OTA Care

OTA Care Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from OTA Care, Medical and health, Mbezi Beach/Sala Sala, Kilimahewa Juu Street , OTA House, Dar es Salaam.

OTACare is establishing and operating Community Labs that provide doorstep diagnostic services powered by green mobility, with results delivered instantly via mobile phone.

29/12/2025

Pata kumsikia, namna ilivyo rahisisha upatikanaji wa vipimo vya afya huku ikiongeza thamani kwenye maduka ya dawa na pharmacy.

23/12/2025

Leo tulifika kumtembelea mmoja wa wadau wetu muhimu (DLDM), Bwana Joseph, mmiliki wa duka la dawa lililopo Sala Sala Kilimahewa, Mtaa wa Benaco.

21/12/2025

Leo tumefika Salasala, Magereza na kupita kwenye vituo vya boda boda kueleza jinsi huduma za vipimo vya afya zilivyorahisishwa zaidi, kwa kufatwa ulipo, pamoja na faida ya ziada ya kuchukuliwa na kupelekewa dawa moja kwa moja kutoka maduka ya dawa (DLDM) na famasia tunazoshirikiana nazo.

18/12/2025

Piga Vita Usugu wa Dawa
Pima Kwanza

OTA Care tunakufata ulipo
📞+255 697 665 615

Kwa sasa huduma zinapatikana, mitaa yote ya Salasala, Tegeta na Kunduchi

Credits .tz

15/12/2025

Ni upi mchango wa kwa famasi/maduka ya Dawa na kwa wateja. Msikilize Mama Joshua mmiliki na muuzaji wa Duka la Dawa Sala Sala kwa Swai.

14/12/2025
13/12/2025

K**a unavyoifahamu OTACare, wadau wetu wakuu ni maduka ya dawa na famasia. Kupitia OTACare Salasala Community Lab, tunashirikiana na jumla ya wadau 22 katika maeneo ya Tegeta, Salasala na Kunduchi.

Leo tumepata fursa ya kumtembelea mmoja wa wadau wetu muhimu, Mama Joshua, katika duka lake la dawa lililopo Mtaa wa Sala Sala kwa Swai. Katika mazungumzo yetu, alitushirikisha jinsi OTACare ilivyoongeza thamani ya biashara yake, pamoja na kuimarisha huduma na uaminifu kwa wateja wake.

09/12/2025

Fahamu namna tunavyogundua vimelea vya Malaria.


You can also follow on Instagram to see more.
18/04/2025

You can also follow on Instagram to see more.

Naibu balozi Andrew Lentz wa Marekani U.S. Embassy Tanzania akipata maelezo kuhusu huduma za OTA Care kwenye maonyesho y...
03/11/2024

Naibu balozi Andrew Lentz wa Marekani U.S. Embassy Tanzania akipata maelezo kuhusu huduma za OTA Care kwenye maonyesho ya AWE! Ni fursa nzuri kuonyesha jinsi tunavyoboresha afya ya jamii.

Address

Mbezi Beach/Sala Sala, Kilimahewa Juu Street , OTA House
Dar Es Salaam
72837

Opening Hours

Monday 08:00 - 20:00
Tuesday 08:00 - 20:00
Wednesday 08:00 - 20:00
Thursday 08:00 - 20:00
Friday 08:00 - 20:00
Saturday 08:00 - 20:00

Telephone

+255684206562

Website

http://otacare.org/

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when OTA Care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram