13/09/2021
HERUFI ZINAZOENDANA NA HERUFI YAKO KINYOTA KWENYE MAHUSIANO
Habari zenu ndugu zangu, nimeona maswali mengi ya kuhusu hizo herufi zenu kuendana na herufi za wenza wenu kimahusiano ya ndoa. Sasa nimeona bora niwarahisishie kwa kuwaletea jedwali lenye herufi zote zinazoendana na herufi yako kinyota kwa upande wa mahusiano.
1. A - herufi zinazoendana nazo ni G, S, K, W, C, O, A, M, Y, E, Q, I, U
2. B - anaendana na B, N, Z, J, V, H, T, D, P, L, X, F, R
3. C - anaendana na C, O, G, S, A, M, Y, K, W, E, Q, I, U
4. D - anaendana na D, P, L, X, H, T, J, V, B, N, Z, F, R
5. E - anaendana na E, Q, I, U, A, M, Y, G, S, C, O, K, W
6. F - anaendana na F, R, J, V, B, N, Z, H, T, L, X, D, P
7. G - anaendana na G, S, A, M, Y, E, Q, K, W, C, O, I, U
8. H - anaendana na H, T, L, X, D, P, F, R, J, V, B, N, Z
9. I - anaendana na I, U, A, M, Y, E, Q, C, O, K, W, G, S
10. J - anaendana na J, V, B, N, Z, F, R, L, X, D, P, H, T
11. K - anaendana na K, W, E, Q, I, U, A, M, Y, G, S, C, O
12. L - anaendana na L, X, D, P, F, R, J, V, B, N, Z, H, T
13. M - anaendana na A, M, Y, E, Q, C, O, K, W, G, S, I, U
14. N - anaendana na B, N, Z, F, R, J, V, H, T, L, X, D, P
15. O - anaendana na C, O, K, W, G, S, A, M, Y, E, Q, I, U
16. P - anaendana na D, P, L, X, F, R, J, V, B, N, Z, H, T
17. Q - anaendana na E, Q, C, O, K, W, G, S, A, M, Y, I, U
18. R - anaendana na F, R, J, V, B, N, Z, H, T, D, P, L, X
19. S - anaendana na G, S, C, O, K, W, E, Q, I, U, A, M, Y
20. T - anaendana na H, T, L, X, D, P, F, R, J, V, B, N, Z
21. U - anaendana na I, U, A, M, Y, E, Q, K, W, G, S, C, O
22. V- anaendana na J, V, B, N, Z, F, R, L, X, D, P, H, T
23. W - anaendana na K, W, G, S, C, O, I, U, A, M, Y, E, Q
24. X - anaendana na E, Q, K, W, G, S, A, M, Y, I, U, C, O
25. Y - anaendana na A, M, Y, E, Q, I, U, K, W, G, S, C, O
26. Z - anaendana na B, N, Z, F, R, J, V, H, T, L, X, D, P
Naam hizo ndo herufi zenu namna zinavyoendana katika mahusiano ya ndoa na tukisema kuendana tunamaanisha kuwa kupatikana kwa utulivu ndani ya nyumba, maelewano baina yenu, mawazo yenu kuwa sawa, kila mmoja kuskia raha kuwa na mwenzie, hali ya kiuchumi kukaa vizuri, n.k
Na ikitokea nyota zenu zimeendana kisha maelewano hakuna hapo basi kutakuwa na shida nyingine hivyo ni vyema mkajiangalizia kujua nini hasa shida kabla ya kufanya maamuzi mengine.
Na k**a ikitokea herufi zenu haziendani hii inamaanisha kuwa nyota zenu hazitoendana na hapa nazizungumzia nyota hizi za herufi ya kwanza ya jina ambazo ndio nyota bora za kuangalia masuala ya kazi au biashara au kuendana kimahusiano ya ndoa na mwenza wako. Zile za tarahe ya kuzaliwa huwa nazo tunatumia naomba msininukuu vibaya ispokuwa hizi za herufi ya kwanza ya jina ndo huwa zina nguvu zaidi.
Athari za nyota kuwa haziendani ni kutokuwa na maelewano mazuri ndani ya nyumba, kutokuwa na hamu ya kutokuwa na mwenzio pindi mnapokuwa karibu ila mkiwa mbalimbali mnaoneana hamu, mawazo yenu kuwa tofauti hasa kwenye kupanga malengo ya kimaisha mnakuwa mnatofautiana, na hapa mnaweza mkawa mnapendana lakini kuendana inakuwa tatizo hamuivi chungu kimoja. Ila kiutaalamu zinaweza kurekebishwa na mambo yakawa mazuri kabisa.
Whatsapp
📞 +255742471874