AFYA NI MTAJI

AFYA NI MTAJI Matibabu na Elimu Mbalimbali Juu Ya Magonjwa Yafuatayo
1.Kisukari
2.Presha
3.Ugumba Kwa Mw

*USIRUHUSU PID IFIKE HATUA HII*   Tunaposema PID ni Gonjwa Hatari Sana tunamaanisha Kuwa ni hatari Ewe Mwanamke unapoona...
28/07/2022

*USIRUHUSU PID IFIKE HATUA HII*

Tunaposema PID ni Gonjwa Hatari Sana tunamaanisha Kuwa ni hatari

Ewe Mwanamke unapoona unaanza Kutokwa na Uchafu ukeni,usikae Kimya na Kuona ni Swala la Kawaida hiyo ni Ishara mbaya sana.

Tatizo hili la PID linaongoza Kwa kuwafanya Wanawake Wengi kuwa wagumba hapa namaanisha kuwa unaweza Ukawa umewahi kuzaa Lakini ikapelekea usizae Tena.

Uchafu huu unaweza Kuwa una harufu Au Usiwe na harufu, Muhimu ni Kwamba unapoona unatokwa na UTOKO(Uchafu) ukeni muone daktari Haraka Sana.

*PID INATIBIKAJE*
PID inatibika kulingana na stage ya tatizo lilipofikia,Kwa bahati mbaya unapokwenda hospital kutibu utapewa dawa za kutuliza Tatizo kwa Muda Ila tegemea kuwa baada Ya muda litarudi Tena.

*ZIPO Dose maalumu (DOSE LISHE) ambazo zinatibu Moja kwa moja PID na haitajirudia tena*

DOSE Hizi zinapatikana Kwa mfumo ufuatao,

*DOSE ya Siku 30 Kwa Elfu Sabini na Tano (75,000)*

*DOSE ya Siku 20 Kwa Elfu hamsini (50,000)*

*DOSE ya Siku 10 Kwa Elfu Ishirini na Tano (25,000)*

*NB* Kwa Watu wa mikoani gharama za kusafirishia Dose Elfu Tano (5000) kwa Njia Ya bus

*Kuipata Dose hii Piga/Sms/WhatsApp 0768018090*

Ewe Mwanamke Mwenye changamoto yeyote ya Kiafya KUANZIA Kesho ALHAMISI Asubuhi Dose zitaanza kutoka maana zishafika ofis...
27/07/2022

Ewe Mwanamke Mwenye changamoto yeyote ya Kiafya KUANZIA Kesho ALHAMISI Asubuhi Dose zitaanza kutoka maana zishafika ofisini Tayari kwa wale Ambao walikuwa wanasubilia dose ya CPE

Faida ya dose Hii ni nyingi Sana Katika Mwili wa Mwanamke
1.k**a haushiki mimba
2.homone imbalance
3.mimba kuharibika
4.bawasili sugu
5.pID, fungus na UTI sugu na Miwasho
6.uvimbe nk

Offer ya Dose hii ALHAMISI na Ijumaa ni Elfu sitini(60,000) Dose ya siku 30 badala ya Elfu Sabini na Tano (75,000) ya awali

Kuipata Dose hii Piga/Sms NENO offer kwenda namba 0768018090

Mikoani tunatuma Dose kwa Njia Ya bus na tunao utaratibu wa Kufanya Malipo ya Dose yako

*KWANINI WANAWAKE WENGI  HAWAPATA UJAUZITO*kumekuwa na sababu nyingi kwa wanawake Kushindwa kubeba ujauzito, Mwanamke an...
18/07/2022

*KWANINI WANAWAKE WENGI HAWAPATA UJAUZITO*

kumekuwa na sababu nyingi kwa wanawake Kushindwa kubeba ujauzito,

Mwanamke anaweza kubeba mimba kwa urahisi sana Endapo ana sifa Zifuatazo :.

👣Mayai yanakomaa na kupevuka vizuri

👣Mirija ya uzazi haikuvimba wala kuziba au kuwa na kakovu

👣mji wa mimba au uterus ipo safi na hauna Vivimbe

👣Kizazi hakina uambukizo wa aina yoyote, fangasi, UTI,(Urinary Track Infection), PID - (Pelvic Inflammatory Disease )

👣Homoni zake zimebalance vizuri

👣UTE wa Uzazi /OVULATION uwepo katika siku za hatari.

