Mdekwa Healthcare Consultant

Mdekwa Healthcare Consultant Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mdekwa Healthcare Consultant, Medical Center, Kijitonyama, Dar es Salaam.

21/08/2018

FAHAMU KUHUSU TEZI DUME.

Tatizo la tezi dume linakua kwa kasi sana.
▶Fahamu vyanzo/njia zinazopelekea kutanuka na kukua kwa saratani ya tezi dume.
▶Dalili za awali za tezi dume na dalili hatarishi.
▶Madhara yake.
▶Njia za kujikinga na suluhisho lake la kudumu la tatizo hili.

BIDHAA YA KUBORESHA NGUVU ZA KIUME NA UZAZI KWA MWANAUME.Maca Supplement Pack. Hivi ni virutubisho vya asili vilivyoteng...
14/08/2018

BIDHAA YA KUBORESHA NGUVU ZA KIUME NA UZAZI KWA MWANAUME.

Maca Supplement Pack. Hivi ni virutubisho vya asili vilivyotengenezwa na mmea wa Maca, vina faida mbalimbali k**a;

1.Huongeza hamu ya mapenzi kwa kina mama na kina baba, stamina na nguvu.
2.Inasaidia kuondoa depression - (msongo wa Mawazo)
3.Inasaidia kuondoa madhara ya kukoma hedhi k**a mvurugiki wa homoni na kusikia joto kali endapo itatumiwa na mwanamke.
4.Inarutubisha mayai.
5.Inaongeza idadi ya mbegu za kiume ,na uwezo wa mbegu kuogelea vizuri.
6.Inaweka sawa kiwango cha chuma Kwenye damu.
7.Inasaidia kupromote matumizi ya glucose Kwenye damu kubadilishwa kuwa nguvu na si kugeuzwa kuwa mafuta.
8: Ni bidhaa bora ambayo husaidia katika kuondoa changamoto ya mwanaume kuwa kufika kileleni mapema na kutorudia tendo.
9: Huboresha misuli ya usafirishaji mbegu ya uume na kuifanya kuwa imara hasa kwa walioathirika na changamoto ya kujichua kwa mda mrefu.
10: Huboresha tatizo la kusinyaa kwa uume na kutorudia tendo.
11: Husaidia kuondoa athari za kujichua kwa mda mrefu na kukufanya kuwa imara zaidi.
12: Huboresha mfumo wa mzunguko wa damu na kuondoa mafuta mabaya katika mishipa ya damu.

Hivyo ni bidhaa bora kwa matumizi na afya ya uzazi.

Wasiliana nasi kuzipata kwa namba

+255716789967.
+255755928588.

PATA MAELEKEZO ZAIDI KATIKA WHATSAPP KWA KUBONYEZA LINK HII HAPA CHINI.

https://wa.me/255716789967

BORESHA AFYA YA UZAZI NA TENDO LA NDOA KWA  ARGI+ NA ALOE GEL JUICE.Kwanini utumie kinywaji cha Aloe gel?•••••••••••••••...
06/08/2018

BORESHA AFYA YA UZAZI NA TENDO LA NDOA KWA ARGI+ NA ALOE GEL JUICE.

Kwanini utumie kinywaji cha Aloe gel?
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••

•Kuondoa sumu mwilini
•Kuondoa gesi tumboni
•Kuondoa tatizo la kukosa choo na constipation
•Kurekebisha hedhi na kuondoa maumivu yanayosumbua kipindi cha hedhi
•Kusafisha utumbo uliochafuka
•Kurekebisha sukari na afya ya kongosho
•Kurejesha hamu ya kula
•Kuondoa uchovu wa mara kwa mara na ukosefu wa usingizi
•Kuongeza madini ya Zinc mwilini hivyo kusaidia ukuaji wa viyngo vya uzazi

Kwanini utumie ARGI+
•••••••••••••••••••••••••••••

1. Argi+ itasaidia kwenye kuondoa sumu mwilini kutokana na matunda ya berries na komamanga.

2. Itatanua mishipa ya damu na kurekebisha msukumo wa damu hivyo kusaidia afya ya moyo na magonjwa ya moyo pamoja na pressure.

3. Itasaidia kurekebisha matatizo ya nguvu za kiume maana damu kutembea vizuri ndio kila kitu kwenye hilo eneo,

4. Itasaidia kwenye kujenga mifupa na misuli hasa hasa kwa wale wanaofanya mazoezi sana.

5. Husaidia kwenye kupunguza kiwango cha Cholesterol kwenye damu.

6. Huusaidia mwili kutengeneza homoni zinazopunguza kuzeeka kwa haraka kupita umri wako.

7. Husaidia kila mfumo wa mwili na hivyo kukupa afya njema na kuepuka magonjwa yasiyoambukiza.

8. Husaidia INI katika zoezi la kutoa sumu mwilini

9. Kusaidia kuzuia ukuaji wa Tezi dume,na pia kusaidia kuzalisha mbegu zenye afya

10. Husaidia kubalasi homoni aina zote zikiwemo Estrogen na progesterone pamoja na Testosterone. Hivyo kusaidia afya ya uzazi katika jinsia zote

MATUMIZI:-
Unaweza changanya na maji,juice fresh,maziwa au mtindi.

Kumbuka hivi ni virutubisho si dawa, na havina kemikali hatarishi ni vya asili 100%
Na haviuzwi katika maduka ya madawa,
Hupatikana katika Centre zetu.

Kuvipata Wasiliana nasi no.

+255716789967
+255755928588.

PATA MWONGOZO ZAIDI KATIKA WHATSAPP KWA KUFUATA LINK HII.

https://wa.me/255716789967

WAPO WANAUME WANAPITIA CHANGAMOTO HII.K**a mwanaume unajisikiaje kupitia jambo hili? Kwangu ilikua ngumu sana,nakumbuka ...
23/04/2018

WAPO WANAUME WANAPITIA CHANGAMOTO HII.

K**a mwanaume unajisikiaje kupitia jambo hili?

Kwangu ilikua ngumu sana,
nakumbuka mwanzoni mambo yalikua yanaenda vizuri huko ndani. Mwanamke alinifurahia sana na kwa kweli nilijiona mwanaume. Baadae mambo yalibadilika nilianza kukosa hamu ya tendo la ndoa, na hata nilipoipata haikua active sana, uume wangu ulisimama kwa muda kidogo tena ukiwa mregevu sometimes nilikosa tu nguvu za mwili. Nilishangaa sana na wala sikujua tatizo limetokana na nini? Hata mbegu za kiume zilikua zinatoka chache au hazitoki kabisa most of the time niliwahi kufika kileleni.....

Hali hii ilinikosesha furaha hata mwanamke niliona hayuko comfortable tena kushiriki tendo na Mimi, kila nilipojaribu kumpapasa hakuonesha ushirikiano kwasababu mara kadhaa nimefanya hivyo lakini uume hausimami au nawahi kufika kileleni....niliumia sana siku mwanamke alivyo nitamkia "WEWE SIO MWANAUME" imagine umemzalisha watoto watatu halafu Leo anasema hivyo.. nilijisikia aibu sana na nilianza kuogopa hata kulala nae ilifikia hatua hata chakula alichopika niliona aibu kula kwasababu aliwahi kuniambia "unakula hufanyi kazi yoyote huko ndani" Duuuuu hakuna wakati mgumu k**a huu.

Kazini niliomba overtime ili tu niwe nachelewa home nikute amesha lala kuepusha zogo na dharau. Ilifikia hatua hata mshahara wangu sikuona thamani yake k**a naambiwa "mwanaume suruali wewe" means hata mahitaji ninayo gharamia kwa familia ni useless.... Ilibidi tu nianze kwenda kucheck mpira na rafik zangu atlest nirudi home muda umeenda. Au nipate zangu moja baridi then ndio nikalale.

Nilijaribu kua muwazi kwa rafik zangu k**a watatu hivi lakini mambo hayakua mazuri kwasababu hata wao huko nyumbani mambo hayaendi tukajikuta hatuna solution. Kumbe unaweza kufikiri uko peke yako la! Tuko wengi, nilijaribu vitu vingi lakini bado sana tu niliishia kuboost nguvu siku tatu tatizo limerudi yani ndio mwanamke aliniona" kweli dume suruali" ile furaha ya Nyumba ilizidi kuporomoka hata nilipokua nae kwenye gari muda wote amenuna,akawa mkali kitu kidogo anaweza kuniparuza hata makucha....niliamini hamna tena namna ya kumaliza tatizo langu nikabaki kua mnyonge tu sijui alipata kidume huko maana alinisahau kabisa nikawa mwanaume jina tu. Siwezi kumlaumu mwanamke kwasababu alinivumilia sana tatizo lilipoanza alinipa ushirikiano sana baadae akanikatia tamaa....mwanaume mwenye akili nafikir unaelewa hali ikiwa hivi nyumbani na hata k**a hayaja kukuta bora ujue solution mapema unaweza kufa kwa pressure au kujidharau though hujamwambia mtu inakua tu internal conflict....

Nimejaribu kuweka wazi ili kupanua uelewa wetu wanaume juu ya tatizo hili.Ni
Mwaka unakaribia kutimia sasa naanza kuona hali imebadilika mambo yanaenda vizuri. Naona hata mwenzangu amekua na ushirikiano na furaha imerejea natamani uone Nyumba ilivyo na amani zile fujo zote hazipo tena....nadhani hata wewe ungetamani iwe hivyo kwako.

Upungufu wa nguvu za kiume ni jambo nyeti sana ndugu yangu, nimegundua ni muhimu mwanaume kufahamu mapema namna ya ku-mantain nguvu zako kwasababu it's a lifetime huitaji tu kupooza tatizo kwa kufanya shortcut za hapa na pale k**a nilivyokua nafanya ku- boost then napiga mzigo kesho tatizo palepale..unaweza kuitwa majina mabaya nakumbuka nimewahi kulia machozi nikajuta kua mwanaume...see?..

For now,nafuraha sana kushare jambo hili na nimeanza kuona mabadiliko japo imenichukua muda kidogo lakini kumbe heshima ndani sio pesa tu au huduma za chakula NO" hata uanaume wangu nao ni asset kubwa huko ndani.

Sasa pengine unajiuliza sana nini hasa nilitumia au changamoto yako itatokaje,?

Zipo njia ama bidhaa zinaweza kukusaidia sana na ukafurahia tendo LA Ndoa.

Kwa Ushauri au mwongozo zaidi kuhusu changamoto na suluhisho hilo,
Wasiliana nao kwa namba:

+255716789967

Whatsap/texts/calls.

AFYA YA TEZI DUME KWA MWANAUME Kila mwanaume anazaliwa na Tezi ya kiume.Tezi dume siyo ugonjwa bali ni moja ya tezi k**a...
07/03/2018

AFYA YA TEZI DUME KWA MWANAUME

Kila mwanaume anazaliwa na Tezi ya kiume.

Tezi dume siyo ugonjwa bali ni moja ya tezi k**a tezi nyingine mwilini.

Tezi dume inapatikana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika shingo ya kibofu cha mkojo.

Kazi yake kubwa nikutengeneza majimaji ya uzazi wa mwanaume (shahawa), ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume zilizo tengenezwa kutoka kwenye Korodani na hivyo mbegu za kiume kubaki hai kwa muda mrefu na unaostahili.

Tatizo linakuja kiungo hiki kinapoanza kutanuka. Kiungo hiki kinatanuka taratibu taratibu na kasi ya utanukaji wake hutofautiana kati ya mtu mmoja na mwingine.

Hili ni tatizo linalo wakumba wanaume wengi kwa sasa.

Takwimu zinaonesha kwamba kati ya wanaume 10, wa 3 na kuendelea wana dalili za kutanuka kwa Tezi dume.

NINI MAANA YA UKUAJI WA TEZI DUME?

Ukuwaji wa Tezi dume ni ile hali ya chembe chembe hai katika tezi ya kiume kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili katika eneo linalo zunguka mirija ya kupitisha mkojo na mbegu za kiume.

Tatizo hili kwa sasa linawapata wanaume kuanzia umri wa miaka 25 na kuendelea, tofauti na awali lilikuwa likijitokeza kuanzia miaka zaidi ya 50.

Takwimu kutoka kwenye shirika la CHRP (Centre for Human Right Promotion), zinaonesha kwamba kiujumla kila mwanaume katika maisha yake ana 16% za kugundulika na saratani ya Tezi Dume, na

mtu 1 kati ya watu 6 analo hili tatizo; 3% (1 kati 33) wanakufa kwasababu ya Saratani ya Tezi Dume.

Saratani hii inaua mwanaume mmoja kila baada ya dakika 13.

II. VYANZO VINAVYOPELEKEA TEZI DUME KUTANUKA

Tatizo la kutanuka kwa tezi dume limekuwa kwa kasi sana hii ni kutokana na mitindo ya maisha wanaume wengi wanayoishi hasa katika kipindi hiki cha sasa.

Pia na elimu ndogo iliyoko kwenye jamii kuhusu afya zao.

Vifuatavyo ni vyanzo vinavyoweza kupelekea kutanuka kwa tezi dume

- Ukosefu wa lishe kamili na Virutubisho muhimu mwilini

- Uwepo wa sumu nyingi mwilini

- Kutokufanya mazoezi

- Matumizi ya pombe kali, na uvutaji wa sigara

- Uzito mkubwa (uliopindukia, uliokithiri), na Kitambi

- Kutokukaa sawa kwa vichocheo vya mwili (Hormone Imbalance)

- Msongo wa mawazo ( Stress )

- Magonjwa ya zinaa

- Umri mkubwa

- Upasuwaji wa korodani, kuzaliwa na korodani moja,

- Historia ya Familia (Kurithi)

- Sababu za kimazingira (Ethnicity)

III. DALILI ZA KUTANUKA KWA TEZI DUME

Mtu mwenye tatizo katika tezi huanza kwa dalili ndogo ndogo sana,

Mpaka mtu apate saratani ya Tezi Dume (Prostate Cancer), ujue amekaa na tatizo hilo kwa muda mrefu, si chini ya miaka isiyopungua 10.

Hii hutokana na mrundikano wa mkojo unaobaki kwenye kibofu na kwenye mrija wa mkojo (Urethra) wakati unakojoa; ukiendelea kujirundika kwenye kibofu na mrija; baada ya muda unazalisha “Uric Acid” na ndio inatengeneza saratani (cancer).

