Virutubisho Tiba

Virutubisho Tiba Tunatatua changamoto ya mifupa na viungo , Uzazi , Hedhi ,Sukari , Tezi dume , Bawasiri na mengineyo

TAARIFA MUHIMU SANA KWA WANAWAKE WOTE K**a wewe ni mwanamke unaesumbuliwa na changamoto za mfumo wa uzazi basi gusa link...
04/09/2023

TAARIFA MUHIMU SANA KWA WANAWAKE WOTE
K**a wewe ni mwanamke unaesumbuliwa na changamoto za mfumo wa uzazi basi gusa link hiyo chini kuingia kwenye group buree
https://rb.gy/scl0r
Katika group hii utajifunza jinsi ya kujiponya na kujilinda na changamoto zifuatazo
- Hedhi kuvurugika
- Maumivu wakati wa hedhi na kukosa hedhi
- Uvimbe wa kwenye Kizazi Fibrods na mayoma
- Kuziba kwa mirija na kujaa maji
- PID na UTI Sugu
- Harufu Mbaya ukeni na kutokwa na uchafu
- Kukosa hamu ya tendo la ndoa au Maumivu wakati wa tendo la ndoa
- Unateseka na Kukosa mtoto kwa muda mrefu na hujui kwa nini
- Saratani ya Kizazi

Haya na mengineyo mengi yanayomuhusu mwanamke basi Ondoa wasiwasi huu ni wakati wako wa kujua Sababu , Dalili za matatizo hayo na

JINSI YA KUJIUKINGA NA KUJIPONYA KWA NJIA RAHISI
GUSA LINK HAPO CHINI UINGIE KWENYE GROUP UKUTANE NA WATAALAMU WA MASWALA YA UZAZI WAHI NAFASI WATU 200 TU WANAHITAJIKA
Bonyeza hapo sasa hivi kuingia kwenye group👇
https://rb.gy/scl0r
Au bonyeza hapa chini sasa hivi kupata suluhisho lako moja kwa moja
https://www.jiponyeafya.com/product.../uzazi-mwanamke/...

https://www.jiponyeafya.com/2023/06/12/tatizo-la-uke-kuwa-na-maji-maji/
10/07/2023

https://www.jiponyeafya.com/2023/06/12/tatizo-la-uke-kuwa-na-maji-maji/

Tatizo la uke kuwa na maji ni mojawapo ya matatizo yanayowakumba wanawake wengi. Hata hivyo, kuna wasiwasi mkubwa linapokuja suala la kuzungumzia tatizo hili.Wanawake wengi wanajisikia vibaya kuzungumza kuhusu tatizo hili kwa sababu ya aibu. Kwa bahati mbaya, kutotibu tatizo hili kunaweza kusababish...

Je unapata Hedhi lakini haushiki ujauzito ?? basi habari  hii ni nzuri kwako , fahamu leo kwa nini unashindwa kupevusha ...
09/07/2023

Je unapata Hedhi lakini haushiki ujauzito ?? basi habari hii ni nzuri kwako , fahamu leo kwa nini unashindwa kupevusha mayai yako na kupata ujauzito

Hii ni hali ya mifuko ya mayai ya mwanamke (ovari) kutokomaza mayai na kuyaachilia ili yarutubishwe na mbegu za kiume.Hata k**a unapata hedhi haimaanishi kwamba kila unapopata hedhi yai limeachiliwa. Unaweza kupata hedhi na wakati yai halikupevuka na kuachiliwa. Dalili kubwa ya tatizo hili ni pale m...

Address

Dar Es Salam

Website

https://www.jiponyeafya.com/

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Virutubisho Tiba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Virutubisho Tiba:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram