24/11/2025
Hii dawa ni mchanganyiko WA dawa tano za asili Kwa ajili ya kitambi sugu, ni dawa ya asili ambayo inafanya Kazi ya
:kutoa kitambi,
:kutoa manyama uzembe
: kupunguza uzito
:kutoa sumu mwilin na
:kurahisisha mfumo WA mmeng'enyo wa chakula
Hii dawa inatumiwa na jinsia zote ni ya mfumo WA kidonge unameza kimoja usiku baada ya kula na kimoja asubuh baada ya kula. Wote wenye matatizo ya uzito, kitambi, na manyama uzembe hii ni suluhisho sahihi. Pia inatumiwa Kwa mama anaenyonyesha baada ya kumaliza mwez mmoja baada ya kujifungua. Dawa hii ina vidonge 32 unaipata Kwa shilingi elfu 30 tunapatikana dar es salaam. Na tunatuma Mikoa yote Tanzania Karibu sana wateja wetu. Tunafanya Derivery Mikoa yote.