Muhimbili Taifa

Muhimbili Taifa Karibu kwenye ukurasa rasmi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili

28/10/2025
24/10/2025

Je, unafahamu kuwa Afya yako inaanza na uchunguzi wa mapema. Tembelea kliniki yetu maalum ya uchunguzi wa matiti iliyopo Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya uchunguzi wa awali na ushauri wa kitalaam.

Kumbukizi ya Miaka 26 ya Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere.“MNH Tutaendelea Kuuenzi Mchango Wako Katika...
14/10/2025

Kumbukizi ya Miaka 26 ya Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere.

“MNH Tutaendelea Kuuenzi Mchango Wako Katika Kuboresha Afya za Watanzania.”

30/09/2025

MUHIMBILI YABISHA HODI ANJOUAN KUJENGA UWEZO NA KUTOA HUDUMA ZA KIBOBEZI

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) inatarajia kupeleka timu ya madaktari bingwa na mabingwa bobezi katika mji wa Anjouan, nchini Comoro kwa ajili ya kambi maalum ya matibabu itakayofanyika kuanzia Oktoba 5 hadi 12, 2025 ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa agizo la Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alilolitoa wakati wa ziara yake visiwani humo.

Address

Dar Es Salam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Muhimbili Taifa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram