19/11/2025
📢 Amanani GCAT Clinic – MTWARA Inatangaza Nafasi ya Kazi!
Tunamtafuta Doctor mwenye Certificate ya Clinical Medicine, mwenye nidhamu, ushawishi, na muonekano nadhifu.
Kazi ni kutumia Quantum Magnetic Machine kupima wagonjwa bila sindano na kuwaandikia supplements kulingana na orodha utakayopewa.
Vigezo:
✅ Umri: 23–35
✅ Jinsia yoyote
✅ Kutoka Dar es Salaam au mikoa ya Kusini
Faida:
💰 Mshahara: 300,000 Tsh
🏠 Malazi tunatoa
Ofisi: Mtwara Mjini
Mwisho wa Kutuma Maombi: Ijumaa hii
📞 Tuma CV yako sasa: 0760 705 869