✏Uwezo wa kupata sifa hizo na kukufanya ubebe mimba upo.K**a unamfahamu mtu mwenye changamoto hii Usisite kumpatia mawasiliano yetu tumuhudumie.

UJUE UGONJWA WA BAWASILI NA  MADHARA YAKE Bawasiri ni mojawapo ya matatizo ambayo mara nyingi inapotokea humfanya muathi...
13/07/2022

UJUE UGONJWA WA BAWASILI NA MADHARA YAKE

Bawasiri ni mojawapo ya matatizo ambayo mara nyingi inapotokea humfanya muathirika kuwa na aibu kuelezea au kwenda hospitali ili kupata tiba. Bawasiri husababishwa na kuvimba kwa mishipa ya damu aina ya vena katika eneo la mfereji wa haja kubwa.

KUNA INA MBILI ZA BAWASIRI
•Bawasiri ya ndani (internal hemorrhoid)
•Bawasiri ya nje (external hemorrhoid)

Bawasiri ya ndani imegawanyika katika gredi nne;
BAWASIRI(HEMORRHOIDS) HUWA IMEGAWANYIKA KATIKA VIWANGO(DEGREE) AU GREDI NNE
1.Grade one/first degree:
Hii ni aina ya bawasiri ambayo mgojwa huwa na dalili k**a kutoka damu sehemu haja kubwa au kuwa na kinyesi kilichopakazwa damu. Ila utokaji damu huo unakua hauna maumivu.Vile vile kinyama kinakuwa HAKIJAJITOKEZA nje.

2.Grade two/Second degree;
Gredi hii mgonjwa huweza kuona kijinyama kidogo kinajitokeza sehemu ya haja kubwa wakati wakati yuko chooni anafanya maswala ila akishamaliza kujisaidia kile kijinyama kinarudi ndani chenyewe. Pia huweza kuambatana na maumivu na damu.

3.Grade three/Third degree:
Hatua hii kijinyama hujitokeza nje ila huweza kurudishika kwa mkono kwa kukisukumiza ndani.

4.Grade four/Fourth degree:
Hapa sasa niile hali kijinyama kishatoka nje kabisa na hakirudishiki ndani, hii ndio ile hali sasa unakuta mtu anaaza kujitambua kuwa tayari ana bawasiri, mana kile kijinyama kitakua kinamkera na kuleta miwasho wakati mwingine kinauma sana na kumkosesha amani hasa wakati akijihisi haja kubwa na kukosa raha ya kukaa au kutembea.

A. NINI KINASABABISHA BAWASIRI?

Miongoni mwa visababishi vya bawasiri ni;
-Tatizo sugu la kuharisha
-Kupata haja kubwa(kinyesi)kigumu
-Uzito kupita kiasi(OBERSITY)
-Ngono ya njia ya haja kubwa(ANAL S*X)
-Umri mkubwa na mambo yanayoongeza shinikizo katika tumbo.

B. DALILI ZA BAWASIRI

-Kinyesi kuchanganyika na damu wakati wa kujisaidia
-Maumivu au usumbufu katika njia ya haja kubwa
-Kutokwa na kinyesi bila kujitambua(kuvuja kinyesi)
-Kijiuvimbe katika eneo la tundu(mlango)wa kutolea haja kubwa.
-Ngozi katika eneo la tundu la haja kubwa kuwasha.
-Bawasir kutoka wakati wa kujisaidia haja kubwa.

C. ATHARI ZA BAWASIRI

-Upungufu wa damu mwilini(ANEMIA)
-STRAGULATED HEMORRHOID
-Kinyesi kutoka na kuvuja bila kujitambua na kusababisha kunuka kinyesi saa zote.
-Kukupunguzia morali ya kufanya kazi kutokana na maumivu hasa watu wanaokaa muda mrefu maofisini.
-Kuathirika kisaikolojia
-Kukosa hamu ya tendo la ndoa.
-Kupungukiwa nguvu za kiume.

ANZA KUJITIBU KWA NJIA HIZI;
•Warm sitz baths. Unaweza kuchukua maji ya moto ukatafuta kitu mfano wa vyoo vya kukalia ukayaweka yale maji ukawa unakaa juu ya kile kitu hata dakika 15 hadi 30 kila siku

•Hakikisha unasafisha eneo la tundu la haja kubwa vizuri pia unaweza ukatumia hata herbal soap kusafisha ili kuondoa maambukizi

•Tumia vilainishi ambavyo hutumika katika kupakaza sehemu ya haja kubwa mfano hemorrhoid creams

•Tumia dawa za maumivu ili kupunguza maumivu.

•Tumia anti pruritic cream kwaajili ya miwasho.

•KIKUBWA NA CHA MUHIMU TUMIA VYAKULA VYA KULAINISHA CHOO ILI KUEPUKA KUJIKAMUA NA KUEPUKA CHOO KIGUMU.

Bawasiri inatibika kabisa bila ya kufanyiwa upasuaji. Kuna programme ya dozi ambazo ni tiba lishe mchanganyiko wa vyakula, mimea na madini inaondoa kabisa bawasiri kwa kutibu mpaka mzizi au chanzo cha bawasiri ili isijirudie tena tofauti na upasuaji au dawa za hospitali. Tumewasaidia wagonjwa wengi sana wenye hili tatizo. Ufafanuzi zaidi na kupata tiba njoo whatsapp/pig:0768018090

fahamu kuhusu  bawasiri, chanzo cha bawasiri, dalili za bawasiri na matibabu ya bawasiri bila kutumia dawa za hosptalini...
11/07/2022

fahamu kuhusu bawasiri, chanzo cha bawasiri, dalili za bawasiri na matibabu ya bawasiri bila kutumia dawa za hosptalini
Afya Ya Mwanamke tunatoa elimu kuhusu bawasiri kupitia group la whatsapp bure kabisa
kujiunga na mafunzo kwenye group tuma neno NIUNGE kwenda 0768018090 tuweze kukuunga na darasa letu

*OFFER YA MSIMU WA SABASABA*       Katika Kuhakikisha tunagusa AFYA ya Wanawake Wengi zaidi, Taasisi ya afya Ya Mwanamke...
03/07/2022

*OFFER YA MSIMU WA SABASABA*

Katika Kuhakikisha tunagusa AFYA ya Wanawake Wengi zaidi, Taasisi ya afya Ya Mwanamke imeamua Kutoa offer Ya dose Zake Kwa Mwanamke yeyote mwenye changamoto yeyote ya Kiafya *KUANZIA JUMATATU tarehe 4 Mpaka ALHAMISI tarehe 7)* k**a ifuatavyo;

Full Dose ya siku 30 Kwa Elfu sitini(60,000)

Nusu Dose ya siku 15 Kwa Elfu Thelathini (30,000)

*NB*
Hakuna DOSE ya Siku 10 Kwenye Offer hii

WEWE Mwenye Tatizo la

*PID*
*UVIMBE*
*KUTOSHIKA UJAUZITO*
*MAUMIVU WAKATI WA HEDHI*
*HOMONE IMBALANCE*
*MVURUGIKO WA HEDHI*
*UTI sugu na FUNGUS*

*Kuipata OFFER hii tuma jina la Tatizo linalokusumbua na Kiasi cha Dose unayohitaji* *kwenda /sms/WhatsApp*
*0768018090*

*Na DOSE Hii pia Ipo Kwenye mfumo wa Offer, Anza DOSE uwe Shuhuda wa wenzako* Tuma NENO offer kwenda namba 0768018090
27/06/2022

*Na DOSE Hii pia Ipo Kwenye mfumo wa Offer, Anza DOSE uwe Shuhuda wa wenzako*

Tuma NENO offer kwenda namba 0768018090

*Je,Umepata Habari*?     Taasisi Ya Afya Ya Mwanamke imeamua kugusa Afya Yako wewe mwanamke mwenye changamoto yeyote ya ...
27/06/2022

*Je,Umepata Habari*?

