Afya Tips

Afya Tips Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya Tips, Medical and health, mbezi beach makonde, Dar es Salaam.

🛑 DALILI ZA FANGASI UKENI▶️Kuwashwa Sehemu ZA Siri▶️Kuhisi Maumivu Wakati WA TENDO LA Ndoa▶️Kuhisi Kuwaka Moto Sehemu ZA...
11/12/2024

🛑 DALILI ZA FANGASI UKENI

▶️Kuwashwa Sehemu ZA Siri
▶️Kuhisi Maumivu Wakati WA TENDO LA Ndoa
▶️Kuhisi Kuwaka Moto Sehemu ZA Siri
▶️Kupata Vidonda
▶️Kupata Michubuko Ukeni
▶️Maumivu Wakati WA Kukojoa
▶️Kutokwa Na Uchafu WA Rangi Nyeupe Ukeni Usio WA Kawaida
▶️Mdomo wa Uke Kuvimba NA KUWA NA Rangi Nyekundu

⚠️K**a Una DALILI Kati YA Hizo Chukuwa Hatua SASA

🔴Sisi Hatutulizi Tatizo Bali Tunakinga,Tunazuia,Tunadhibiti na Kutatua Chanzo Cha Tatizo Au MATATIZO Ya Uzazi kwa Wanawake Na Wadada

🔴Kwanini Unateseka Na Tatizo Linalodhibitika?

🔴sasa unaweza kuondokana na changamoto hiyo kwa kutuma sms

NATAKA KUANZA DOZI.

📞0741121823
Reposted from

🌟🌟 JE, UNASUMBULIWA NA FANGASI ZA MARA KWA MARA..????🌟🌟EPUKA KUTUMIA MADAWA SANA SI SALAMA KWA AFYA YAKO.🔷 Ukiona unapat...
11/12/2024

🌟🌟 JE, UNASUMBULIWA NA FANGASI ZA MARA KWA MARA..????
🌟🌟EPUKA KUTUMIA MADAWA SANA SI SALAMA KWA AFYA YAKO.

🔷 Ukiona unapata Fungus ukeni Mara kwa Mara au unatibu haziponi, basi jua kinga yako ya mwili ipo chini.

🔷Maambukizi ya Fangasi sehemu za siri imekua ni tatizo kubwa sana duniani 75% ya wanawake wote duniani wanasumbuliwa na tatizo hili.
🔷 Maambukizi ya fangasi katika sehemu za siri za mwanamke husababishwa na fangasi aina ya CANDIDA ALBICANS, maambukizi haya pia hujulikana k**a YEAST INFECTIONS/THRUSH.
🔷 CANDIDA ALBICANS hupatikana katika midomo, mpira wa kupitishia chakula, kibofu cha mkojo, uume na katika uke pia.
🔷 Bacteria hawa huishi katika sehemu hizo bila kuleta madhara, isipokuwa pale mazingira ya eneo husika yanapobadilika. Mfano mabadiliko katika hali ya PH, tambua PH ya nwanamke ndani ya uke ni 4.0_4.5 au uwiano wake na vimelea ( Microorganisms) wengine.
🔷 Mabadiliko ya PH Huharibiwa kutokana na sababu mbalimbali k**a vile matumizi ya MADAWA YA ANTIBIOTICS, pia kupungua kwa KINGA ya mwili kunakotokana na magonjwa mbalimbali.

🔵🔵 DALILI ZA UGONJWA WA FANGASI UKENI

☑️ kuwashwa sehemu za siri.
☑️ kuhisi maumivu makali wakati wa kujamiiana.
☑️ Kuhisi kuwaka moto sehemu za siri mara baada ya kutoka kufanya tendo la ndoa au kutoka kukojoa.
☑️ Kupata vidonda ukeni. Kuvimba na kuwa mwekundu katika mdomo wa nje ya uke.
☑️ Kupata maumivu wakati wa kukojoa.
☑️ Kutokwa na uchafu wa rangi nyeupe au kijivu unaoweza kuwa mwepesi au MZITO au majimaji.

🔷 Madawa mengi tunayotumia yanachangia kwa kiasi kikubwa kupunguza KINGA ya mwili na kusababisha tatizo kujirudia mara kwa mara.
🔷 Epukana na changamoto hizi kwa kutumia bidhaa bora za ASILI ambazo zitakulinda kiafya na kuzuia tatizo

Kwa ushauri na suluhisho
Call&wthsp  0741121823
Reposted from

Utajuaje Una PID Sugu......??*Kuna dalili nyingi zinazoonyesha kuwa una dalili za kua na PID k**a zifuatazo;1.Kuwa na mi...
11/12/2024

Utajuaje Una PID Sugu......??*

Kuna dalili nyingi zinazoonyesha kuwa una dalili za kua na PID k**a zifuatazo;

1.Kuwa na miwasho sehemu za siri mara kwa mara kutokana na maji maji machafu kutoka Ndani

2.Vipele vidogo vidogo ukeni

3.Kutokwa na uchafu mweupe au wa rangi ya kijivu ukeni wenye harufu mbaya

4.Vidonda au kuwa na michubuko ukeni

5.Kutokwa na harufu mbaya ukeni

6.Kupatwa na maumivu makali wakati wa tendo la ndoa.

7.Kuvimba au kuwa mwekundu katika mdomo wa nje ya uke.

8.Kuwaka moto ndani na nje ya uke.

9. Kupata maumivu makali kuzunguka kiuona hadi mgongoni....

Je una dalili hizi ninayo tiba inaitwa *PROGRAM 1...* kwa ajili ya wanawake ambayo itakusaidia kutibu fangasi, PID na u.t.i sugu eneo la siri.

"Afya yako ni mtaji wako elimika jidhibiti mapema ....

Kwa changamoto zote za uzazi karibu
*Piga simu  0741121823
Reposted from

ZIJUE FAIDA ZA PARACHICHI KWA MJAMZITO💥parachichi linasaidia ufyozwaji wa madini ya chuma..ni muhimu sana mjamzito akawa...
11/12/2024

ZIJUE FAIDA ZA PARACHICHI KWA MJAMZITO

💥parachichi linasaidia ufyozwaji wa madini ya chuma..ni muhimu sana mjamzito akawa na parachichi kwenye milo yake
💥Parachichi linasaidia sana kwenye mfumo wa umeng’enyaji chakula..ni muhimu sana kuwa na parachichi kwenye milo ya mjamzito
💥parachichi lina wingi wa vitamins..VITAMIN C,VITAMIN E..vinasaidia ukuaji wa mtoto na kuboresha afya ya mama mjamzito
💥Parachichi lina wingi wa madini..magnesium,pottasium

💥Parachichi lina mafuta yenye afya

💥Chanjo cha foliki acid..

MJAZITO PENDELEA KULA PARACHICHI KWENYE MILO YAKO..

Kuna umuhimu mkubwa sana wa mtoto kunyonya maziwa ya Mama pekee ndani ya miezi 6 ya mwazo. Mtoto asiaze pewa chakula au ...
12/11/2024

Kuna umuhimu mkubwa sana wa mtoto kunyonya maziwa ya Mama pekee ndani ya miezi 6 ya mwazo. Mtoto asiaze pewa chakula au Maji akiwa chini ya miezi kamili.

Faida ya kunyonyesha ziwa ndani ya DAKIKA 30 ni.

A. Maji.
Haya ni Maziwa ya kwanza amabayo yanakisi kidogo Cha mafuta na kiasi cha juu Cha carbohydrate na Majimaji.

B. Maziwa mepesi.
Haya ni Maziwa yanayofuata baada ya awali kuisha, maziwa haya yana wingi wa virutubisho vya protein, carbohydrate, mafuta, sukari, madini na maji machache.

