Eternal International ni kampuni ya kimataifa na maarufu kwa biashara kubwa ya uzalishaji na usambaza Ndugu Zhang Qi na Ndugu Gong Zhao.
Eternal International ni kampuni iliyoanzishwa mwaka 2001 na wajasiriamali wawili wenye asili ya China. Mpaka kufikia mwaka 2006 kampuni ilikuwa kubwa na kuweza kufika maeneo ya nchi nyingi za Magharibi, Mashariki na Kusini mwa bara la Afrika. Makao yake makuu yapo katika mji wa Shanghai huko China. Eternal ni maarufu kwa biashara kubwa ya uzalishaji na usambazazaji wa bidhaa za afya na za matumizi ya kila siku. Huduma Tunazoa:
- Huduma ya vipimo kwa njia ya kisasa zaidi
- Huduma ya massage
- Huduma ya ushauri nasaha
- Bidhaa za asili kwa ajili ya afya
- Tibalishe na aina nyingine ya vyakula
- Fursa za kibiashara
Address
Plot No 84 Block D, Old Bagamoyo Road, Near TMJ Hospital Mikocheni
Be the first to know and let us send you an email when Eternal International Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.