Heameda Hospital

  • Home
  • Heameda Hospital

Heameda Hospital Our Goal: To be a provider of healthcare Solution with focus on quality healthcare

Piga kuweka Miadi leo:   #0758012006 🩺💚💙💯
09/07/2025

Piga kuweka Miadi leo: #0758012006 🩺💚💙💯




06/07/2025

Usikose hii fursa 🔥🔥✅️

Nafasi ni chache, piga kuweka miadi mapema: #0758012006 🩺💚💙




#

Usikose hii fursa!!!Nafasi ni chache, . piga kuweka miadi mapema:   #0758012006 🩺💚💙                                     ...
02/07/2025

Usikose hii fursa!!!

Nafasi ni chache, . piga kuweka miadi mapema: #0758012006 🩺💚💙




💥 **Ofa Maalum ya Siku ya Moyo Duniani Heameda Hospital!** 💥Kwa heshima ya Siku ya Moyo Duniani, tunatoa **punguzo kubwa...
26/09/2024

💥 **Ofa Maalum ya Siku ya Moyo Duniani Heameda Hospital!** 💥

Kwa heshima ya Siku ya Moyo Duniani, tunatoa **punguzo kubwa** kwa huduma za uchunguzi wa afya ya moyo! Pata uchunguzi wa moyo kwa kina, ambao kawaida unagharimu **280,000/=**, kwa **50,000/=** tu! 🫀

Ofa hii inapatikana kwa **siku 2 pekee**—**28 na 29 Septemba**. Usikose fursa hii ya kuipa kipaumbele afya ya moyo wako kwa bei nafuu!

**Nafasi ni chache!** Piga simu sasa kuweka miadi yako. 💚



📩info@heameda-hospital.co.tz
🌐Web:www.heameda-hospital.co.tz
📥Call @ +255 758 012 006

Ni Kwa Mara Nyingine Tena;Je, Unaweza kisia ni nani atakayekuwa nasi katika muendelezo na ushirikiano wa kambi baina ya ...
04/05/2024

Ni Kwa Mara Nyingine Tena;
Je, Unaweza kisia ni nani atakayekuwa nasi katika muendelezo na ushirikiano wa kambi baina ya Heameda/Apollo?
Kesho tunafichua wataalam wetu ambao wako nasi kwenye kambi ya mwisho wa mwezi huu wa tano!!!

Hifadhi Nafasi Yako Sasa.

Its On Again;
Can you give it a guess who's next in regard to the Heameda/Apollo collab camp?
Tomorrow we unveil our specialists who are onboard with us in relation to the end of the month camp!!!

Book Your Space Now.

📩info@heameda-hospital.co.tz
🌐Web:www.heameda-hospital.co.tz
📥Call @ +255 758 012 006

Karibu; Unakaribishwa kujumuika nasi leo hapa JNICC, tarehe 2 na 3 Mei 2024! Njoo utembelee banda letu kwa uzoefu uliotu...
02/05/2024

Karibu; Unakaribishwa kujumuika nasi leo hapa JNICC, tarehe 2 na 3 Mei 2024!
Njoo utembelee banda letu kwa uzoefu uliotukuka na upate maarifa mpana kuhusu huduma zetu na afya yako kwa ujumla.
Tunasubiri kuwaona nyote.
Karibuni sana.

Ni Kesho; Usikose
21/04/2024

Ni Kesho; Usikose

Only 5 days left until the grand launch of our cathlab service and heart disease camp at Heameda Hospital! Don't miss ou...
13/04/2024

Only 5 days left until the grand launch of our cathlab service and heart disease camp at Heameda Hospital! Don't miss out on this opportunity to care for both children and adults.

Ni siku 5 tu zilizobaki kabla ya uzinduzi mkubwa wa huduma ya cathlab na kambi ya magonjwa ya moyo katika Hospitali ya Heameda! Usikose nafasi hii ya kuwajali watoto na watu wazima pia.

📩info@heameda-hospital.co.tz
🌐Web:www.heameda-hospital.co.tz
📥Call @ +255 758 012 006

Karibu mwezi Aprili kwa mikono wazi na salama katika Hospitali ya Heameda, ambapo kila mwezi mpya huja na matumaini mapy...
04/04/2024

Karibu mwezi Aprili kwa mikono wazi na salama katika Hospitali ya Heameda, ambapo kila mwezi mpya huja na matumaini mapya, uponyaji, na furaha kwa wagonjwa na wafanyakazi wetu wote! 🌷
"

Welcoming April with open arms at Heameda Hospital, where every new month brings renewed hope, healing, and happiness to all our patients and staff! 🌷


📩info@heameda-hospital.co.tz
🌐Web:www.heameda-hospital.co.tz
📥Call @ +255 758 012 006

Mioyo yetu iko pamoja na Tanzania tunapoomboleza kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa. Hospitali ya ...
11/02/2024

Mioyo yetu iko pamoja na Tanzania tunapoomboleza kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa. Hospitali ya Heameda inasimama kwa mshikamano na taifa wakati huu wa huzuni. Mawazo na sala zetu zinawaendea wapendwa wake na watanzania ka ujumla. 🇹🇿


Our hearts are with Tanzania as we mourn the passing of former Prime Minister Edward Lowassa. Heameda Hospital stands in sympathy with the nation during this time of loss. Our thoughts and prayers go out to his loved ones and the people of Tanzania. 🇹🇿

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Heameda Hospital posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Heameda Hospital:

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Contact The Practice
  • Claim ownership or report listing
  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share