01/05/2019
NJIA YA ASILI NA SALAMA YA KUJILINDA NA KUPONYA TEZI DUME BILA UPASUAJI NA UKOSEFU /UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME BILA KUTUMIA DAWA ZA KEMIKALI NA TEGEMEZI
Tezi dume(prostrete)NI tezi linalopatikana Kwa KILA mwanaume, na lipo CHINI kibofu cha mkojo na tezi HILO Lina kazi zifuatazo
1:Kuzalisha majimaji yaitwayo semen ambayo kazi yake NI kuzilinda mbegu ZA kiume, ziziunguzwe na asidi(tindikali) KWENYE uje WA Mwanamke,kuzilisha kwani majimaji HAYA HUWA yanachakula na kuzisaidia kuogelea kirahisi
2:Kuzuia mkojo usitoke pamoja na mbegu ZA kiume wakati wa TENDO LA ndoa(mwanaume anapopizi)
UMRI UNAPOENDA TEZI HILI HUVIMBA KWA SABABU HUWA LIMEIZUNGUKA NJIA YA NKOJO MARA LINAPOVIMBA HUIBANA NJIA YA MKOJO DALILI ZIFUATAZO HUTOKEA KWA MWANAUME
1:Kushidwa kuuzia hamj ya kukojoa
2:Kushidwa kutosha MKOJO mbali wakati wa kukojoa
3:Usiku hubanwa na MKOJO MARA nyingi HIVYO huendi uwani MARA nyingi ilivyo kawaida
4:Kutokumaliza mkojo(unapokojoa Inabidi Umemaliza MKOJO WOTE ila unapokua dakika chache MKOJO natoka wenyewe na Unachagua suruali
5:Kukojoa Kwa shida
6:Upungufu WA NGUVU ZA kiume
Inasemekana WANAUME wazima kuanzia miaka 40 WANA uwezekano mkubwa Sana WA kupata tatizo HILi LA tezi dume
JE INAWEZEKANA KUTATUA TATIZO HILI BILA UPASUAJI
Ndio
Prostrate Relelax in a long and na KUONDOA tatizo HILO BILA UPASUAJI Angalia video fupi hapa CHINI utajifunza mengine Sana na PIGA NAMBA 0686581232
SHARE NA MWANAUME UNAEMJALI