Nasaba - Lebi Mwakaje Mwakatobe

  • Home
  • Nasaba - Lebi Mwakaje Mwakatobe

Nasaba - Lebi Mwakaje Mwakatobe Ukurasa huu ni muhtasari wa Nasaba ya ukoo wa Lebi Mwakaje Mwakatobe. Taarifa kuhusu vizazi k**a vil

09/09/2024

Matukio yaliojiri mwezi wa 8-2024

Msiba: Mzee Anyangalile Yoram Mwakatobe, baba yake Rehema Kayombo wa Kimara, Dar es Salaam.
Kufariki: 26-08-2024, Suma, Mbeya.
Kuzikwa

Matukio yaliyojiri mwezi wa 8-2024Msiba: Mzee Adam Mwakatobe RIPKuzaliwa: 30-07-1940Kufariki: 04-08-2024Mazishi yalifant...
05/09/2024

Matukio yaliyojiri mwezi wa 8-2024
Msiba: Mzee Adam Mwakatobe RIP
Kuzaliwa: 30-07-1940
Kufariki: 04-08-2024

Mazishi yalifantikia Mbeya

Matukio yaliyojiri mwezi wa 8-2024Msiba: Julie Mwanguku alifariki nchini Bulgaria 23-07-2024, binti wa marehemu CG Simeo...
03/09/2024

Matukio yaliyojiri mwezi wa 8-2024
Msiba: Julie Mwanguku alifariki nchini Bulgaria 23-07-2024, binti wa marehemu CG Simeon Mwanguku, mke wa Uswege Mwakambonja (marehemu) ambaye ni mtoto wa dada yake Flora Mwanjabala.

Marehemu alipumzishwa tarehe 08-08-2024 makaburi ya Kondo, Bahari Beach, Dar es Salaam.

Matukio ya mwezi wa 8 -2024.Wajukuu wa Lebi wakiweka taji la maua kumpumzisha Francis Kiaga, mume wa Dr. Ann-Marie Kasha...
03/09/2024

Matukio ya mwezi wa 8 -2024.
Wajukuu wa Lebi wakiweka taji la maua kumpumzisha Francis Kiaga, mume wa Dr. Ann-Marie Kashaija-Kiaga (mjukuu wa Lebi).

October 1966 - July 2024

Matukio yaliojiri mwezi wa 07-2024.Msiba: Mzee Simeon Amon Mwanguku alikuwa akiishi Segerea, Dar es Salaam.Kuzaliwa: 193...
03/09/2024

Matukio yaliojiri mwezi wa 07-2024.
Msiba: Mzee Simeon Amon Mwanguku alikuwa akiishi Segerea, Dar es Salaam.
Kuzaliwa: 1938
Kufariki: 28-07-2024

The great patriarch, Dickens Daudi Mwakatobe is gone home. Rest in eternal peace. Sunrise 15 March 1941 - sunset 29 Marc...
31/03/2024

The great patriarch, Dickens Daudi Mwakatobe is gone home. Rest in eternal peace. Sunrise 15 March 1941 - sunset 29 March 2024. The greatest baba.

Edna Hobela Batty gets married. Here’s to a blessed start to a journey full of adventure. Congrats.
25/12/2023

Edna Hobela Batty gets married. Here’s to a blessed start to a journey full of adventure. Congrats.

SA has been …
25/12/2023

SA has been …

30/09/2022

Tunapokusanya taarifa za nasaba zetu, ni sawa na kukusanya wana Israeli. Nasba zetu ni urithi wetu. anzisha daftari la nasaba.

28/09/2022

Kazi ya umisionari si tu kuhubiri injili, bali pia kuwa wa nasaba zetu.

Fadhili A Batengas Weds Edna H Lebi, circa 1962
28/03/2022

Fadhili A Batengas Weds Edna H Lebi, circa 1962

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nasaba - Lebi Mwakaje Mwakatobe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Nasaba - Lebi Mwakaje Mwakatobe:

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Contact The Practice
  • Claim ownership or report listing
  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share