AfyaCall

AfyaCall Tumia simu yako kupata ushauri wa Daktari, piga 0900011111

Unanyonyesha sahihi? Imarisha akili ya mwanao.
27/08/2025

Unanyonyesha sahihi? Imarisha akili ya mwanao.

AfyaCall tunajali shughuli zinazoleta watu pamoja na kuhimiza maisha ya afya bora.Mkurugenzi wa Masoko wa Afyacall, Bw. ...
26/08/2025

AfyaCall tunajali shughuli zinazoleta watu pamoja na kuhimiza maisha ya afya bora.

Mkurugenzi wa Masoko wa Afyacall, Bw. Siwangu Mgata (wa pili kushoto) akiwakilisha AfyaCall katika mbio za Selous Marathon mjini Morogoro, pamoja na timu ya waandaji wa Ruaha Marathon waliojitokeza kwa wingi kusaidia timu ya waandalizi wenzao.

22/08/2025

Unapoteza mda? Sasa ni chapu kuongea au kuchat na Daktari wako kuhusu swala lolote la Afya. Upo tayari?

21/08/2025

Mambo muhimu yanayogusa maisha yetu moja kwa moja sio ya kuchukulia Poa. Afyacall tumejikita kuhakikisha unapata ushauri, elimu na msaada wa KITAALAM kuhusu AFYA yako muda wote, popote pale ulipo.

Usimpigie tena rafiki, piga AFYACALL!

Huduma za Afyacall zinatiki kila sehemu. Hauhitaji mambo mengi.
16/08/2025

Huduma za Afyacall zinatiki kila sehemu. Hauhitaji mambo mengi.

13/08/2025

Je, unafahamu AFYACALL? Jua kuhusu Afyacall leo.

Tunawatakia maadhimisho mema ya siku ya Nane Nane. Tutaendelea kutambua na kuthamini mchangi wa Wakulima na Wafugaji nch...
08/08/2025

Tunawatakia maadhimisho mema ya siku ya Nane Nane. Tutaendelea kutambua na kuthamini mchangi wa Wakulima na Wafugaji nchini.
Lishe bora ni Afya bora.

Wanafunzi wa Dodoma Vocational Training Centre wakipata mafunzo jinsi AFYACALL inawezakuwa sehemu muhimu ya maisha yao y...
07/08/2025

Wanafunzi wa Dodoma Vocational Training Centre wakipata mafunzo jinsi AFYACALL inawezakuwa sehemu muhimu ya maisha yao ya kila siku haswa pale wanaposhindwa kufunguka kwa wazazi au marafiki zao.

03/08/2025

Karibu sana ututembelee kwenye banda letu la Vodacom ndani ya Maonesho ya NaneNane, Viwanja vya NaneNane mkoani Dodoma

“Chagua Viongozi Bora kwa Maendeleo Endelevu ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi 2025”

31/07/2025

Je, uko poa? Unaielewa hali yako ya kiafya kweli? Chat na Daktari wa Afyacall wa kidigitali sasa hivi kupata ushauri hapo kwa hapo.

Je, unatumia P2 kwa usahihi?
30/07/2025

Je, unatumia P2 kwa usahihi?

Address

Dar Es Salam
33073

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AfyaCall posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to AfyaCall:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category