AFYA YA MACHO

AFYA YA MACHO Tunasaidia watu kuwa na macho yenye afya njema, pia kusaidia watu wenye changamoto mbalimbali za macho kwa kuwapa ushauri na huduma zingine mbalimbali.

0753745506Using Forever Aloe Vera products can offer several benefits due to the natural properties of aloe vera. Here a...
13/02/2025

0753745506

Using Forever Aloe Vera products can offer several benefits due to the natural properties of aloe vera. Here are some key advantages:

1. **Skin Health**: Aloe vera is widely known for its soothing and moisturizing properties. It can help with skin conditions like sunburn, dryness, and irritation, promoting healing and hydration.

2. **Digestive Health**: Aloe vera juice can aid in digestion by soothing the digestive tract and promoting regular bowel movements. It may help with issues like constipation and acid reflux.

3. **Immune Support**: Aloe vera contains antioxidants, vitamins, and minerals that can boost the immune system, helping the body to fight off infections and illnesses.

4. **Detoxification**: Aloe vera can help detoxify the body by supporting liver function and promoting the elimination of toxins.

5. **Nutrient-Rich**: Aloe vera is packed with essential nutrients, including vitamins A, C, E, and B12, as well as minerals like calcium, magnesium, and zinc, which are vital for overall health.

6. **Anti-Inflammatory**: The anti-inflammatory properties of aloe vera can help reduce inflammation in the body, which may benefit conditions like arthritis and other inflammatory disorders.

7. **Hydration**: Aloe vera gel and juice are excellent for maintaining hydration levels, which is crucial for overall health and well-being.

8. **Hair Care**: Aloe vera can be used to nourish the scalp, reduce dandruff, and promote healthy hair growth.

9. **Wound Healing**: Aloe vera's antibacterial and antifungal properties can help in the healing of minor cuts, burns, and abrasions.

10. **Weight Management**: Some studies suggest that aloe vera can aid in weight management by improving metabolism and promoting fat loss.

Forever Living Products, a well-known company specializing in aloe vera-based products, ensures high-quality and purity in their formulations, which can enhance these benefits. However, it's always advisable to consult with a healthcare professional before starting any new supplement regimen, especially if you have underlying health conditions or are taking other medications.

0753745506

🌟Husaidia tatizo la jicho kutokuona mbali🌟 Hupunguza matatizo    ya macho yanayosababishwa na mionzi ya simu, TV, na com...
20/09/2024

🌟Husaidia tatizo la jicho kutokuona mbali
🌟 Hupunguza matatizo ya macho yanayosababishwa na mionzi ya simu, TV, na computer.
🌟Kulinda jicho kutokana na mwanga wa jua.
🌟 Kupunguza maumivi ya kichwa na kizunguzungu
🌟Imaboresha mzunguko wa damu.
🌟Huboresha nguvu za mwili, utulivu na usawa.

Habari rafiki. Leo ni zungumzie afya. Kinga ni bora kuliko tiba. Sayansi ya afya imetuwezesha kumuhudumia mgonjwa aliyel...
19/04/2024

Habari rafiki. Leo ni zungumzie afya. Kinga ni bora kuliko tiba. Sayansi ya afya imetuwezesha kumuhudumia mgonjwa aliyelala kitandani kwa njia ya drip, mgonjwa anapata dawa au vyakula kwa drip. Sayansi ya vyakula imetuwezesha kuweza kufahamu kila kiungo mwilini kinahiji nini ili kiwe na afya njema. Viungo muhimu mwilini ni k**a ubongo, moyo, Figo, kongosho, viungo vya uzazi n.k. Pamoja na mahitaji ya chakula bora, mazoezi, maji, kupumzika, n.k. mahitaji ya virutubisho vinavyotokana na mkusanyiko wa vyakula ni muhimu. Hii hapa ni package special kwa afya ya mzunguko wa damu. Ambayo inasaidia kubalance pressure na kuufanya mwili ulirelax. Inaweza kutumika kumpa nguvu baba za kazi na za nyumbani. Mama pia zinampa utulivu wa mawazo na kuuweka mwili sawa. Package hii pia inamsaidia mtu anayehangaika na tatizo la kutopata choo, na kuwa na hali ya kuchoka sana. Package hizi zamani zilikuwa zinatumiwa na wafalme tu kwa sababu gharama yake ilikuwa kubwa sana. Ukiwa fit itakusaidia kuperform kazini na kwenye biashara. 0753745506.

Jali ya afya ya macho yako kwa  kutumia bidhaa bora kutoka Marekani. 0753745506.
16/04/2024

Jali ya afya ya macho yako kwa kutumia bidhaa bora kutoka Marekani. 0753745506.

Elimu haina mwisho. Jipatie vitabu vizuri. 0753745506.
16/04/2024

Elimu haina mwisho. Jipatie vitabu vizuri. 0753745506.

💥COMING SOON,💥KIDNEY CLEANSING.SSI Tumekuja Na product hii MPYA tukiwa na makusudi makubwa.Product hii ni mahususi kutib...
06/04/2024

💥COMING SOON,💥

KIDNEY CLEANSING.
SSI Tumekuja Na product hii MPYA tukiwa na makusudi makubwa.

Product hii ni mahususi kutibu Maradhi yote ya FIGO.
Inapozungumzwa Figo tunamaanisha Figo ya kulia na kushoto, Kibofu cha mkojo, ureta na Chembe hai za damu.

Kazi ya Figo
1. Kusafisha taka kutoka kwenye damu na kuzalisha mkojo
2. ⁠kuweka hali ya Chemia ya mwili sawa sawa.
3. ⁠Kusaidia Kudhibiti Pressure
4. ⁠Kutengeneza homoni inayozalisha chembe hai nyekundu za damu (Erythropoietin)

Nitaeleza kwa ufupi kidogo.
Kwa takwimu za hivi karibuni za kidunia inaonyesha 10% ya watu ulimwenguni kote wanasumbuliwa na maradhi ya Figo.

Nchini Tanzania Magonjwa ya Figo yameendelea kushika kasi kwa asilimia 7 hadi 14.

Magonjwa ya Figo yamegawanyika katika makundi mawili.
1. ACUTE KIDNEY INJURY- Haya ni maradhi ya figo yanayotokea ndani ya masaa kadhaa mpaka miezi mitatu.

Sababu za kupata AKI (Acute Kidney Injury).‼️
🔺Presha ya kushuka (Hypotension)
🔺Athari za Upasuaji
🔺Matumizi ya dawa za kupunguza maumivu (NSAIDS) nk

2. CHRONIC KIDNEY DIESEASE (CKD)
Huu ni Ugonjwa wa Figo unaopelekea Figo kushindwa kufanya kazi ipasavyo. Ambapo hali hiyo hupelekea maji maji (electrolytes fluid), na taka taka kujijenga mwilini na kushindwa kutoka nje kupitia mkojo.

DALILI ZA KUFELI KWA FIGO
1. Kichefuchefu
2. ⁠Kutapika
3. ⁠kukosa hamu ya kula
4. ⁠uchovu wa viungo
5. ⁠kukosa usingizi
6. ⁠kuvimba miguu
7. ⁠ngozi kuishiwa maji
8. ⁠shinikizo la damu kuwa juu zaidi
9. ⁠maumivu ya kifua

KAZI YA KIDNEY CLEANSE
1. Husaidia uchujaji wa Figo
2. ⁠husaidia Figo kufanya kazi zake vizuri
3. ⁠Hutibu majeraha katika figo
4. ⁠Hutibu maambukizi ya njia ya mkojo
5. ⁠Husawazisha kiwango cha Kemia kwenye damu
6. ⁠Husawazisha shinikizo la damu.

Ukiona miongoni mwa dalili fanya vipimo ya mkojo, kibofu au FIGO.

SSI Tumeleta KIDNEY CLEANING TEA k**a JAWABU la chanzo chochote za uharibifu wa FIGO ZAKO.

Mtu yoyote anapaswa kutumia Chai hii kwani husaidia Mwili kurejesha kazi zake za awali hasa uchujaji (Filtation).

Tuchukue Tahadari sana na tutumie Chai hii kujitibu wenyewe tusisubiri hatari kubwa Zaidi🎤🎤🎤.

SSI UPENDO DAIMA🙏🏽

Kwa yeyote anayetaka kupunguza unene, sasa solution imepatikani. Ni GONADEMA GREEN SLIMING COFFEE. KWA BEI YA TSH. 120,0...
14/03/2024

Kwa yeyote anayetaka kupunguza unene, sasa solution imepatikani.

Ni GONADEMA GREEN SLIMING COFFEE.

KWA BEI YA TSH. 120,000/=

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANE KWA NAMBA YA SIMU. 0712905444

Kwa yeyote anayetaka kupunguza unene, sasa solution imepatikani. Ni GONADEMA GREEN SLIMING COFFEE. KWA BEI YA TSH. 120,0...
11/03/2024

Kwa yeyote anayetaka kupunguza unene, sasa solution imepatikani.

Ni GONADEMA GREEN SLIMING COFFEE.

KWA BEI YA TSH. 120,000/=

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANE KWA NAMBA YA SIMU. 0712905444.

KAMPUNI YA SEVEN SERIES INTRANATIONAL (SSI) YA KUTOKA NCHINI CHINA.TUNATOA MATIBABU KWA WATU WENYE UONI HAFIFU wa MACHO ...
23/01/2024

KAMPUNI YA SEVEN SERIES INTRANATIONAL (SSI) YA KUTOKA NCHINI CHINA.

TUNATOA MATIBABU KWA WATU WENYE UONI HAFIFU wa MACHO WAPATE KUONA VIZURI TENA.
TUWASILIANE
CALL/ WA.ME0712 905 0712 905 444

KAMPUNI YA SEVEN SERIES INTRANATIONAL YA KUTOKA NCHINI CHINA.TUNATOA MATIBABU KWA WATU WENYE UONI HAFIFU wa MACHO WAPATE...
20/01/2024

KAMPUNI YA SEVEN SERIES INTRANATIONAL YA KUTOKA NCHINI CHINA.

TUNATOA MATIBABU KWA WATU WENYE UONI HAFIFU wa MACHO WAPATE KUONA VIZURI TENA.
TUWASILIANE
CALL/ WA.ME0712 905 444.

TUNATOA MATIBABU KWA WATU WENYE UONI HAFIFU wa MACHO WAPATE KUONA VIZURI TENA.TUWASILIANECALL/ WA.ME0712 905 444.
14/01/2024

TUNATOA MATIBABU KWA WATU WENYE UONI HAFIFU wa MACHO WAPATE KUONA VIZURI TENA.
TUWASILIANE
CALL/ WA.ME0712 905 444.

TUNATOA MATIBABU KWA WATU WENYE UONI HAFIFU wa MACHO WAPATE KUONA VIZURI TENA.TUWASILIANECALL/ WA.ME0712 905 444
14/01/2024

TUNATOA MATIBABU KWA WATU WENYE UONI HAFIFU wa MACHO WAPATE KUONA VIZURI TENA.
TUWASILIANE
CALL/ WA.ME0712 905 444

Address

Dar Es Salaam
255

Opening Hours

Monday 08:00 - 23:59
Tuesday 08:00 - 23:59
Wednesday 08:00 - 23:59
Thursday 08:00 - 23:59
Friday 08:00 - 23:59
Saturday 00:00 - 23:59
Sunday 00:00 - 23:59

Telephone

+255712905444

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA YA MACHO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to AFYA YA MACHO:

Share

Category