15/10/2016
OFA OFA OFA OFA
Leo tutauza asali ya nyuki wadogo kwa shilingi elfu 26,000/= tu kwa lita moja.
(elfu ishirini na sita tu)
Asali itakayouzwa leo ni GRADE ONE tu tena nyuki wadogo.
NB: MSAMBAZAJI ATAKUWEPO KARIAKOO KUANZIA SAA MOJA ASUBUHI MPKA SAA SITA NANUSU MCHANA BAADA YA HAPO ATARUDI KIBAHA.
mwisho wa ofa ni leo saa 12 jioni
TAFADHALI LIKE/SHARE HABARI HII NA WENGINE WAFAIDIKE NA PUNGUZO.
Namna ya kutambua ni ORIJINO asali hiyo ya nyuki wadogo..
1. chovya njiti ya kibiriti kwa asali kisha uwashe.
2. Dondosha kwenye mchanga ukijikusanya ujue iko safi.
3. Dondoshea kwenye maji ikishuka chini ujue safi.
WASILIANI NA MSAMBAZAJI KUPITIA
0689 55 44 38.
0755 077940