C. Maziwa mazito.
Haya ni Maziwa yamwisho ambayo yanaviambata vyote vya virutubisho na husaidia Mtoto kushiba.

📌 Nyonyesha Mtoto vinzuri ashibe.
📌 Nyonyesha Mtoto kumuepusha na maradhi.
📌 Nyonyesha Mtoto kuwa na Afya Bora.
📌 Nyonyesha Mtoto apate Kinga za mwili.

Asante sana
Reposted from

Harufu mbaya ukeni ni dalili kubwa ya magonjwa haya ⤵️🔹️ Maambukizi mbalimbali ya STDs (magonjwa ya zinaa) i.e Kaswende,...
12/11/2024

Harufu mbaya ukeni ni dalili kubwa ya magonjwa haya ⤵️

🔹️ Maambukizi mbalimbali ya STDs (magonjwa ya zinaa) i.e Kaswende, Kisonono.

🔹️ Fangasi ukeni

🔹️ Mirija ya uzazi kujaa uchafu.

🔹️ Kansa ya uke.

🔹️ PID

USIPUUZIE HARUFU MBAYA YOYOTE,

Wengi uwa mnakimbilia Kujisafisha Na Sabuni, Matumizi holela ya antibiotics, lakini harufu bado ipo.

Una changamoto Hii, nitumie SMS/ Ujumbe WhatsApp ‪+255 (0)741121823
Reposted from health _nourish

Mama mjamzito huwa anaskia raha pale mtoto anapoanza kumpiga piga tumboni kwa mara ya kwanza. kucheza kwa mtoto kunafany...
12/11/2024

Mama mjamzito huwa anaskia raha pale mtoto anapoanza kumpiga piga tumboni kwa mara ya kwanza.

kucheza kwa mtoto kunafanya kuwa na mawasiliano mazuri kati ya mama namtoto
Kwa wenye mimba ya kwanza mtoto ataanza cheza wiki ya 24 miezi (5-6), ila kwa wale walio zaa tayari mtoto mmoja au zaidi wanaskia mtoto akicheza akiwa wiki ya 18-22 mapema kidogo..

Kuna umuhimu wa mama kufatilia kujuakucheza kwa mtoto,kwa kawaida watoto wanatakiwa wacheza mara 6 -10 ndani ya lisaa limoja (1hr) ile miezi 3 ya mwisho, na ile miezi 6 ya mwanzo kucheza kwake sio sana.

Cha muhimu unatakiwa ujue pale anapocheza na asipocheza.

Kipindi cha usiku ndio muda wa watoto kupigapigakuliko mchana ,na baada ya mama kula chakula pia huwa wapiga piga sana tumbo.

SABABU ZA MTOTO KUTOCHEZA: Mtoto kukosa nguvu za kutosha kutokana na lishembaya ya mama yake,
:Mtoto hapati hewa ya kutosha kutoka kwenye placenta
:Mtoto kuwa mdogo sana na uzito mdogo nayo unamfanya ashindwe kucheza au akacheza kwa mbali sana na kukufanya wewe usimskie k**a anacheza.
:Mama anapokuwa na maradhi au matatizo ya kiafya, hudhoofisha afya ya mtoto na kukosa nguvu
:Mama anapokuwa amechoka sana kwa safari au kazi ngumu ,mtoto nae anakuwa anachoka na kuhitaji kupumzika na huwa kimya sana.
:Mama anapotembea sana au kusimama kwa muda mrefu.

-

Umejifunza kitu, Save post hii Itakusaidia kwa Matumizi ya Baadae,

Kwa changamoto Binafsi, nitumie Ujumbe kupitia Whatsapp no:-

0 741121823
Reposted from health _ nourish

Kitaalamu hii inajulikana k**a post-coital bleeding. Tatizo hili linawakumba wanawake hasa ambao wana matatizo ya mvurug...
12/11/2024

Kitaalamu hii inajulikana k**a post-coital bleeding.

Tatizo hili linawakumba wanawake hasa ambao wana matatizo ya mvurugiko wa hormone,

Hasa hasa hormone ya estrogen na pia wanawake waliofikia ukomo wa hedhi.

Hali hii inaweza kuambatana na maumivu na kwa wengine isiwe na maumivu kulingana na chanzo chake.

VISABABISHI VYA TATIZO HILI:-

📌 Ukavu au uke kuwa mwembamba sana hivyo kupelekea kupata michubuko wakati wa tendo la ndoa.

Pia hali hii inaweza kuwa dalili ya tatizo la kiafya hivyo sio ya kubeza.

Yafuatayo ni magonjwa yanayoweza kusababisha kutoka damu wakati wa tendo la ndoa

1. MAGONJWA YA ZINAA

Magonjwa k**a Kisonono na Chylamidia yanaambata na dalili k**a maumivu ya kiuno, muwasho ukeni, kutokwa uchafu ukeni wenye harufu mbaya.

Pia magonjwa haya hupelekea mishipa midogo ya damu iliyo sehemu ya juu karibia na kuta za uke kuvimba hivyo kupasuka wakati wa tendo la ndoa.

2: VIMBE ZISIZOKUWA SARATANI.
Vimbe zisizokuwa saratani kwenye shingo ya kizazi na mji wa mimba zinasababisha sana hali hii.

Vimbe hizi huisha zenyewe ila zilizo kubwa sana huhitaji kuondolewa kwa upasuaji.

3: CERVICAL ECTROPION.

Hili ni tatizo la shingo ya kizazi ambapo mishipa ya damu ya shingo ya kizazi inakua kwa juu sana kwenye kuta za ndani za shingo ya kizazi hivyo inakuwa rahisi mishipa hii kupasuka na kuvuja damu wakati wa tendo la ndoa.

Hali hii inawakumba sana wanawake walio katika umri wa miaka 20 hadi 35 na wanawake wanaotumia dawa za uzazi wa mpango na wajawazito.

4: MAAMBUKIZI KWENYE UKE (VAGINITIS)

Maambukizi kwenye uke mfano fangasi za ukeni hupelekea kuta za uke kuwa laini sana na kuvimba.

Hali hii inapelekea kuwa rahisi kupata michubuko na kuvuja damu wakati wa tendo la ndoa.

Tatizo hili linaambatana na muwasho pia harufu mbaya ukeni.

Kutokwa na damu ukeni wakati wa tendo la ndoa sio hali ya kawaida kwa wanawake ambao si bikra.

Sio kitu cha kuchukulia poa kwani inaweza kuwa dalili ya tatizo katika mwili wako.

Hivyo basi unapopatwa na hali hii usikae kimya fika hospitalini ili kupata ushauri na tiba mapema.

Usiache kuniandikia changamoto yako ya uzazi unayotaka kuitatua.

Nitumie sms/ Ujumbe whatsapp no:

0741121823
Reposted from

1. Kupata usingizi wa kutosha;Ukilala bila nguo kabisa mwili wako unakua huru sana, nguo hua na tabia ya kukubana sana n...
12/11/2024

1. Kupata usingizi wa kutosha;
Ukilala bila nguo kabisa mwili wako unakua huru sana, nguo hua na tabia ya kukubana sana na kukunyima usingizi wa kutosha kitu ambacho wewe k**a mlalaji unaweza usigundue...

wakati mwingine huenda umeshawahi kulala umevaa shati lakini asubuhi ukajikuta huna, hii ni kwasababu ukiwa katika nje ya fahamu yaani usingizini uliamka ukavua mwenyewe bila kujua sababu usingizi ulikua haupatikani vizuri.

2. Huzuia magonjwa ya ngozi
Ukilala bila nguo, joto lako la mwili hushuka kidogo na katika hali ya kawaida wadudu nyemelezi wa mwili hutaka sehemu yenye joto au unyevunyevu ili kuweza kushambulia hivyo ukilala bila nguo wadudu hawa hawatapata nafasi ya kuushambulia mwili wako na kukuletea magonjwa,,,hata kipindi cha baridi ni vizuri kujifunika na blanketi nyingi kuliko kuvaa nguo.

