Virutubisho Tiba

Virutubisho Tiba Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Virutubisho Tiba, Medical and health, Dar es Salaam.

*USING'OE JINO TENA.**EBU JIULIZE HAYA* *MASWALI* :1. Kwa nini meno yanakuuma wakati mwanzo ulikuwa hauumwi meno?2. Kwa ...
23/04/2019

*USING'OE JINO TENA.*
*EBU JIULIZE HAYA* *MASWALI* :
1. Kwa nini meno yanakuuma wakati mwanzo ulikuwa hauumwi meno?
2. Kwa nini unang”oa jino linahamia jino jingine tena kuuma na lenyewe unalitoa tena?
3. Kwa nini kinywa chako hata ukipiga mswaki bado unatoa harufu mbaya?
4. kwa nini ukipiga mswaki fizi zinatoa damu?
5. Meno ni muunganiko wa mfupa wa jino, Fizi na Mishipa????
Mara nyingi watu wengi huwa pale wanapoumwa na jino wanakimbilia kung’oa jino eti dawa ya jino kuling’oa jambo ambalo si
# *KWELI* .
Tambua ndugu yangu kuwa unapokwenda kung’oa jino unang’oa Mfupa sio Fizi wala mishipa ambayo hakuna madhara kwa bakteria anaesababisha jino kuuma.
Fahamu kuwa kwenye kinywa cha mwanadamu kuna bakteria wanaoishi mdomoni wanaitwa *NORMAL FRALER.*
Bakteria hawa ndio wanaotengeneza ute wenye Acid unaolainisha chakula kwa haraka mdomoni. Na ndio kazi yao.
Lakini wanasababisha ugonjwa unaoitwa *GINGIVAITES* , ugonjwa huu husababisha fizi kutoa damu haswa unapopiga mswaki, lakini ukiachwa ukawa sugu unasababisha ugonjwa wake kuwa sugu na hujulikana k**a *MACHODIFECE* ugonjwa huu husababisha na hufanya meno kuoza, ama kutoboka kutokana na bakteria *AFINOTOBALASAD* ndio wanaosababisha na huwa wanaingia ndani kwenye fizi kwa ajili ya kula damu. Hapo ndipo mtu hupatwa na tatizo la kuumwa na jino au meno.
*ADUI WA MENO YETU NI* *FLUORIDE* .
Ndugu angalia dawa ya meno unayotumia k**a imeandikwa fluoride k**a ni ushauri itupe kwani hata k**a kwa sasa uko safi kwenye kinywa badae utaingia tena kwenye changamoto ya meno na kinywa.
*TUONE FLUORIDE INAVYO ATHIRI MENO NA AFYA KWA KWA* *UJUMLA* .
Shirika la afya duniani [WHO] lilipendekeza kiwango cha fluoride kwenye maji ya kunywa kiwe (0.5_1) mg/lite kutokana na madhara makubwa yanayotokana na fluoride, mataifa yaliyo endelea yanafanya mpango wa kuiondoa kabisa fluoride katika maji ya kunywa (soma dr Dean Burk, mgunduzi wa "biotin" amefanya kazi national institute of cancer huko marekani kwa miaka zaidi ya thelathini) fluoride iliyowekwa kwenye dawa ya meno imewekwa kwa kiwango kikubwa sana ndio maana wameandika kwamba
a). Usimeze ukimeza kwa bahati mbaya muone dr wa meno. Jiulize umemeza mara ngapi????
b) Usibakize masalia ya meno kwenye kinywa
c) Mtoto chini ya umri miaka 6 asimamiwe na mtu mzima ili asimeze wala kuila
d) Swaki mara mbili hadi mara tatu kwa siku
e) Baada ya miezi 3 badilisha mswaki
*HAYA NDIO MADHARA YA UTUMIAJI WA FLORIDE.*
1. *UBONGO*
Ungunduzi wa kina wa kisayansi umegundua kuwa utumiaji wa fluoride unapunguza IQ (intelligence quotient) kwa watoto wadogo ambao bado ubongo wao haujakomaa.
*2. MIFUPA* .
Kiwango kikubwa cha fluoride kinadhoofisha mifupa na kupelekea watu wengi kuvunjika kirahiisi haswa kwenye kiwiko na kwenye hips.
*3. FIGO* .
Wenye matatizo ya figo wanashauriwa wasitumie vitu vyenye fluoride kabisa inamadhara kwa figo zetu (fluoride induced nepharotoxicity).
*4. MENO*
Kiwango kikubwa cha fluoride hudhoofisha meno na kupelekea Kurusu mashambulizi ya wadudu kwenye kinywa ndo maana unapotoa jino hao wadudu huhamia tena jino lingine.
*5. TYROID* .
Fluoride husabisha watu kushindwa kutengeza thyroid hormone kwani huzuia iodine isijishike kwenye kemikali inayotumika kutengeneza thyroxine hormone, mwishowe tunaishia kupata goiter na matatizo mengine yatokanayo na upungufu wa vitamin hii.
*6. CANCER* .
Fluoride ni chanzo kikubwa sana cha kansa kwenye mwili wa binadamu inapojikusanya kwa muda mrefu na hupelekea hata kupata madonda ya tumbo, meno kuharibika, n.k (Dr Dean USA).
*TIBA YA MENO NA* *KINYWA* .
Tafuta Kuna dawa ya meno inaitwa *(DR TS)* ambayo imetengenezwa kwa ubora Zaidi na kufanyiwa tafiti kubwa sana Huku ikitengenezwa na mitishamba ifuatayo
-Notoginseng ambayo huzuia fizi kutoa damu
-Honeysuckle Huzuia fizi kuvimba
-Green tea..Huleta harufu nzuri mdomoni,huondoa harufu mbaya
-Ina Blue cleaning factor ambayo husafisha kabisa meno pia ina Herbal factor ambayo hutibu kabisa meno.
- Inaondoa sensitivity ya meno(hali inayotokea pale MTU anapouma kitu kigumu au msuguano wa vitu vya sauti ukwasi nk.
inafanya kazi zifuatazo:
1) Haina fluoride
2) Inashambulia mdudu anaeharibu jino au kinywa
3). Inaruhusiwa kumenzwa k**a tumbo linakusumbua kuuma.
4). Ukiungua moto au ukajikata au jeraha la aina yoyote ile ikijipaka unapona bila kovu.
5). Inaimarisha fizi za meno zisitoe harufu mbaya.
6) Na unaweza kuitumia k**a huduma ya kwanza hadi kwenye fungasi na mapunye.
*WASILIANA NAMI UJIPATIE DAWA YAKO...*
0752 228283
Tupo *DAR ES SALAAM* baadhi ya mikoa Kuna mawakala ...
*LINDA AFYA YAKO NA YA FAMILIA YAKO...*
*NB: KUNG'OA JINO SIYO DAWA/SULUHISHO SAHIHI BALI KUYAPA NAFASI YA KUHARIBIKA MENGINE.*

*FEMININE CLEANER AU MAARUFU K**A FEMICARE*Hii huwa inafahamika k**a mkombozi wa wanawake kwa maambukizi ya sehemu za si...
27/03/2019

*FEMININE CLEANER AU MAARUFU K**A FEMICARE*
Hii huwa inafahamika k**a mkombozi wa wanawake kwa maambukizi ya sehemu za siri.
Imeandaliwa maalum kwa ajili ya wanawake licha ya kua hata mwanaume anaweza kutumia.
Imetengenezwa kwa vyakula,mimea na madini na viua sumu mwilini.
Inamadini yanayohuisha uke na kuwa na ulinzi asilia,inaviua sumu vinavyozuia uke kuzeeka(mashavu),uke uliolegea,
Ina mafuta mazuri yanaitwa *essential oil* kwa ajili ya kufanya uke urudishe mnato wake wa asili.
Kazi zake ni hizi hapa👇🏼👇🏼
*FEMICARE*
FEMICARE
-Huondoa harufu mbaya ukeni
-Huondoa bacteria wabaya na kuzuia U.T.I
-Huondoa fangasi na miwasho ukeni
-Hurudisha size nzuri ya uke hasa wenye shida ya uke ulioregea*
-Huondoa maji maji yatokayo ukeni yenye Harufu mbaya
-Huondoa maumivu wakati wa tendo la ndoa
-Hufanya mwanamke kujiamini muda wote
-Huzibua mirija ya uzazi hivyo kusaidia wenye shida ya kutoshika mimba
-Humkinga mwanamke na maambukizi mabaya hasa u.t.i kwenye vyoo,kemikali za swimming pool, maambukizi Mabaya kutoka kwa mwanaume.n.k
Mwisho kabisa napenda kushauri wanawake wote uwe unaumwa au huumwi hii supplement ni vizuri kuwa nayo ndani itakusaidia kwenye
Bei yake 42,000
*Hii sio dawa ya phamacy wasiliana nami
0752 22 82 83 kuipata
Mikoani wanatumiwa kwa basi*

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Virutubisho Tiba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram