Sigwa Herbal Clinic

Sigwa  Herbal Clinic Sigwa Herbal Clinic tunatoa suluhisho kwa magonjwa mengi yanayoisumbua jamii kwa kutumia mimea tiba.

Happy blessed birthday bwana Simon Rusigwa. Ishi sana Masta
01/06/2023

Happy blessed birthday bwana Simon Rusigwa.

Ishi sana Masta

01/12/2022

SIGWA HERBAL CLINIC KWA DAR ES SALAAM TUMEHAMIA GOBA NJIA NNE TOKA SINZA NA UKONGA. KITUO NI KIMOJA TUU GOBA NJIA NNE NDANI YA SAISAI. PANAFIKIKA KIRAHISI SANA. KARIBUNI.

SIGWA HERBAL CLINIC NI KIKOMO CHA U.T.I SUGU, FUNGUS NA MATATIZO YA UZAZI JINSIA ZOTE.

0766 100 100

09/10/2022

YANGA DAIMA NYUMA. MBELE MWIKOOO

1.Moyo kutanuka nenda hapa Muhimbili.2. U.T.I sugu njoo Sigwa Herbal Clinic. 3. Candidiasis/Fangas sugu na P.I.D  njoo S...
05/10/2022

1.Moyo kutanuka nenda hapa Muhimbili.

2. U.T.I sugu njoo Sigwa Herbal Clinic.

3. Candidiasis/Fangas sugu na P.I.D njoo Sigwa Herbal Clinic.

Piga 0716 100 100/0766 100 100

14/07/2022
Happy Birthday to Our Founder and Managing Director of SIGWA MOI GROUP OF COMPANIES. Leo ni siku ya kuzaaliwa kwa Mkurug...
01/06/2022

Happy Birthday to Our Founder and Managing Director of SIGWA MOI GROUP OF COMPANIES. Leo ni siku ya kuzaaliwa kwa Mkurugenzi na Mwanzilishi wa taaasisi yetu hii ya SIGWA. Mungu aendelee kukupa Mafanikio na Afya njema k**a roho yako itakavyofanikiwaπŸ™πŸ½

SIGWA HERBAL CLINIC tupo hapa MLIMANI CITY MALL kwenye Maonesho ya 8 ya Adorable Wedding Trade Fair. Karibu upate huduma...
14/05/2022

SIGWA HERBAL CLINIC tupo hapa MLIMANI CITY MALL kwenye Maonesho ya 8 ya Adorable Wedding Trade Fair. Karibu upate huduma na ushauri wa kiafya kwa watu wote na walio kwenye mahusiano mnakaribshwa kwa elimu, ushauri na huduma zote kuhusiana na afya ya uzazi. WOTE MNAKARIBISHWA πŸ₯‘πŸπŸŒπŸ₯’πŸ₯¦πŸ‰
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Karibuni kwenye Maonesho ya Adorable Wedding Trade Fair pale Mlimani City kuanzia tarehe 13-15 May mwezi huu. SIGWA HERB...
12/05/2022

Karibuni kwenye Maonesho ya Adorable Wedding Trade Fair pale Mlimani City kuanzia tarehe 13-15 May mwezi huu. SIGWA HERBAL CLINIC tukishirikiana na SAISAI GARTEN tutakuwepo banda no. 25 kutoa huduma na ushauri wa kiafya wa kwa watu wote. WOTE MNAKARIBISHWA. πŸ’ƒπŸΎπŸ•ΊπŸ½

Reposted from  SAISAI GARTEN Tutashiriki Maonesho ya 8 ya Adorable Wedding Trade Fair mwaka 2022. Katibuni sana banda No...
12/05/2022

Reposted from SAISAI GARTEN Tutashiriki Maonesho ya 8 ya Adorable Wedding Trade Fair mwaka 2022. Katibuni sana banda No. 25 kuanzia tarehe 13- 15 May mwezi huu. Tutakuwa na huduma na ushauri mbalimbali kutoka kwetu kuhusiana na maandalizi ya sherehe ya harusi. Pia huduma za afya ya uzazi kwa wote walio kwenye mahusiano zitatolewa na SIGWA HERBAL CLINIC . WOTE MNAKARIBISHWAπŸ’ƒπŸΎπŸ•ΊπŸ½πŸ‘°πŸ½πŸ€΅πŸ½
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Happy Mother's Day! Heri ya Siku ya Mama Duniani. Kujaaliwa kuwa Mama ni fahari kubwa sana hapa duniani. Na ndio maana l...
08/05/2022

Happy Mother's Day! Heri ya Siku ya Mama Duniani. Kujaaliwa kuwa Mama ni fahari kubwa sana hapa duniani. Na ndio maana leo tunasherehekea siku hii ya akina mama kwa mchango wao mkubwa katika maisha yetu. Kwa kulitambua hilo SIGWA HERBAL CLINIC tuna suluhisho la matatizo mbalimbali ya uzazi kwa wanawake k**a UGUMBA, Hedhi, Uvimbe kwenye kizazi na PID. Tupigie leo 0716100100 au 0766100100 au 0688100100
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Eid Mubarak! Heri ya Sikukuu ya Iddi! SIGWA HERBAL CLINIC tunaungana na waislam wote duniani kusherekea sikukuu ya Iddi ...
03/05/2022

Eid Mubarak! Heri ya Sikukuu ya Iddi! SIGWA HERBAL CLINIC tunaungana na waislam wote duniani kusherekea sikukuu ya Iddi baada ya kumaliza mfungo wa Ramadhani. Mwenyezi Mungu azidi kuwabariki kwa afya tele. Tupo wazi SIKU ZOTE kukuhudumia kwa matatizo mbalimbali ya kiafya. Tupigie leo 0716100100 au 0766100100 au 0688100100.
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Heri ya Siku ya Muungano TanzaniaπŸ‡ΉπŸ‡Ώ Leo tarehe 26/04 ni Maadhimisho ya sikukuu ya miaka 58 ya Muungano wa Tanganyika na ...
26/04/2022

Heri ya Siku ya Muungano TanzaniaπŸ‡ΉπŸ‡Ώ Leo tarehe 26/04 ni Maadhimisho ya sikukuu ya miaka 58 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ikapatikana Tanzania. Tunasherehekea Muungano huu kwa kudumisha amani na upendo katika nchi yetu. Na muhimu ni kuendelea kujenga nchi yetu ili kuweza kuleta maendeleo. Tujali na kuzilinda afya zetu kwa nguvu zote. SIGWA HERBAL CLINIC tupo kukuhudumia KILA SIKU kwa changamoto mbalimbali za kiafya. Tupigie 0716100100 au 0766100100 au 0688100100.
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

18/04/2022

KUTOKWA NA UCHAFU UKENI ni dalili mojawapo ya ugonjwa wa FANGASI(Candidiasis/ Fungal Infection). Endapo mwanamke atakuwa anatokwa na uchafu usio wa kawaida sehemu za siri unaombatana na harufu mbaya anatakiwa awahi kutafuta tiba kwa wataalamu wa afya. SIGWA HERBAL CLINIC tunatibu FANGASI SUGU kwa kutumia mimea tiba, Lishe na Ushauri bora wa kiafya. Tupigie leo kwa simu namba 0716100100 au 0766100100 au 0688100100. Pia tunapatikana Dar es Salaam, Geita, Mwanza, Morogoro, Moshi, Mbeya, Shinyanga na Musoma. πŸ₯‘πŸ₯¦πŸ₯’πŸπŸ‹πŸŒπŸŽ πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Happy Easter! Heri ya Sikukuu ya Pasaka. SIGWA HERBAL CLINIC tunawatakia Heri na Baraka wakristo katika sikukuu hii ya k...
17/04/2022

Happy Easter! Heri ya Sikukuu ya Pasaka. SIGWA HERBAL CLINIC tunawatakia Heri na Baraka wakristo katika sikukuu hii ya kusherehekea Kufufuka kwa Bwana Yesu Kristo.
Tunaendelea kujali Afya yako kwa kutoa huduma zetu kutibu matatizo mbalimbali ya kiafya KILA SIKU hadi Sikukuu na WEEKEND. Tupigie leo 0716100100 au 0766100100 au 0688100100. πŸ₯•πŸ₯‘πŸ₯¦πŸ₯’πŸπŸ‰
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Happy Good Friday. Heri ya Ijumaa Kuu. Kwa imani ya wakristo Ijumaa Kuu ni siku ya kifo cha Bwana Yesu Kristo aliyesulub...
15/04/2022

Happy Good Friday. Heri ya Ijumaa Kuu. Kwa imani ya wakristo Ijumaa Kuu ni siku ya kifo cha Bwana Yesu Kristo aliyesulubiwa msalabani. SIGWA HERBAL CLINIC tunawatakia heri ya kumbukumbu hiyo. Tuko wazi KILA SIKU hadi sikukuu kukuhudumia kwa matatizo mbalimbali ya kiafya k**a vile Uzazi, Nguvu za Kiume na Vidonda vya Tumbo. Tupigie simu 0716100100 au 0766100100 au 0688100100.
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

13/04/2022

TATIZO LA KUKOSA HEDHI(AMENORRHEA)
Kwa kawaida mwanamke ambaye sio mjamzito na hajafikia umri wa kukosa hedhi(Menopause) anatakiwa apate hedhi yake kila mwezi. Kukosa Hedhi ni tatizo linaoashiria tatizo kubwa kwenye mfumo wa homoni au wa uzazi kwa ujumla. Baadhi ya sababu za tatizo hilo ni matumizi ya njia za uzazi wa mpango, matumizi ya madawa kutibu magonjwa fulani, msongo wa mawazo(STRESS), Lishe duni na Uzito mkubwa sana au Kupungua uzito kupitiliza. Usiendelee kusumbuka kupata tiba ya Amenorrhea kwani SIGWA HERBAL CLINIC tunatibu tatizo hilo na likaisha kabisa kwa kutumia mimea tiba, ushauri na Lishe.
Tupigie leo kwa simu namba 0716100100 au 0766100100 au 0688100100. 🍐πŸ₯‘πŸ₯¦πŸ₯’πŸ‰πŸ…πŸ†πŸ‹ πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

UGONJWA WA NGIRI/HERNIA Usikose kipindi chetu kitakachorushwa Radio One leo saa 2:10 usiku kuhusu mada ya Ugonjwa wa NGI...
11/04/2022

UGONJWA WA NGIRI/HERNIA
Usikose kipindi chetu kitakachorushwa Radio One leo saa 2:10 usiku kuhusu mada ya Ugonjwa wa NGIRI. Daktari wetu ataongelea mambo mbalimbali kuhusu NGIRI ikiwemo aina za NGIRI, sababu za ugonjwa, dalili, madhara pamoja na namna ya kutibu ugonjwa huo. SIGWA HERBAL CLINIC ni suluhisho la uhakika kutibu NGIRI/HERNIA kwa kutumia mimea tiba na LISHE na tunapatikana mikoa mbalimbali hapa nchini. Tupigie leo 0716100100 au 0766100100 au 0688100100 πŸ₯‘πŸ₯’πŸ‰πŸπŸ₯¦
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Address

Dar Es Salaam
255766100100

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sigwa Herbal Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Tiba Makini. Timu Makini.

Kituo mahiri cha tafiti na tiba asili kwa kutumia mimea na matunda.