3. Husaidia kupunguza uzito
Ukilala na nguo, sababu ya ule usumbufu mtu hupata msongo wa mawazo na hali hiyo husababisha wewe kujisikia njaa na kutaka kula zaidi wakati wa usiku lakini mtu anayelala bila nguo ana-relax sana na kusinzia bila hata kusikia dalili za njaa.

4. Hulinda sehemu za siri
Kwa mwanaume kulala bila nguo huweka korodani zako katika hali ya ubaridi na kusaidia kutengeneza mbegu nyingi za kutosha, lakini pia kwa mwanamke huupa uke hewa ya kutosha ya oksijeni na kuzuia magonjwa ya fangasi yanayopenda kushambulia huko.

5. Hunogesha tendo la ndoa na mahusiano
Utafiti unaonyesha kwamba wanandoa wanaolala bila nguo kila siku hushiriki tendo la ndoa mara nyingi zaidi kuliko wale wanaolala na nguo na hii huongeza chachu ya mahusiano na kufanya wajione wapya kila siku sababu ya miili yao kutengeneza homoni ya oxytocin ambayo ni homoni ya upendo.

6. Hupunguza kasi ya kuzeeka
Ukilala bila nguo unatengeneza mazingira mazuri sana ya homoni za mwili wako kufanya kazi sana kuliko kipindi ukilala na nguo ambapo homoni zako zinafanya kazi kwenye mazingira magumu.

7. Hukupa furaha na uhuru
Kwa hali ya kawaida tu mwanamke anapotoka kazini au mizungukoni na kufika nyumbani kitu cha kwanza kabisa kufanya ni kuvua sidiria na kuitupa huko sababu ya kubanwa sana kwa siku nzima, kuvua humpa uhuru sawa sawa na mtu ambaye analala bi
Reposted from health

Hedhi ni kipindi maalumu katika mzunguko wa siku za mwanamke mwenye umri wa kuzaa.Hedhi bora ni dalili ya afya njema ya ...
11/11/2024

Hedhi ni kipindi maalumu katika mzunguko wa siku za mwanamke mwenye umri wa kuzaa.

Hedhi bora ni dalili ya afya njema ya uzazi, k**a wewe ni mwanamke na unaona kitu hakipo sawa katika hedhi yako ni vema uwahi upate ushauri na msaada kwa wataalamu.

Mwanamke akiwa anapata hedhi yenye sifa hizi hapa chini, hapa tunasema Yuko kwenye Hali ya usalama kwenye upande wa mzunguko wake wa hedhi.

👉Hedhi bora hupatikana mara moja kwa mwezi, yaani mfano k**a mzunguko wako ni siku 28 basi hedhi yako inatakiwa kupatikana kila baada ya siku 28 na k**a hedhi yako haitabiriki ujue kuna shida ambayo unapaswa kutatua kupata hedhi bora.

👉Hedhi bora damu haiwi nyepesi sana au nzito sana, hutakiwi kupata hedhi nzito,hedhi yenye vinyama nyama k**a vipande vya maini.

👉Hedhi bora haiambatani na maumivu makali, Kuna baadhi ya wanawake wanapata maumivu makali kiasi kwamba wanashindwa hata kuendelea na shughuli zao za Kila siku

Je umeshawahi kuona mwanamke siku akiingia kwenye siku zake hupata maumivu NA hushindwa kufanya kazi?

Kwa kawaida maumivu yanapaswa kuwepo ila siyo makubwa ya kufanya MTU asifanye kazi, k**a unapitia kipindi hichi basi unatakiwa kuonana na mshauri kupata hedhi bora.

👉Hedhi isiyo bora husababishwa mwanamke kupata mabadiliko ya mwili mfano kuvimba usoni au kuwa na upele,au chunusi nyingi,

👉Hedhi bora hupatikana siku 3 mpaka 7,katika mzunguko wa mwezi siku za hedhi zinapaswa kuwa 3 mpaka 7 chini ya hapo au zaidi ni ishara ya hatari katika afya yako

Ukijichunguza kwenye mzunguko wako wahedhi je unahisi uko kwenye hedhi salama?
Share na sisi hapa

Matatizo binafsi, kuhitaji msaada wa matatizo ya uzazi, nitumie ujumbe Whatsapp 0741121823
Reposted from

Katika hali ya kawaida asilimia kubwa ya wanawake huwa wana utaratibu wa kukojoa mara baada ya kujamiiana,Hii sio tu hus...
11/11/2024

Katika hali ya kawaida asilimia kubwa ya wanawake huwa wana utaratibu wa kukojoa mara baada ya kujamiiana,

Hii sio tu husaidia kusafisha uke bali husaidia kujikinga na maambukizi ya UTI

Kikawaida wakati wa kujamiiana inaweza kuwa njia ya kusababisha wadudu wasababishao UTI kuhama kutoka mahala pake (sehemu ya haja kubwa ) na kuhamia ukeni na zaidi wanaweza kwenda katika njia ya mkojo(urethra)

Ukojoaji mara tuu baada ya kujaamiiana husaidia kuflush bacteria hao hivyo kumkinga mwanamke na ugonjwa wa UTI.

Njia Hii pia ikifanyika kwa wananume inasaidia pia kuwakina na UTI.
-

Umejifunza kitu, Save post hii Itakusaidia kwa Matumizi ya Baadae,

Kwa msaada wa haraka wa changamoto zote za Afya ya Uzazi kwa Mwanamke,

NITUMIE UJUMBE WHATSAPP

0741121823
Reposted from health_nourish

K**A UNATATIZO LA UVIMBE KWENYE KIZAZI….Acha Kabisa Kutumia Vyakula vyenye Mafuta sana na Sukari, Kwasababu Vyakula hivy...
11/11/2024

K**A UNATATIZO LA UVIMBE KWENYE KIZAZI….

Acha Kabisa Kutumia Vyakula vyenye Mafuta sana na Sukari, Kwasababu

Vyakula hivyo vinachochea au Vinaongeza Ukubwa(Size) ya uvimbe wako kwenye kizazi, Mfano

K**a una cm 3 za uvimbe, na huku unapendelea kula sana vyakula vya mafuta sana na Sukari, Basi uvimbe wako utaongezeka mpaka cm 5 au 9 na kuendelea

Sasa Utumie vyakula Au Matunda gani? ili vikusaidie Kupunguza ukubwa wa uvimbe kwenye kizazi chako

TUMIA SANA MATUNDA /VYAKULA HIVI…

Apples, Tende kiasi, Tikiti maji, Zabibu, Kitunguu saumu, Limao, Mafuta au Majani ya Mizeituni, Soya,Majani ya Mchaichai,
Maziwa, Asali Mbichi, Binzali ya Manjano
Pamoja na Asali mbichi

Pendelea kutumia hivyo vyakula,pamoja na matunda hayo, vitakusaidia kupunguza ukubwa wa uvimbe wako kwenye kizazi

K**a unaona ni kazi kuvipata na kuvitumia kwa wakati mmoja

Basi Tumia detox program nazaidia ya Aina tofauti tofauti za Matunda, Madini mbalimbali pamoja na vitamins ambavyo vitakusaidia kupunguza kwa kasi uvimbe wako kwenye kizazi

K**a Unahitaji hii complete

Whatsapp no: 0741121823

Uanze kujitibia uvimbe wako Taratibu Mpaka Uishe
Reposted from

Address

Mbezi Beach Makonde
Dar Es Salaam

Telephone

+255741121823

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Tips posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya Tips:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram