18/11/2025
Habari njema! 🎉😍
Kuanzia sasa, siku za Jumamosi tutakuwa wazi hadi saa 12:00 jioni (badala ya 9:30 alasiri).
Na kwa siku za kawaida, tupo wazi hadi saa 2:00 usiku ili kukupa muda mpana zaidi wa kupata huduma zetu bora za Afya ya macho yako 👁️✨
Tunapatikana Gerezani mataa ya K**ata,wasiliana nasi kwa simu namba 0676 506 323.
"SIKAF Eye Care,The care your eyes deserve "🤗