Elisha Afya Tips

Elisha Afya Tips Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Elisha Afya Tips, Health & Wellness Website, Dar es Salaam.

17/04/2026

UTI SUGU KWA WANAWAKE

17/04/2026

DALILI ZA MAAMBUKIZI YA UTI KWA WAZEE

17/04/2026

NB: Hii inawahusu pia wale wanaoshiriki tendo kinyume na maumbile.
Uume unaweza kuhamisha bakteria kutoka kwenye tundu la haja kubwa kwenda kwenye uke,
na kuongeza hatari kubwa ya kupata UTI.

16/04/2026

MAMBO 6 YA MUHIMU KUYAJUA KUHUSU HEDHI YAKO

16/04/2026

NB:Kubemendwa kwa mtoto ni imani potofu, haina ukweli wowote kisayansi. Hakuna uhusiano kati ya tendo la ndoa la wazazi na afya au maendeleo ya mtoto anayenyonya.

Ila endapo mama atashiriki tendo la ndoa na mtu mwenye maambukizi ya magonjwa ya zinaa, anaweza kupata maambukizi na baadhi yake yanaweza kumuathiri mtoto kupitia kunyonyesha.

Pia hii haimaanishi kwamba mama anayenyonyesha anaruhusiwa kulala na mwanaume yoyote. Hilo si sahihi. Epuka tabia hiyo ili kujilinda dhidi ya magonjwa, na kumbuka uaminifu kwenye ndoa ni muhimu.

16/04/2026

NB: Depo-Provera huchelewesha kushika ujauzito kwa sababu huwa na homoni ya progestin ambayo hubaki mwilini na kupungua taratibu taratibu kwa muda mrefu. Hii homoni huzuia utoaji wa yai, na hata baada ya kuacha sindano, mwili unahitaji muda kuondoa homoni hiyo na kurudi kwenye hali ya kawaida, ndiyo maana ujauzito unaweza kuchelewa kurudi.

Madhara yanayoweza kutokea ni pamoja na mabadiliko ya hedhi (kutokwa damu bila mpangilio au kukoma kabisa), kuongezeka uzito, maumivu ya kichwa, mabadiliko ya hisia, na kupungua kwa uimara wa mifupa endapo itatumika kwa muda mrefu.

15/04/2026

ONGEZA MAZIWA KWA KULA HIVI

15/04/2026

VITU VINAVYOONGEZA UTE UTE NA MAJI MAJI UKENI

14/04/2026

MADHARA YA UPASUAJI WA KUONGEZA MAKALIO YA MWANAMKE

14/04/2026

FUNGA MDOMO WAKO PINDI UKISHIKA MIMBA!! NA HAKIKISHA UNAANZA KWENDA CLINIC MARA BAADA TU YA KUSHIKA UJAUZITO TU

14/04/2026

Kuna moja nimesahu muhimu sana👇

Kujifungua kwenye mazingira yasiyo safi kunaweza kusababisha maambukizi yanayoitwa puerperal sepsis (maambukizi baada ya kujifungua).

Maambukizi haya yakiachwa bila kutibiwa vizuri, yanaweza kupanda hadi kwenye via vya uzazi na kusababisha PID.

Ndiyo maana ni muhimu sana kujifungua kwenye kituo cha afya chenye usafi na uangalizi mzuri.

Address

Dar Es Salaam

Website

Services

Specialties

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Elisha Afya Tips posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share