
13/07/2025
Pongezi za dhati kwa Mhe. Elia Lugwisha, muweka hazina mstaafu kwa kuteuliwa kuwa naibu Waziri wa Mazingira, chakula na huduma za kafeteria katika Serikali ya Wanafunzi MUHASSO 2025/2026.
Tunakutakia kila la heri katika kutekeleza majukumu yako kwa ufanisi na kwa manufaa ya wanaMUHASSO wote.