Saratani ziko stage nne.

Ya kwanza na yapili ukiwahi unaweza kupona; lakini ikishafika stage ya 3 na 4, hazitibiki bali Unasaidiwa kupunguza makali kwa mionzi ukijitayarisha kupoteza maisha muda wowote.

Hivyo ukiona dalili mojawapo kati ya hizi chukua tahadhari na hatua mapema kabla hujaharibu mfumo wako

mzima wa uzazi wa mwanaume.

a) Dalili za awali

- Kukojoa mkojo uliochanganyikana na damu

- Kukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu

- Maumivu kwenye mfumo wa mkojo

- Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa

- Kuhisi kibofu kimeja mkojo muda wote na ukienda kukojoa mkojo hautoki, lakini ukirudi kukaa unahisi kukojoa tena.

- Homa

- Kukojoa mara kwa mara wakati wa usiku

b) Dalili za mtu aliyeathirika

- Maumivu ya mifupa hasa chini ya mgongo, kiuno na mbavu

- Miguu kuwa dhaifu

- Kushindwa kumudu tendo la ndoa , au Kuhisi maumivu makali wakati unamaliza tendo la ndoa

- Kushindwa kuzuia mkojo, pindi unapohisi kukojoa

- Kushindwa kuzuia haja kubwa (kinyesi cha maji maji)

- Tumbo kuja gesi mara kwa mara

IV. MADHARA YA TEZI ILIYOTANUKA

Katika hatua za awali, tezi inapotanuka hugunduliwa kwa kupimwa kwa njia ya kidole. Hii ni njia ambayo daktari huingiza kidole kwenye njia ya haja kubwa ili kuweza kubaini k**a tezi imetanuka. Kipimo hiki ndicho rahisi kinacho kubalika duniani kote na kisicho na gharama.

Lakini kimekuwa kikipata upinzani kutoka kwa wanaume kutokana na imani potofu ya wahusika wa tatizo hili kuona ni udhalilishaji.

Kipimo kingine ni kipimo cha damu. Damu huchunguzwa aina ya protein inayozailishwa na seli za tezi dume, kiitwacho Prostate Antigen (PSA). PSA huonesha kuwapo kwa tatizo kwenye Tezi Dume, lakini kipimo hiki hakina uwezo wa kutofautisha endapo tatizo hilo linamaanisha saratani.

Yafuatayo ni madhara ya tezi iliyotanuka

- Kibofu cha mkojo kuuma: hivyo hupelekea mkojo kurudi juu, na kuharibu figo na Ini n.k.

- Kufunga kwa njia ya mkojo kabisa

- Figo kushindwa kufanya kazi (Kidney Failure)

- Kushindwa kumudu tendo la ndoa (Ndoa zinavunjika)

- Ugumba (Infertility, Frigidity for men)

- Kutokea kwa majipu sehemu ya Tezi Dume

- Kifo

V. SULUHISHO KWA TEZI ILIYOTANUKA

SULUHISHO PENDWA

a) Suluhisho Linalopendwa

Watu wengi hukimbilia hospitali pindi wanapopatwa na madhara ya Tezi dume na kujikuta wakipewa tiba ambazo huficha tatizo hilo kwa muda mfupi kisha tatizo hujirudia kwa kasi kubwa.

Tezi iliyotanuka haiwezi kutibika kwa njia za madawa yenye makemikali au mitishamba, lakini madawa au upasuaji hupunguza maumivu ya dalili na kuzifanya zisizidi sana.

Kuna njia 3 za kudhibiti Tezi iliyotanuka

1. Kusubiri na kufuatilia kwa ukaribu na Daktari:

Inashauriwa kwamba kwa tatizo hili ni bora kuendelea kulichunguza bila kukimbilia tiba kali k**a madawa, upasuaji na Tiba kemikali, mpaka pale mtu atakapoona hakuna njia mbadala.

2. Madawa

“Baadhi ya madawa wanayopewa wagonjwa wa saratani ya tezi Dume yaligunduliwa miaka 30 iliyopita, yanasababisha athari kwenye Ini, Moyo na kuvimbisha magoti. Yamepigwa marufuku katika Nchi haswa za Ulaya.”

– Johnathon Waxman, Cancer Specialist, Hammer Smith Hospital, London

3. Upasuaji

Njia hii ambayo madaktari hutumia inapelekea “70% ya wagonjwa kuwa mahanithi baada ya upasuaji, na 40% wanashindwa kuzuia mkojo kutoka wanapo banwa na haja ndogo.”

– Johnathon Waxman

Inasikitisha kuona wanaume wanapasuliwa bila uhakika wowote kwamba huo upasuaji utakuwa na manufaa.

SULUHUSHO LA KUDUMU

b) Suluhisho la Virutubisho (Supplements)

Tafiti zinaonesha kuwa kutanuka kwa Tezi dume kwa asilimia kubwa zaidi husababishwa na upungufu wa madini na virutubisho ambavyo mwili unavihitaji ili kuweza kuboresha afya ya Tezi na uzazi.

Upungufu huu hupelekea kwa kiwango kikubwa kuongezeka kwa kasi ya kutanuka kwa tezi na hatimaye Kansa ya Tezi dume.

Hivyo basi program maalumu ya virutubisho(Supplements) imeandaliwa

Kwa watu wenye changamoto hii na pia kwa watu wanaohitaji kuboresha na kuongeza vitamins,Madini ambayo huondoa athari na dalili za kutanuka kwa Tezi Dume, na mfumo wa uzazi mwanaume(Nguvu za kiume).

Virutubisho hivi sio dawa wala mitishamba.

Zimetengenezwa kutoka kwenye organic materials au vyakula ambavyo tungefaa kula kila siku, na vina lishe kamili na virutubisho muhimu katika mwili wa mwanaume ili kutengeneza afya bora na nadhifu.

Virutubisho hivi vina mchanganyiko wa vitu vifuavyo: Proteins, Vitamins, Minerals, Essential Fat Acid and Trace minerals.

Kwa pamoja husaidia katika:

- Kuimarisha kinga ya mwili dhidi ya Bacteria na virus ambao huweza kupelekea cancer ya tezu dume.

- Husaidia katika kuweka sawa kiwango cha sukari mwilini, k**a vile uwepo wa SELENIUM katika virutubisho hivi husaidia katika kuboresha utendaji kazi wa insulini mwilini. Hivyo kuthibiti kiwango cha sukari na sumu mwilini.

- Husaidia katika kuondoa Cholesterol mbaya mwilini na hivyo kufungua mirija ya kibofu na hivyo kupata haja ndogo vizuri.

-- Husaidia katika kuongeza uzalishaji wa mbegu za kiume na kuboresha utendaji kazi wa mirija ya Tezi na hivyo kuimarisha utendaji kazi wa tezi.

- Huondoa maumivu, na kuongeza nguvu.

- Husaidia katika kuupa mwili nguvu, kuongeza uzalishaji tishu katika mwili

Kuboresha mzunguko wa damu, vitamins na madini

Na kuongeza kiwangi cho uzalishaji mbegu kwa mwanaume.

Matumizi bora ya Virutubisho ni muhimu sana katika kuboresha Afya ya uzazi kwa mwanaume na kuondoa athari za Tezi Dume.

Kwa yeyote mwenye tatixo la tezi dume na anayehitaji kupata virutubisho hivi kwaajili ya kuboresha na kuimarisha afya yake ya Tezi Dume (Prostate Gland) na mfumo mzima wa uzazi wa mwanaume,

awasiliane nasi Utapata ufumbuzi.

Wasiliana nasi

+255716789967
+255755928588

Waweza jiunga na Group yetu ya Afya whatsapp kwa kubonyeza Link ifuatayo

https://chat.whatsapp.com/JYvRmDFPKmi36KLWpFtS9d

Fahamu kuhusu Kutanuka kwa Tezi Dume, Dalili zake athari zake na Suluhisho lake pia.Soma Zaidi hapa upate uelewa zaidi.
04/03/2018

Fahamu kuhusu Kutanuka kwa Tezi Dume, Dalili zake athari zake na Suluhisho lake pia.

Soma Zaidi hapa upate uelewa zaidi.

AFYA YA TEZI DUME KWA MWANAUME Kila mwanaume anazaliwa na Tezi ya kiume. Tezi dume siyo ugonjwa bali ni moja ya tezi k**a tezi ny...

TATIZO LA TEZI DUME  NA SULUHISHO LAKE.Moja kati ya changamoto ijayosumbua wanaume wengi hasa wakifikisha umri wa miaka ...
08/02/2018

TATIZO LA TEZI DUME NA SULUHISHO LAKE.

Moja kati ya changamoto ijayosumbua wanaume wengi hasa wakifikisha umri wa miaka 40+ ni janga la kansa ya Tezi dume(prostate cancer).
Tafiti zimebaini mifumo ya maisha tunayoishi inaweza kuchangia kwa asilimia kubwa tezi kuleta shida either kutanuka(enlargement) au kutokea kwa kansa.
Maranyingi inaleta shida pindi inapokosa baadhi ya madini mwilini ikiwamo zink, selenium, iron n.k.

VITO MEN SUPPLEMENT:

Hii ni bidhaa ambayo inamchanganyiko wa (vitamin C, D, E, B6), na madini mbali mbali ikiwamo zink na selenium. Pia ina Saw Palmetto, Pomegranate, Olive oil, Lycopene oil, Quercetin, Pygeum na Pumpkin seed.

