Ali Kimara Rare Disease Foundation

Ali Kimara Rare Disease Foundation We raise awareness & advocate for the consideration & inclusion of children living with rare diseases in health and education policies in Tanzania.

Ali Kimara Rare Disease Foundation would like to raise the voices of everyone affected by known and unknow Rare Diseases and put efforts & resources into medical and education sector for the sake of of all these special souls in Tanzania and support them

01/12/2024
Parents and caregivers of children living with   or facing significant health challenges that hinder their ability to at...
24/04/2024

Parents and caregivers of children living with or facing significant health challenges that hinder their ability to attend school, let's not deny them their right to education. Currently, education is reaching them at home through the official guidelines launched by the Ministry of Education, Science and Technology.

Rare Diseases International
Rare Disease Day

29/02/2024

Leo ni siku ya kipekee tunajisikia fahari kuzindua makala maalum inayohusu magonjwa adimu na kusaidia utafiti. Kupitia jitihada zetu, tunakusudia kuleta mwangaza, kuhamasisha, na kuunga mkono utafiti unaogusa maisha ya wale wanaoishi na changamoto hizi za kipekee.J iunge nasi katika safari hii ya kuleta mabadiliko na kuwezesha utafiti unaosaidia kubadilisha maisha ya kundi hili.
Tunakushukuru kwa ushirikiano wako.

Today is a special day as we take pride in launching a unique documentary focusing on rare diseases and supporting research. Through our efforts, we aim to bring awareness, inspire, and support research that impacts the lives of those facing these rare challenges. Please join us on this journey to make a difference and empower research that has the potential to transform lives.
We appreciate your collaboration.




SIKU YA MAGONJWA ADIMU DUNIANI 2024
29/02/2024

SIKU YA MAGONJWA ADIMU DUNIANI 2024

🚨 IT'S OFFICIALLY RARE DISEASE DAY ACROSS THE GLOBE 🚨

Join us in marking Rare Disease Day 2024 now that it's finally here! Let's unite in solidarity with the millions worldwide living with rare diseases. 🌍 Spread awareness, share stories, and show support for them.

Together, we can make a lasting impact and shine a light on these often overlooked!

Let's make today count by raising awareness and advocating for those who need it most. Every voice matters in the fight for understanding and support.

Visit our website to find out more:https://www.rarediseaseday.org/



27/02/2024

Siku ya Magonjwa Adimu Duniani mwaka huu itaadhimishwa Tarehe 29, Februari.Moja ya mtu mwenye magonjwa Adimu ni Ali Kimara, Mtoto ambaye amejaaliwa talanta mbalimbali na anazionesha kupitia ufaulu wake kupitia mfumo wa Elimu nje ya Shule. Ali ana ndoto za kuwa Rubani. TUMUOMBEE.
Ali Kimara Rare Disease Foundation
Rare Disease Day
Zanzibar Human Genetics Zhgo

Ali Kimara Rare Disease Foundation  & Muhimbili University of Health and Allied Sciences unite for impactful research to...
18/02/2024

Ali Kimara Rare Disease Foundation & Muhimbili University of Health and Allied Sciences unite for impactful research to unlock hope for those facing rare diseases.

Siku ya magonjwa adimu duniani itaadhimishwa tarehe 29 Februari 2024.Taasisi za Ali Kimara Rare Disease Foundation  na M...
18/02/2024

Siku ya magonjwa adimu duniani itaadhimishwa tarehe 29 Februari 2024.

Taasisi za Ali Kimara Rare Disease Foundation na Muhimbili University of Health and Allied Sciences zinaungana katika kampeni ya kuchochea tafiti zitakazosaidia kuwatambua waathirika wa magonjwa haya nchini.




Rare Disease Day
Rare Diseases International
Wizara ya Afya

Meet Dr Mohamedraza A Ebrahim
28/01/2024

Meet Dr Mohamedraza A Ebrahim

Meet Dr Mohamedraza Ebrahim

Date: Friday 16 February
Time: 13h30 – 13h45
Topic: The role of patient organisation’s in gaining access for patients in Africa
Session: Breakaway – Policy

Mohamedraza Ebrahim, a dedicated paediatrician in Tanzania, extends his compassionate care to children, including those battling rare diseases, despite the constraints of limited resources. His commitment to children's well-being drives him to search for innovative solutions to the unique challenges they face. Dr. Ebrahim's professional journey finds him at The Aga Khan Hospital in Dar es Salaam, Tanzania, where he also holds a senior instructor position at The Aga Khan Hospital, Dar Es Salaam. Graduating from Stellenbosch University in Cape Town, South Africa, he returned to Tanzania with invaluable skills and experience gained abroad to focus on capacity building and teaching in his homeland. Collaborating with the Ali Kimara Rare Disease Foundation, he continues to educate on rare diseases, understanding the vital role of awareness. Dr. Ebrahim shares his expertise as an instructor for Basic Life Support, Paediatric Advanced Life Support, and Paediatric Emergency Assessment, Recognition, and Stabilization (PEARS).

Head over to www.rare-x.co.za to have a look at our full programme of speakers and all things Rare-X.

-x

12/09/2023

Uzinduzi wa miongozo ya elimu maalumu na Jumuishi Asante sana kwa hili tunathamini sana hatua hizi kubwa

Mungu ibariki Tanzania

.kimara

12/09/2023

Uzinduzi wa miongozo 4 ya kuboresha utoaji elimu kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum.
Unaofanyika 12.9.2023 Dodoma katika ukumbi wa Destination kisasa. Mgeni rasmi ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia.

Miongozo hiyo ni
1. Home schooling (Shule Nyumbani)
2. Home visit (Ziara Nyumbani)
3. Ubainishaji na upimaji wanafunzi wenye mahitaji maalum
4. Uanzishwaji na usimamizi wa shule au vyuo maalum/ jumuishi

.kimara

"Leave no one behind!" ni ahadi ya waishio na   kuwa hakuna atakaeachwa! Hivyo basi na Ali nae hakuachwa, yeye na sis wa...
26/08/2023

"Leave no one behind!" ni ahadi ya waishio na kuwa hakuna atakaeachwa! Hivyo basi na Ali nae hakuachwa, yeye na sis wake wote ni mwendo wa kuchomekea.


August 2013 - August 2023Miaka 10 bila ugonjwa unaofahamika, haikuwa safari nyepesi. Alhamdulillah tunapumua na tunaende...
19/08/2023

August 2013 - August 2023
Miaka 10 bila ugonjwa unaofahamika, haikuwa safari nyepesi. Alhamdulillah tunapumua na tunaendelea kumuomba Mwenyezi Mungu penye uzito alete wepesi, amen.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ali Kimara Rare Disease Foundation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Ali Kimara Rare Disease Foundation:

Share