Tuzo Natural products

Tuzo   Natural products AFYA YA UZAZI WANAUME/WANAWAKE
P I D,FUNGUS,UTI
HORMONE IMBALANCE
UVIMBE (FIBROIDS ,CYST n.k )
REPRO

THAMANI YA MADINI YA ZINC (ZINKI) KATIKA UTUNZAJI WA MIMBA NA KUBORESHA SIFA YA MWANAUMEIna kadiriwa kuwa mwili wa mwana...
03/05/2021

THAMANI YA MADINI YA ZINC (ZINKI) KATIKA UTUNZAJI WA MIMBA NA KUBORESHA SIFA YA MWANAUME

Ina kadiriwa kuwa mwili wa mwanadamu una kiwango cha 2gm za zinc, ambapo 60% hupatikana kwenye misuli na 30% kwenye mifupa, ingawa hupatikana mwili mzima. Kuna sababu nyingi ambazo zinaweza kupelekea zinc kusharabu lakini matumizi ya pamoja na madini ya chuma, calcium, copper (kopa), na cadmium hupunguza kiwango cha zinc kusharabu.

Ni mara chache jamii yetu hutambua na kuthamini utumiaji wa vyakula k**a tiba yenye maboresho katika matatizo mbali mbali yanayotukumba.

Zinc imeonesha kuwa na majukumu mbali mbali mwilini ambapo imeonesha kuimarisha kinga ya mwili, kuimarika kwa mfumo wa fahamu, huboresha sukari mwilini, mafua, huimarisha uponaji wa vidonda, matatzo ya akili, makanda wa jeshi, matatizo ya kupoteza hamu na radha ya chakula, matatizo ya sikio, vidonda sehemu za siri n.k

VYAKULA VYENYE MADINI YA ZINC KWA WINGI
1. Nyama

2. Ini

3. Mayai

4. Samaki wa baharini

5. Jamii ya karanga

6. Nafaka

7. Uyoga

8. Mbegu za maboga

9. Jamii ya maharage ya kijani

DALILI ZA UKOSEFU WA MADINI YA ZINC

1. Kupoteza hamu radha ya chakula

2. Ukuaji wa kusua sua kwa mtoto

3. Mwili kuwasha mara kwa mara

4. Kuhara kwa muda mrefu

5. Upungufu wa kinga ya mwili

6. Vidonda kuchelewa kupona

7. Kupoteza uwezo aa kuona

8. Mabadiliko ya tabia hasa uchovu wa mara kwa mara

9. Kushindwa kusimama kwa uume na kukosa hisia za mapenzi

10. Muda wa momba kupitiliza miezi tisa

11. Uwezekano wa mimba kutoka

12. Mtoto kuzaliwa na vilema

13. Mtoto kuzaliwa na uzito mdogo

14. Mtoto kukosa utulivu karibia miezi sita

JINSI MADINI YA ZINC YANAVYOSAIDIA KATIKA MATIBABU YA UGUMBA KWA MWANAUME NA UTUNZAJI WA MIMBA

Upungufu wa madini ya zinc hupelekea upunguaji wa uzalishaji wa mbegu za kiume na hatimae kuathiri uwezekano wa mwanaume kutunga mimba.

Pia, upungufu wa madini haya hupelekea kupungua uzalishaji wa homoni ya kiume “testosterone” ambapo inaweza kupelekea ukuaji hafifu wa korodani na kushindwa kusimamisha uume.

INAENDELEA 👇

Dady on duty😃😃😃
03/05/2021

Dady on duty😃😃😃

Unasumbuliwa na PID karibu nkusaidie..
03/05/2021

Unasumbuliwa na PID karibu nkusaidie..

Maendeleo mazuri👏👏Unatatizo la hormone imbalance karibu nkusaidie 0756402674
03/05/2021

Maendeleo mazuri👏👏

Unatatizo la hormone imbalance karibu nkusaidie
0756402674

Furaha hii ikawe kwako pia..
02/05/2021

Furaha hii ikawe kwako pia..

Hallelujah 🙌 Hatimae..nguvu ya kutokukata tamaa
02/05/2021

Hallelujah 🙌
Hatimae..nguvu ya kutokukata tamaa

Ikiwa hupati period kabisa au hupati inavotakiwa hiyo ni hormone imbalance..Karibu tukusaidie kwa uhakika kabisa ☎️+2557...
02/05/2021

Ikiwa hupati period kabisa au hupati inavotakiwa hiyo ni hormone imbalance..

Karibu tukusaidie kwa uhakika kabisa
☎️+255756402674

Jiandae kumnyonyesha mwanao,,,Baraka zako zinakuja
02/05/2021

Jiandae kumnyonyesha mwanao,,,Baraka zako zinakuja

Ameen Ameen
02/05/2021

Ameen Ameen

Wasiliana nasi ☎️+255756402674
29/04/2021

Wasiliana nasi ☎️+255756402674

Hili likawe fungu lako kwa Jina la Yesu Kristu asiyeshindwa..Kwa changamoto yeyote ya uzazi wasiliana nasi kwa suluhisho...
29/04/2021

Hili likawe fungu lako kwa Jina la Yesu Kristu asiyeshindwa..

Kwa changamoto yeyote ya uzazi wasiliana nasi kwa suluhisho ushauri elimu.

☎️+255756402674

You shall testify
29/04/2021

You shall testify

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tuzo Natural products posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram