14/11/2025
๐๐ข๐ค๐ข ๐ฒ๐ ๐๐๐ ๐ข๐ฆ๐๐ก๐ข๐ญ๐ข๐ฆ๐ข๐ฌ๐ก๐ฐ๐ ๐ค๐ฐ๐ ๐ฆ๐๐๐๐ง๐ข๐ค๐ข๐จ!
Hapa #๐๐๐ซ๐ข๐๐๐ญ๐จ๐ฉ๐๐ฌ๐๐๐ง๐ณ๐๐ง๐ข๐. tumeendelea kuthibitisha dhamira yetu katika Utofauti, Usawa na Ushirikishwaji (DEI) kupitia midahalo na mafunzo yaliyofanyika kwa wiki nzima kwa lengo la kuimarisha utamaduni wetu wa kazi.
Leo tumefunga rasmi wiki hii muhimu kwa matukio yenye furaha na ushirikiano ikiwemo chakula cha mchana cha pamoja, maonesho ya mavazi ya kitamaduni, uwasilishaji wa mtoa mada kuhusu DEI pamoja na michezo ya kuburudisha k**a
Wafanyakazi na viongozi wetu walishiriki kwa pamoja, tukionyesha wazi kuwa DEI ni msingi wa mazingira yetu ya kazi na utofauti wetu ndio nguvu yetu.
#๐๐๐ซ๐ข๐๐๐ญ๐จ๐ฉ๐๐ฌ: - #๐๐๐ฒ๐๐๐๐ค๐จ๐๐ก๐๐ ๐ฎ๐จ๐๐๐ค๐จ๐๐๐ญ๐ฆ๐๐๐๐ค๐จ.