Lamp of knowledge healthcare

Lamp of knowledge healthcare Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Lamp of knowledge healthcare, Medical and health, Dar es Salaam.

🔷️Healthcare education & Health talk 🔷️Mobile phlebotomy & Sample collection
🔷️ Laboratory medicine students' coaching 🔷️Health checkup packages
💙Health coaching

14/07/2025
Tafiti zinaonyesha kwamba, kufikia mwaka 2025 kila ukikutana na watu wanne mmoja atakuwa na ugonjwa wa siko seli. Tanzan...
24/06/2025

Tafiti zinaonyesha kwamba, kufikia mwaka 2025 kila ukikutana na watu wanne mmoja atakuwa na ugonjwa wa siko seli. Tanzania inashika nafasi ya tano duniani kwa idadi ya watoto wanaozaliwa na sikoseli. Inakadiriwa kuwa zaidi ya watoto elfu 11 wanazaliwa na sikoseli kila mwaka. HII NI HATARI!
Siko seli ni ugonjwa wa kurithi, mtoto ataupata k**a atarithi vinasaba vya ugonjwa huu kutoka kwa baba na mama. Ugonjwa huu huathiri seli nyekundu ya damu ambayo badala ya kuwa na umbo la duara , hukatika na kuwa na umbo la nusu mwezi(tizama kwenye picha hapo juu) Umbo hili la nusu mwezi huathiri kazi ya seli hizi ya kusafirisha oksijeni kwenda sehemu mbalimbali za mwili ambako huko uunguza chakulaa kuzalisha nguvu. Kwahiyo, pamoja na dalili zingine k**a kuvimba pingiri ndogondogo mgonjwa atakuwa dhaifu.
Matibabu ya uhakika ya sikoseli hasa kwa nchi zinazoendelea k**a yetu hakuna. Wagonjwa hupewa dawa za kudhibiti adha zinazotokana na ugonjwa huu na hata kuongezewa damu inapobidi. Hizi ni dawa amabazo wanatakiwa kuzitumia maisha yao yote sambamba na kuchukua taadhari k**a kutofanya kazi ngumu n.k. Nchi zilizoendelea kwa upande mwingine zinafanya upandikizaji wa uboho ambao huzalisha seli nyekundu zisizo na tatizo. Ina maana wakifanya upandikizaji wanabadili vinasaba vya mgonjwa moja kwa moja. Hii inaweza kupelekea matatizo mengine kwa sababu mwili unaweza usipokee kwa urahisi kiungo kipya na kupelekea mgonjwa kuendelea kutumia dawa zitakazosaidia kukabiliana na adha za upandikizaji huu.
Hata k**a tungefikiria kufanya upandikizaji wa uboho k**a wenzetu hatutamudu wote kwani ni gharama sana!

TUNAWEZAJE KUJINASUA NA JANGA HILI?
Kabla ya kufunga ndoa, wenza wapime kubaini k**a wamebeba vinasaba vya siko seli. Ikibainika wanaweza kupata mtoto mwenye tatizo hili basi wasifunge ndoa.
Maamuzi haya ni magumu ikiwa wenzi hawa wanapendana sana lakini tukipima faida na hasara kwa kuzingatia adha atakazopitia mtoto tutaweza kufanya maamuzi sahihi.

Weka miadi kufanya vipimo mbalimbali vya maabara, tunakuja ulipo, huhitaji kupanga foleni tena!
0713 050 483

22/06/2025

Unjua unatakiwa kuwa na uzito kiasi gani? Andika uzito wako na urefu wako katika sentimita, tukupe jibu😀

19/06/2025
Dawa ya asili ya vidonda vya tumbo inayofanya vizuri kwa sasa, unaweza kuletewa popote ulipo.
08/01/2025

Dawa ya asili ya vidonda vya tumbo inayofanya vizuri kwa sasa, unaweza kuletewa popote ulipo.

03/12/2024

Tufatilie kwny mitandao yetu ya kijamii kujifunza zaidi.
20/09/2024

Tufatilie kwny mitandao yetu ya kijamii kujifunza zaidi.

19/09/2024

Yajue haya kabla hujaenda kwa daktari

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lamp of knowledge healthcare posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Lamp of knowledge healthcare:

Share