08/02/2026
๐ฟ AFYA YA MFUMO WA UZAZI NI MUHIMU SANA! ๐ฟ
Je, unajua kuwa magonjwa ya mfumo wa uzazi yanaweza kuathiri uwezo wa kupata mtoto, afya ya ndoa na ustawi wa maisha kwa ujumla?
Tunatoa vipimo na tiba sahihi kwa wanaume na wanawake:
๐ Vipimo vinavyopatikana:
โ๏ธ PID (Pelvic Inflammatory Disease)
โ๏ธ Maambukizi ya Fangasi (Candida)
โ๏ธ UTI (Maambukizi ya Njia ya Mkojo)
โ๏ธ Kisonono (Gonorrhea)
โ๏ธ Kaswende (Syphilis)
โ๏ธ Trichomonas
โ๏ธ HPV
โ๏ธ Upimaji wa homoni za uzazi
โ๏ธ Uchunguzi wa mbegu za kiume (Semen Analysis)
โ๏ธ Ultrasound ya kizazi
๐ Tiba hutolewa kulingana na majibu ya vipimo, kwa ushauri wa kitaalamu na kwa usiri mkubwa.
๐ฐ Bei nafuu โ 30,000/=
๐ Wasiliana nasi sasa: 0692538955
Afya ndio nguzo ya maisha bora. Chukua hatua leo!
๐ช๐ช