zenye nambari1,3,5,7,9,na11 wakati za k**e ni zile zenye nambari2,4,6,8,10,12
Nyota zenye asili ya moto ni zenye nambari 1,5,9 na upande wake ni mashariki.Nyota zenye asili ya udongo ni zenye nambari2,6,10 na upande wake ni kaskazini.Nyota zenye asili ya hewa ni zile zenye nambari3,7,11 na upande wake ni magharibi na Nyota zenye asili ya maji ni zile zenye nambari4,8,12 ns upande wake ni Kusini.
AINA ZA NYOTA
Zipo nyota 12
1:PUNDA:ARIES
2:NG'OMBE:THAURUS
3:MAPACHA:GEMINI
4:KAA:CANCER
5:SIMBA:LEO
6:MASHUKE:VIRGO
7:MIZANI:LIBRA
8:NGE:SCORPION
9:MSHALE:SAGITARIAS
10:MBUZI:CAPRICON
11:NDOO:AQUARIES
12:SAMAKI:PICES
ATHARI APATAZO BINADAMU KATIKA MZUNGUKO WA NYOTA ZOTE 12
1:PUNDA -Maisha,uhai,mtoto haswa mchanga,jipya tangazo ,Ajali
2:NG'OMBE-Pesa,kazi,ukamilifu
3:MAPACHA-Ndugu,rafiki,jirani,jamaa wa karibu,safari ndogondogo
4:KAA-Wazazi,wazee,Nyumba,mke,mimba,ndani,mji,watu
5:SIMBA-Mtoto,barua,mkopo,kusoma,kuelewa,kuzungumzia utajiri
6:MASHUKE-Ugonjwa,tiwa nguvuni,wizi,makelele
7:MIZANI-Ndoa,mapenzi,tendo la ndoa,anasa,urembo
8:NGE:Kifo,hofu,wasiwasi,uchawi,askari n.k
9:MSHALE:Safari,msafiri,mgeni,ugenini,hakimu n.k
10:MBUZI-Biashara,utajiri,utukufu,utawala
11:NDOO:Mkutano,watu,watu wengi,rafiki,mapenzi,furaha n.k
12:SAMAKI-Uadui,upinzani,wizi,jela,dini,uchawi
KAZI SAHIHI KWA KILA NYOTA ILI KUPATA MAFANIKIO
1:PUNDA:ARIES-Jeshi,muokoaji,michezo,uuzaji,upasuaji,ualimu na masuala ya fedha
2:NG'OMBE:THAURUS-Muziki,vyakula,ujenzi,mashamba,uhasibu,sanaa za uchongaji na uchoraji
3:MAPACHA:GEMINI-Utangazaji,uchapishaji,ualimu,ushauri,ufasiri na kusafiri
4:KAA:CANCER-Madawa,baharini,upishi,watoto,benki,foreman na uandishi
5:SIMBA:LEO- Usimamizi,michezo,sonara,mwanamitindo,sinema,masuala ya vijana,ualimu
6:MASHUKE:VIRGO-Uchapishaji,uongozi,Elimu na secretary
7:MIZANI:LIBRA-Uhusiano wa jamii,ushauri wa ndoa,sanaa,urembo,na sheria
8:NGE:SCORPION-Madawa,upelelezi wa uchunguzu,mafundi bomba,Historia ya mabaki ya viumbe,ushauri wa mambo ya jimai
9:MSHALE:SAGITARIAS-Sheria,uandishi,ualimu,Dini,michezo,jeshi,kuuza
10:MBUZI:CAPRICON-Injinia ramani za majumba,saveya,kazi za serikali,siasa,dokta wa meno
11:NDOO:AQUARIES-Fundi umeme,computer,uchunguzi kisayansi,kazi za jamii,unajimu,mazingira
12:SAMAKI:PICES-Unesi,muziki,Dansi,uigizaji,Askari-maji,chapa,ushauri