NINI FAIDA ZAKE!!!
1) Mchanganyiko wa ingredient tofauti tofauti zote hizo husaidia katika Afya ya Tezi dume kwa kina baba.

2)Husaidia katika kuweka sawa homoni ya testosterone, fertility, kuongeza uzalishaji wa mbegu za kiume, libido na kusaidia udhibiti wa Kansa ya Tezi.

03) Husaidia kuboresha na kusafisha mfumo mzima wa Uzazi kwa mwanaume, na Hii hupelekea kuboreshwa kwa usafirishwaji wa mbegu(sperm) kwa kasi Zaidi.

04) Kuleta hamu ya tendo la ndoa Zaidi.

05) Huimarisha stamina na Nguvu

NOTE: Bidhaa hizi ni Supplements zilizothibitishwa kimataifa na baraza la aloe-vera na virutubisho duniani, na kuruhusiwa kutumika Zaidi ya nchi 160+ dunia.
Hivyo ni Salama kwa matumizi.

Mawasiliano ni:

+255716789967

Whatsapp/Calls & Texts.

04/02/2018

AFYA YA MOYO, MAUMIVU YA MGONGO, MZUNGUKO WA DAMU NA CHOLESTEROL MWILINI.

Zama zimebadilika na hakika zimebadilika kwelikweli, mabadidiliko haya yamekuja huku yakiambatana na changamoto mbalimbali za kiafya. Na hii ni kutokana na kubadilika kwa mfumo wa upataji chakula bora na Lishe bora. Mabadiliko ya hali ya hewa na pia uwepo wa sumu mbalimbali katika vyakula na vinywaji tunavyovitumia pia. Hali hii imepelekea kuibuka kwa magonjwa mengi yatokanayo na mfumo wa maisha wa mtu yaani Lifestyle diseases ikiwemo magonjwa k**a Pressure, Kisukari, n.k
Kutokana na changamoto hizo matumizi ya virutubisho au supplements yamekuwa na uhitaji mkubwa zaidi katika kutatua changamoto hizo.

Hivyo leo napenda kuwashirikisha bidhaa hii Asili ya Arg +.
●ARGI+ Hii ni bidhaa asili na maalumu sana kwa afya ya Yeyote yule. Ni bidhaa ambayo ilishinda tuzo ya Nobel Duniani kwa wanaofuatilia tuzo hizo kutokana na Ubora wake. Ni bidhaa yenye faida nyingi sana kwa mwili wa Binadamu...
1.Inakiondosha sumu muhimu sana Mwilini.
2.Inazalisha;
◆Anti-aging hormone na kutengeneza seli mpya za damu hivyo kuzuia kuzeeka kwa kasi.
3. Inaondoa ◆Cholestrol yaani Mafuta Mabaya Mwilini.
4.Inasababisha Mzunguko wa Damu kwenda vizuri yaani damu kufika kila mahali vizuri hivyo kusaidia ◆Nguvu_za_kiume kwa wanaume wenye changamoto hiyo
5. Inaondoa Maumivu makali ya Viungo hasa kwa _wanaosumbuliwa_na_maumivu_ya_kiuno_na_mgogo.
6.Inapambana sana na;
◆Pressure,sukari kwani Inapelekea mzunguko wa damu kukaa sawa.
7. Inabalance Sukari Mwilini hivyo husaidia sana kwa Mwenye ◆Kisukari.
8.Kwa wanamazoezi ni nzuri kwani husaidia kujengeka mifupa na misuli pia kupata nguvu.
9.Inaboresha Muonekano wa;
◆Ngozi kutokana na uwezo wakuzalisha seli mpya kwa wingi.
10: Husaidia pia kwa Afya ya mwanamke kwani huboresha zaidi mirija ya uzazi kwa mwanamke na kuitanua hivyo kuipa uwezo wa damu kuzunguka vyema na kuruhusu mirija iliyoziba kufanya kazi vyema.
Hivyo bidhaa hii ni muhimu sana kwa kujenga afya yako.

kwa mawasliano ili kuipata

+255716789967

Calls/Whatsapp/Texts.

31/01/2018

AFYA YA MOYO, MAUMIVU YA MGONGO, MZUNGUKO WA DAMU NA CHOLESTEROL MWILINI.

●ARGI+ Hii ni bidhaa asili na maalumu sana kwa afya ya Yeyote yule. Ni bidhaa ambayo ilishinda tuzo ya Nobel Duniani kwa wanaofuatilia tuzo hizo kutokana na Ubora wake. Ni bidhaa yenye faida nyingi sana kwa mwili wa Binadamu...
1.Inakiondosha sumu muhimu sana Mwilini.
2.Inazalisha;
◆Anti-aging hormone na kutengeneza seli mpya za damu hivyo kuzuia kuzeeka kwa kasi.
3. Inaondoa ◆Cholestrol yaani Mafuta Mabaya Mwilini.
4.Inasababisha Mzunguko wa Damu kwenda vizuri yaani damu kufika kila mahali vizuri hivyo kusaidia ◆Nguvu_za_kiume kwa wanaume wenye changamoto hiyo
5. Inaondoa Maumivu makali ya Viungo hasa kwa _wanaosumbuliwa_na_maumivu_ya_kiuno_na_mgogo.
6.Inapambana sana na;
◆Pressure,sukari kwani Inapelekea mzunguko wa damu kukaa sawa.
7. Inabalance Sukari Mwilini hivyo husaidia sana kwa Mwenye ◆Kisukari.
8.Kwa wanamazoezi ni nzuri kwani husaidia kujengeka mifupa na misuli pia kupata nguvu.
9.Inaboresha Muonekano wa;
◆Ngozi kutokana na uwezo wakuzalisha seli mpya kwa wingi.
10: Husaidia pia kwa Afya ya mwanamke kwani huboresha zaidi mirija ya uzazi kwa mwanamke na kuitanua hivyo kuipa uwezo wa damu kuzunguka vyema na kuruhusu mirija iliyoziba kufanya kazi vyema.
Hivyo bidhaa hii ni muhimu sana kwa kujenga afya yako.

kwa mawasliano ili kuipata

+255716789967

Calls/Whatsapp/Texts.

21/01/2018

LIFAHAMU TATIZO LA KINYWA KUTOA HARUFU MBAYA

+255716789967
+255755928588

Inakadiliwa watu 2 kati ya 5 huwa Na tatizo la kutoa harufu mbaya kinywani. Tatizo hili ni kubwa na huwa linawaathiri sana watu, kwani hupelekea watu kukosa kujiamini na hata kukosa Uhuru wa kuzungumza wawapo Na wenzi wao au watu wao wa karibu.
Pia tatizo hili limekuwa linaathari kubwa pia hata katika mahusiano.

Tatizo hili la Kinywa kutoa harufu husababibwa na mambo mbalimbali.
Zipo sababu nyingi zinazochangia harufu hii.
Baadhi ya vyakula, magonjwa au tabia huweza kusababisha harufu mbaya ya kinywa. Pamoja na hayo habari njema ni kwamba unaweza kuondokana na kadhia hiyo kwa kufanya usafi madhubuti wa kinywa chako kwa kutumia toothpaste bora ambazo tutapata kuzifahamu.
Ili kukabiliana na tatizo hili inashauriwa kuwa macho wakati wote. Hili litafanikiwa endapo utazifahamu dalili za kuwa na harufu isiyopendeza kutoka kinywani mwako. Lakini ni muhimu kufahamu kwamba harufu mbaya hutofautiana kutegemea chanzo.

Kuna baadhi ya watu wana mashaka na harufu ya vinywa vyao hata k**a wana tatizo wakati wapo wenye harufu mbaya ila hawajitambui.

Kwa sababu ni vigumu kutathmini harufu ya kinywa chako mwenyewe, unaweza kumuuliza mtu wako wa karibu ili kujiridhisha k**a una harufu mbaya ya kinywa.
Ukithibitisha kuwa nayo, ni vyema ukapitia ufanyaji wako wa usafi wa kinywa. Jaribu kufanya mabadiliko ya mfumo wa maisha k**a vile kupiga mswaki mara baada ya kula na kunywa maji mengi.

Mara nyingi harufu mbaya ya kinywa huanzia mdomoni ingawa vyanzo vyake ni vingi k**a vile.

Ugonjwa wa fizi, ni moja ya sababu ya harufu hii kwani husababisha kuvimba na kutoa damu wakati wa kupiga mswaki, kung’ata kitu ama kutema mate.
Ugonjwa wa fizi hutokana na upigaji wa mswaki. Wakati mwingine huwa hauna maumivu kiasi kwamba mtu anaweza kuwa nao na asijue.

Kutopiga mswaki ni sababu nyingine.
K**a hupigi mswaki mabaki ya chakula yakikaa kwa muda huoza na kutoa harufu mbaya.
Ulimi nao unastahili kufanyiwa usafi kwani unafanana na taulo hivyo kushika mabaki ya chakula na kuweza kukaribisha bacteria baada ya kula.

Meno ya Bandia
Meno ya bandia yasiyosafishwa mara kwa mara au ambayo hayakai vizuri huweza kuhifadhi mabaki ya chakula na bacteria ambao kwa pamoja huweza kuchangia kuwapo kwa harufu mbaya ya kinywa.

Meno Yaliyotoboka
Meno yaliyotoboka hayasafishiki unapopiga mswaki. Matundu yaliyopo kwenye meno hayo huweza kuhifadhi chakula ambacho baada ya muda huoza na kutoa harufu mbaya.
Japokuwa tatizo hili husababishwa na meno yote yaliyotoboka, lakini meno ya nyuma (magego) huchangia zaidi kwani mara nyingi watu wengi huwa hawayasafishi. Hawafikishi mswaki kwenye meno hayo.

Kinywa Kikavu
Kwa kawaida mate husaidia kusafisha kinywa na kuondoa mabaki ya chakula hivyo mtu mwenye kinywa kikavu huweza kuwa na harufu mbaya kutokana na upungufu huo.
Kwa kawaida kinywa kikavu hutokea usiku mtu anapolala na akiamka huwa na harufu ya asubuhi ambayo huongezeka iwapo mtu huyo alilala kinywa wazi hii hupelekea kuoza kwa sehemu ya juu ya Kinywa na hivyo kuwa na harufu mbaya zaidi.
Hali hii pia huweza kusababishwa na magonjwa ya tezi la mate. Matumizi ya baadhi ya dawa ambazo huathiri ufanyaji kazi wa tezi la mate.

Dawa
Baadhi ya dawa zinachangia harufu mbaya ya kinywa endapo zitasababisha ukavu wa kinywa. Lakini kuna dawa nyingine zinapotumiwa na kumeng’enywa mwilini hutoa kemikali ambazo humfanya mtumiaji atoe harufu yake wakati wa kupumua watu waliopo katika dose ya dawa za mda mrefu wanakadiliwa kuwa na tatizo hili zaidi.

Maambukizi katika Kinywa.
Harufu mbaya inaweza kusababishwa na maambukizi hasa kwenye vidonda vilivyomo kinywani. Vidonda hivi huweza kutokana na sababu mbalimbali, ikiwamo kung’oa jino kisha pengo likapata maambukizi, fizi kutoa damu au kupata vidonda vya mdomoni n.k.

Tumbaku
Uvutaji wa sigara au matumizi ya bidhaa zozote na tumbaku mfano ugoro au sh**ha huambatana na harufu ambayo mara nyingi huwa mbaya.
Wavutaji wa sigara wana uwezekano wa kupata ugonjwa wa fizi ambao ni chanzo kingine cha harufu mbaya.

Vyakula
Kuna baadhi ya vyakula huleta harufu isiyo nzuri kinywani. Vyakula k**a vile vitunguu maji, tangawizi na vinginevyo ukivitumia baada ya muda huleta harufu mbaya ya kinywa.

Magonjwa,
Mara chache harufu mbaya ya kinywa huweza kusababishwa na maambukizi sugu ya tezi (chronictonsilitis) ambayo bakteria wanaosababisha magonjwa hayo pia huchangia harufu mbaya. Halikadhalika maambukizi sugu kwenye pua na koo huweza kuchangia tatizo hili.
Saratani ya kinywa na koo na magonjwa yanayohusiana na mfumo wa chakula pia huweza kusababisha harufu mbaya ya kinywa.
Vilevile, kuna watu ambao hupata tatizo la tindikali ya tumboni kuja kwenye koo na kinywani yaani tumbo kujaa gesi na kutoa harufu mbaya nao wanaweza kupata tatizo hili.

SULUHISHO:

Ili kuondokana na harufu mbaya ya kinywa, jikinge usipate matundu kwenye meno na jizuie na magonjwa ya fizi kwa kufanya vizuri usafi wa kinywa.
Kwa ujumla matibabu ya harufu mbaya ya kinywa hufanywa kwa kuishughulikia Chanzo cha tatizo zaidi.
Kuna mambo muhimu yanashauriwa ili kupunguza uwezekano wa kuwa na harufu hii. Unashauriwa kupiga mswaki meno na ulimi walau mara mbili kila siku, asubuhi baada ya kula na usiku kabla ya kwenda kulala. Na Leo nitakushirikisha dawa ya Aloe toothpaste ambayo huwa na Aloevera na asali, dawa hii maalumu ambayo huondoa tatizo hilo kabisa.

Dawa hii husaidia katika;

Kuua bacteria hii ni kutokana na uwepo wa Aloevera Na Bee propolis hivyo ni anti biotics nzuri ambayo husaidia kuondoa harufu Na kuumwa tumbo.

Lakini pia husaidia kuondoa vidonda vya mdomoni ambavyo hivi huchangia pia kuwepo kwa tatizo hili.

Pia Kinywa huhitaji kupata kuboreshwa Kinga yake ili kisipate maambukizi ya fizi na meno kutoboka

Lakini kwa changamoto ya harufu kutoka ndani ya tumbo zipo supplements kwaajili ya kuondoa tatizo hilo.
Lakini pia kwa tatizo la Kinywa kikavu hupaswa kuzingatia kunywa maji mengi kwani yanasaidia kupunguza tatizo hili.

ZINGATIA USAFI WA KINYWA NA UONDOKANE NA CHANGAMOTO YA HARUFU KINYWANI

Mawasiliano;

+255716789967
+255755928588

Address

Kijitonyama
Dar Es Salaam
255

Telephone

255716789967

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mdekwa Healthcare Consultant posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category