kamugisha.ester

kamugisha.ester Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from kamugisha.ester, Medical and health, Dar es Salaam.

21/09/2022

Morizella juice ni suluhisho LA magonjwa zaidi ya 300 yanayotokana na ulaji usio wa Afya.

Tumia chupa moja au mbili kwa siku kila siku

21/09/2022

Ahsanteni wakazi wa Arusha kwa kutembelea Banda letu kipindi cha maonyesho ya NANE

21/09/2022

JE WEWE NI MWANAUME MWENYE UMRI WA MIAKA 40 au ZAIDI ?

Karibu utumie PRUCAN k**a KINGA NA TIBA YA KUVIMBA KWA TEZI DUME LINALOSABABISHA MATATIZO Ya MKOJO KUTOKA IPASAVYO?

Kopo moja LA Prucan lina vidonge vya rangi mbili (capsules )- 100

Matumizi;

Kwa kinga ; Tumia Kopo moja

Kwa Tiba : Tumia makopo matatu

Bei ya kopo moja ;Elf 60

Fika ndani ya hospitali ya Taifa muhimbili ,Mloganzila na Hospitali ya Amana

Kwa mkoa wa Kilimanjaro: fika majengo polisi mkabala (opposite ) na kituo cha polisi utaona duka limeandikwa Muhimbili herbal supplements

Mawasiliano; 0759705813

0652015853

21/09/2022

Je una dalili za vidonda vidonda vya tumbo?k**a maumivu makali ya tumbo,tumbo kujaa gesi ,kiungulia ,kichefuchefu nakadhalika?

Watafiti wa mimea dawa asili kutoka Muhimbili ,tumekuletea Tumbo mixture kwa sasa inaitwa GASTRIA ,ni Suluhisho kwa vidonda vya tumbo vilivyoshindikana.

Dozi : chupa 5 hadi 10

Bei ya chupa moja ; Elf 10

Inapatikana; Ndani ya Hospitali Ya Taifa Muhimbili mkabala na maabara kuu ya hospitali, pia utaipata hospitali ya Mloganzila ,mapokezi ulizia Huduma ya Tiba Asili

Kwa mkoa wa Kilimanjaro,fika Moshi,majengo,kuna duka LA Muhimbili herbal supplements linaangaliana na kituo cha polisi Majengo

Pia tuna mawakala wetu kwa mikoa ya Mwanza,Arusha na Katavi

Mawasiliano ; 0712212407

21/09/2022

Kazi iendelee ....karibuni

21/09/2022

Tumia Nourish ,Unga lishe wenye virutubishi vyote muhim kwa afya yako na familia nzima

03/10/2021

Tumbo Mixture

Tiba Asili ya vidonda vya Tumbo kutoka Muhimbili.

Dozi : chupa 5

Bei ya chupa moja ; elfu 10

Inapatikana ;

√Hospitali ya Taifa Muhimbili karibu na Taasisi ya moyo ya jakaya kikwete

√hospitali ya mloganzila (mapokezi)

√majengo, moshi mkoa wa kilimanjaro mkabala na kituo cha polisi majengo

Mawasiliano; 0712212407

0759705813



02/10/2021

Immunegentz ni suluhisho la magonjwa sugu mbali mbali kutokana na uwepo wa ALKALOIDS ambavyo ni husisimua au huamsha chembe chembe changa (stem cells )za mwili kukarabati upya viungo vya mwili vilivyochakaa au kuharibiwa kutokana na sababu mbali mbali k**a magonjwa sugu, uzee , msongo wa sumu , maambukizi ya virusi , bacteria nakadhalika.



Kinga yako Afya yakoInapatikana hospitali ya Taifa muhimbili, mloganzila, Nakiete pharmacy  na maduka ya dawa mbali mbal...
18/08/2021

Kinga yako Afya yako

Inapatikana hospitali ya Taifa muhimbili, mloganzila, Nakiete pharmacy na maduka ya dawa mbali mbali

ELIMU, TIBA NA UTAFITI kupitia chuo kikuu cha Afya Muhimbili imezalisha dawa asili mbali mbali ambazo utazipata hospital...
13/08/2021

ELIMU, TIBA NA UTAFITI kupitia chuo kikuu cha Afya Muhimbili imezalisha dawa asili mbali mbali ambazo utazipata hospitali ya Taifa Muhimbili na Mloganzila .

11/08/2021

TIBA ASILI YA HOMA YA MAPAFU, MAFUA NA MATATIZO YA MFUMO WA UPUMUAJI

Imeshasaidia Watanzania Wengi mpaka sasa

INAZUIA NA KUTIBU DALILI ZA;

√ kubanwa kifua

√mafua makali

√ALEJI

√DAMU KUGANDA

√ Udhoofu wa Kinga mwili

Imesajiliwa na Wizara ya Afya kupitia baraza la tiba asili Tanzania.

BEI; : Chupa moja Elfu 25

Inapatikana hospitali ya Taifa Muhimbili (karibu na Taasisi ya Moyo ya jakaya kikwete) na Mloganzila (mapokezi)

Tunafanya delivery na mikoani tunatuma

Mawasiliano; 0759705813/0652015853

Kwa kinga na afya bora tunapatikana muhimbili hospital.
09/08/2021

Kwa kinga na afya bora tunapatikana muhimbili hospital.

Duka la dawa asili ndani ya Hospitali ya Mloganzila, hapa utapata bidhaa zote za asili za kusaidia changamoto mbali mbal...
03/08/2021

Duka la dawa asili ndani ya Hospitali ya Mloganzila, hapa utapata bidhaa zote za asili za kusaidia changamoto mbali mbali za kiafya, linapatikana karibu na mapokezi ya hospitali.

Karibuni

03/08/2021

Je unasumbuliwa na vidonda vya tumbo, tumbo kujaa gesi, kiungulia ,kupata choo k**a cha mbuzi na mengineyo?

Suluhisho ni Tumbo mixture, dawa bora ya asili iliyosaidia watu wengi.

MAHALI INAPATIKANA;

Hospitali ya Taifa Muhimbili karibu na Taasisi ya Moyo ya Jakaya kikwete na Hospitali ya Mloganzila mapokezi.

OZONEMEDICS PHARMACY ,URAFIKI

GHARAMA:

Bei ya chupa moja ni elfu 10

Dozi ni chupa 5 elfu 50

Kwa mikoani tunatuma baada ya kupokea malipo kupitia akaunti ifuatayo ya benki ya CRDB.

Jina LA Akaunti; Healthy living products

Namba ya Akaunti; 0150451646900

Mawasiliano; 0712212407 au 0753181013

Usitume hela kwenye tigo pesa au m pesa.




26/01/2021

Vilivyomo ndani ya MORIZELLA JUICE NA FAIDA ZAKE

(1)VITAMIN C KWA WINGi sawa na malimao 10.

FAIDA;
Vitamin C ndio hujenga Kinga ya Mwili

VITAMIN C husaidia mwili kutumia mafuta ziada , kupunguza mafuta ya lehemu mbaya(bad cholesterol)

Huzuia hatari ya kupata magonjwa sugu K**a shambulio la Moyo,kiharusi na Figo.

Husaidia kudhibiti unene,uzito mkubwa na kiwango kikubwa Cha sukari

(2)Madini ya chuma (iron) kuliko yanayopatikana katika mboga mboga.
FAIDA;
Madini ya Chuma husaidia uzalishaji wa damu.

(3) Ina Madini ya Zinc kuliko yanayopatikana katika Pweza

FAIDA ;

Madini ya Zinc husaidia kuratibu michakato ya vimeng'enya(enzymes) zaidi ya 300 zinazosaidia kuharakisha kasi ya shughuli mbalimbali za kimetaboliki
K**a Uzalishaji wa homoni za kiume(testosterone)

Wanaume wanahitaji madini ya zinc kuboresha uzalishaji wa mbegu za kiume na uwezo wa kushiriki tendo la ndoa.

(4) Ina Madini ya Pottasium Mara 15 kuliko yanayopatikana katika Ndizi

FAIDA;

Husaidia kudhibiti shinikizo kubwa la damu kwa kuweka uwiano mzuri na madini ya chumvi

Huboresha Utendaji wa mfumo wa fahamu na misuli

(5)ina madini ya Calcium hujenga mifupa.

Kinga imara hujengwa na virutubishi muhimu ,epuka matumizi ya kupindukia ya vinywaji visiyo na lishe muhimu,hudhoofisha ...
26/01/2021

Kinga imara hujengwa na virutubishi muhimu ,epuka matumizi ya kupindukia ya vinywaji visiyo na lishe muhimu,hudhoofisha Kinga mwili.

KARIBU KATIKA DUKA LETU JIPYA ,LINAPATIKANA SINZA AFRIKA SANA ,MAARUFU kwa SHIGONGO karibu na ATRIUM HOTEL mkabala na CO...
26/01/2021

KARIBU KATIKA DUKA LETU JIPYA ,LINAPATIKANA SINZA AFRIKA SANA ,MAARUFU kwa SHIGONGO karibu na ATRIUM HOTEL mkabala na CORNER BAR .utazipata bidhaa zote asili za kuimarisha Kinga mwili ikiwemo NIMRCAF dawa lishe ya kusaidia mwili kupambana na dalili za mafua makali, kikohozi kikavu , allergy ,kifua kubana na kuzuia kuganda kwa damu.

Pia Covidol inapatikana karibuni wote

Kwa mawasiliano ya Duka la SINZA : 0759705813 au 0652015853

Kwa mawasiliano ya Duka la Muhimbili hospitali; 0712 212407.

Follow page yetu

17/01/2021

Kwa mahitaji ya covidol karibu hospital ya Taifa MUHIMBILI tupo karibu na jengo la Taasisi ya Moyo JAKAYA KIKWETE

KARIBUNI SANA.

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255712212407

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when kamugisha.ester posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to kamugisha.ester:

Share