Taasisi Ya Afya Ya Mwanamke imeamua kugusa Afya Yako wewe mwanamke mwenye changamoto yeyote ya Kiafya k**a ifuatavyo na hii ni Kutokana na maombi Ya Baadhi ya wanagroup

*Kuanzia Leo Jumatatu Mpaka Kesho kutwa Jumatano*

Utapata Full Dose ya siku 30 Kwa Elfu Sabini na Tano (75,000)

DOSE Ya Siku 20 Kwa Elfu hamsini (50,000)

DOSE ya Siku 10 Kwa Elfu Ishirini na Tano (25,000)

*MUHIMU*
Ukichukua Full DOSE Kwa Pamoja Leo, Kesho na Kesho kutwa utaipata kwa Punguzo la hamsini na tano (55,000) ina Maana unaokoa Elfu Ishirini

*Kuipata OFFER hii tuma NENO OFFER kwenda namba 0768018090*

Au Sms/Piga/WhatsApp namba hiyo hapo juu.

Nawatakia Wiki Yenye AFYA Bora.

🔥🔥Je umesumbuliwa na tatizo la pumu ya ngozi na hujui wapi utapata tiba sahihi?Karibu nikupatie dawa itakayoenda kumaliz...
24/06/2022

🔥🔥Je umesumbuliwa na tatizo la pumu ya ngozi na hujui wapi utapata tiba sahihi?

Karibu nikupatie dawa itakayoenda kumaliza tatizo lako ndani ya siku 30
Ni dawa itakayoenda kutibu nje ya ngozi mpaka ndani ya damu Kwa maana iyo tatizo haliwez jiludia Tena

🌞🌞WATU weng wanalalamika kuwa wakipewa dawa baada ya mda tatizo linajirudia iyo ni Kwa sababu hupewa Dawa inayotibu njee tu na sio mpaka kwenye damu

👌👌Karibu nikupatie tiba sahihi
Watsap/call
0768018090

*AFYA YA UZAZI*                 *USHAURI NA TIBA*               *URINARY TRACK INFECTION*                          (U.T....
21/06/2022

*AFYA YA UZAZI*
*USHAURI NA TIBA*

*URINARY TRACK INFECTION*
(U.T.I)
Urinary track infection (U.T.I) ; ni ugonjwa/maambukizi yanayo sambazwa na bacteria kwa njia mkojo.

-ugonjwa/maambukizi haya yamekuwa tatizo kubwa na likisumbua wengi hasaa wanawake kwa asilimia kubwa.
-ugonjwa huu umekuwa kutibaka na kuto isha kwa watu wengi .

*DALILI ZA U.T.I*
-Maumivu wakat wa kukojoa
-kujihisi kukojoa ila mkojo unatoka kidogo
-mkojo kuchanganyika na damu
-mkojo kutoka na harufu mbaya
-kutokwa na uchafu ukeni wenye harufu mbaya k**a shombo ya samaki
-maumivu ya kiuno na gumbo chini ya kitovu
-maumivu sehemu ya haja kubwa kwa wanaume
-maumivu maeneno ya juu ya mgongo
-maumivu kwenye kibofu cha mkojo
-maumivu ya figo chini ya mgongo au chini ya mbavu
-kuhisi homa kichefu chefu na kutapika

*MADHARA YA U.T.I*
-figo kushindwa kufanya kazi (kidney failure)
-kuziba kwa kibofu/saratani ya kibofu
-maumivu ya kiuno mgongo na nyonga
-kukosa hamu ya tendo
-homoni kuto kuwa na uwiano mzur (HORMONE IMBALANCE)
-Mimba kaharibika
-kushindwa kubeba mimba
-kupata PID pelvic inflammatory diseases maambukizi ya mfumo wa uzazi katka nyonga ambayo hupelekea kuziba kwa mirija ya uzazi

U.T.I SUGU INATIBIKA WAHII SASA TIBA LISHE

*MUS WASH DOSAGE*
-Hutibu U.T.I SUGU
-hutibu fangasi ukeni
-huondoa miwasho na vijipu ukeni
-huondoa harufu mbaya ukeni
-huondoa uchafu wenye harufu mbaya ukeni
-huimarisha kutaa za uzazi
-huimarisha misuri ya ukee
-huimarisha mirija ya uzazi na kuipa nguvu

*Nikushauri Uanze DOSE mapema Sana K**a una Hili Tatizo*



*Je,Unamfahamu mwanamke yeyote anaehangaika na U.T.I ya kujirudiarudia*?

Kupata Dose ya U.T.I Sugu wasiliana nasi Kwa
0768018090

Address

Mlimani City
Dar Es Salaam

Telephone

+255768018090

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA NI MTAJI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to AFYA NI MTAJI:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram